miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Miradi inaendelezwa na awamu ya 6, hakuna kulala

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35. Mchakato huo umeanza kwa kufanya mkutano wa uhamasishaji kwa wananchi wa kata ya Madimba, Moma, Mbawala na Nanguruwe kuhusu ujenzi wa mradi huo...
  2. think tank01

    JamiiForums Tanzania Usimamizi bora wa fedha za Miradi ya maendeleo ya Jamii 🇹🇿

    Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k Miradi hii baadhi imekuwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh. Bilioni 979 za miradi

    Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, umeahidi kutoa mkopo nafuu utakayonufaisha mradi wa umeme wa Benaco-Kyaka mkoani Kagera na ujenzi wa makazi ya watumishi ya gharama nafuu Zanzibar, inayokadiriwa kugharimu dola za Marekani milioni 420 (Sh 979,374,404,740 za Tanzania)...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mji wa Mbulu kwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo

    Mbulu wamfurahisha Bashungwa utekelezaji wa miradi Na Angela Msimbira Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mji wa Mbulu kwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo inayotekelezwa na halmashauri hiyo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania MIRADI YA ELIMU INAENDELEA KUTEKELEZWA NA AWAMU YA SITA

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetenga shiligi bilioni 752 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali kupitia Mradi wa Elimu ya juu kwa mageuzi ya kiuchumi (HEET). Shughuri zitakazotekelezwa kupitia mradi huu ni ujenzi wa miundombinu mipya na kukarabati iliyopo...
  7. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
  8. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Kibiashara na Ufadhili wa Miradi ya Kijamii (Corporate Giving)

    Kwa muda mrefu sasa, kampuni za kibiashara zimekuwa zikichangia katika miradi ya kijamii. Uchangiaji huu umechagizwa kwa kiasi kikubwa na hoja ya kwamba "Jamii yenye afya na ustawi mzuri (healthier community), huchochea ukuaji wa biashara". Mwaka 1936 nchini Marekani kiasi cha Shilingi Biliono...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zapigwa marufuku na Ulaya kuendeleza Miradi ya Mafuta na Gesi

    Salaam Wakuu, Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Wanadai miradi hiyo inaharibu mazingira. Wakati Bunge la Tanzania likiwa kimya, Bunge la Uganda limelaani...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbasi awataka Idara ya Michezo Kukamilisha Nyaraka za Miradi haraka

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo kila mhusika atabeba mzigo wake. Dkt. Abbasi ametoa agizo hilo leo hii alipokutana na watendaji wote...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Miradi ya majengo iliyotelekezwa na mashirika kama NHC ni hasara ya nani?

    Juzi kati nilipita maeneo ya kawe nikashuhudia majengo ya maghorofa yakiwa magofu yakionyesha hali ya kutelekezwa, kuulizia nikaambiwa ni majengo ya NHC. Hivi ni kwa nini pesa za umma zitumike kuanzisha miradi ambayo haifiki mwisho ili kuleta tija na wala hakuna mtu yoyote anayewajibika kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Karagwe: Waziri Aweso amsimamisha kazi Meneja wa RUWASA kwa kushindwa kusimamia miradi

    WAZIRI AWESO AMSIMAMISHA KAZI MENEJA WA RUWASA KARAGWE KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MIRADI Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa kushindwa kusimamia miradi ya Maji inayoendelea...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania...
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

    Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi. - Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo ya viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na ununuzi na uuzaji wa viwanja, tathmini na urasimishaji wa ardhi. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu katika kazi za mauzo na masoko wa miradi ya viwanja kuchangamkia nafasi hizi. Sifa -Uwezo mzuri...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Bunge Kamati ya NUU watembelea Miradi ya Kikanda ya EAC

    Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) wakifuatilia kwa makini mada kuhusu utekelezaji wa miradi ya kikanda ya miundombinu ya EAC iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Miundombinu ya Uchumi na Huduma za Jamii katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano...
  17. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Serikali inavyoweza kutumia miradi mipya ya kibunifu kuingiza mapato zaidi kuliko kutegemea tozo na kodi zaidi

    Tozo Tozo ni ushuru au kodi ambayo wananchi wanatozwa na serikali. Pia hii ni aina moja wapo ya chanzo cha mapato kwa serikali za sasa hasa zile za ulimwengu wa tatu ambayo pia huchangia maendeleo ya miradi mbalimbali ya serikali kama kujenga hospitali, barabara, shule, mishara na marupurupu...
  18. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  19. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameridhika na tozo kwa kuwa fedha zinazopatikana zinaelekezwa kwenye miradi ya maendeleo

  20. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maji: Ushiriki wa jamii, uendeshaji na uibuaji wa miradi ya maji, utoaji taarifa na changamoto za utendaji na utatuzi

    Utangulizi. Tangu uwepo wa ulimwengu huu maji ni kimiminika ambacho kimekuwepo na kusaidia shughuli mbalimbali za uendeshaji na ujenzi wa ulimwengu tangu ikiwa tupu hadi sasa katika zama za sayansi na teknolojia iliyokubuhu (Post-science and technology society).Maji hayana mbadala,na wengine...
Back
Top Bottom