Mshahara wa wastani wa kila mwezi wa Israeli ulifikia NIS 15,223 kuanzia mwezi Juni,( sawa na Tshs 13,414,567/) ongezeko la 7.7% kutoka mwaka mmoja uliopita, kulingana na makadirio ya awali ya Ofisi Kuu ya Takwimu. Idadi ya kazi zinazolipwa mishahara pia iliongezeka kwa 2% hadi milioni 4.22...