miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita: TAKUKURU yabaini ‘upigaji’ miradi ya Tsh bilioni 18

    Miradi 15 yenye thamani ya Tsh. Bilioni 18.3 Mkoani Geita imebainika kuwa na upungufu wa kutozingatiwa kwa vigezo na masharti ya mikataba, hiyo imesababishwa na kukosekana kwa usimamizi wa wataalamu wa Halmashauri. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebainisha na kueleza hayo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kuhusu fedha zilizotolewa na Mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya Kijamii

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa. Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali iwekeze kwenye miradi yenye tija

    Tunza Malapo (Viti Maalum) amesema Mkoani Mtwara Soko la Chuno limejengwa kwa Bilioni 5.5 katika eneo ambalo ni tofauti na mwelekeo wa watu wengi akieleza, "Unaweza kujiuliza aliyependekeza Soko lijengwe kule alikuwa anawaza kitu gani? Maana yake ni Bilioni 5.5 zimelala pale hazina tija" Aidha...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya ushirikiano wa kilimo ya China inainua wakulima wadogo barani Afrika

    Na Tom Wanjala Katika harakati za kusaidia kuboresha na kuimarisha usalama wa chakula barani Afrika, China inazidi kuwekeza katika vituo vya maonyesho ya teknolojia ya kilimo (ATDCs), vilivyoanzishwa na kampuni na taasisi za China. Vituo hivi pia vimeinua maisha ya wakulima wengi kutokana na...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali yaweka Shilingi bilioni 12 kwa utekelezaji wa miradi ya maji Mtwara

    Serikali kupitia Wizara ya maji imetenga jumla ya Sh 12,523,727,274.27 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambazo ni kwa ajili ya kujenga, kukarabati na kufanya, upanuzi wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Mtwara. Meneja wa Wakala wa Usambazaji Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa)...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Waziri Kundo Mathew asisitiza miradi ya TEHAMA iguse Watanzania, agusia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano

    Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amewataka wafanyakazi wa Wizara yake kuielewa miradi ya kitaifa inayotekelezwa na Wizara hiyo na kutafsiri ili kuhakıkisha utekelezaji wa miradi hiyo ya maendeleo yanakuwa na manufaa yanagusa maisha ya Watanzania...
  8. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Rais samia, Magereza wanaovutana kwenye miradi kushirikiana na sekta binafsi ni kutaka kulea upigaji

    Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni' Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi inatakiwa kua shindani sio kubebwa kwa kusudi kuingia ubia na majeshi au mashirika au mamlaka za umma...
  9. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awashangaa wanaosema miradi ya Magufuli haitoendelezwa, adai uwezo wao wa kufikiri ni mdogo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu waliokuwa wakisema miradi iliyaochwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli haitaendelezwa, hawakuwa sahihi kwa sababu Serikali inayoongoza nchi ni ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Rais Samia ameeleza hayo leo Jumatano Machi 23, 2022 wakati akizindua nyumba...
  10. mwanga mweusi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mafundi tuliojenga miradi ya UVIKO-19 (hasa madarasa) tunanyanyaswa sana

    Niseme kwamba mafundi tuliojenga majengo haya ya uviko hasa madarasa tumeteswa sana na bado tunateseka sana. Kwa hii wilaya niliyopo tuliingia mkataba na serikali kujenga haya majengo tukakubaliana bei na kamati ya kujenga madarasa yakamilike kwa muda japo muda ulikua mdogo sana yani wiki 3...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha miradi wala mikataba, Tume Huru ya Uchaguzi ndio muhimu

    Tunawasikia CCM wakisifia mikataba ,ambayo Raisi wao anatiliana huko anapokwenda kutembea ,sio mbaya ,mkae mkijua Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi na sasa wananchi wanahemea mlo mmoja kwa siku. hayo matembezi na mikataba haina faida kama ndani ya nchi hakuna utedaji wa haki,kuchagua kiongozi...
  12. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania JKT na Magereza jiongezeni; msifanye miradi midogo midogo ambayo ni fursa za vijana

    Utashangaa JKT na Jeshi la Magereza wanahangaika na biashara ya kuosha magari na kufyatua tofali tena kwa kutumia mashine duni sana wanazotumia vijana mtaani. Hii miradi ilipaswa waachiwe vijana. Wao watafute biashara zenye uwekezaji mkubwa. Wakiosha magari vijana mtaani watafanya nini?
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Mashaka Makubwa Juu ya Miradi ya inayotegema Umeme

    Baada ya Majibu ya Waziri wa Nishati kuomba apewe muda ili arekebishe suala la kukatika kwa umeme, sasa hofu imekuwa kubwa juu ya auendeshaji wa miradi inayotegemea umeme, Miradi hiyo ni kama SGR na Viwanda. Na Jana Rais kasema kuna mradi wa Mabasi ya umeme. Waziri J. Makamba aliomba apewe...
  14. Snoop Dogg

    JamiiForums Tanzania Vibarua kwenye Miradi mikubwa ya ujenzi wanalipwa kiasi gani?

    Wakuu, Nahitaji kujua vibarua kwenye Miradi mikubwa ya serikali hasahasa Mradi wa Umeme, Mradi wa daraja la Magufuli pamoja na Mradi wa Reli wanalipwa kiasi gani na vigezo vyao vya kuajili ni Vipi?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Miradi mikubwa inayojengwa kasi imepungua sana, huko mbeleni tutaambiwa gharama zimeongezeka mara dufu

    Mradi wa Mwalimu Nyerere wa umeme, Barabara za mwendokasi, Mradi wa umeme Rusumo na daraja la Busisi speed yake imepungua Sana. Lakini pia usimamizi wa Wizara na idara za serikali si wakuridhisha. Mradi unavyochukua muda mrefu ndivyo gharama uongezeka. Niwaombe JMT tukimbizane imalizike Kwa...
  16. Kufa c mwiko

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chamwino msaidie Rais miradi ya ujenzi ya shule wilaya ya Chamwino

    Nianze kwa kumpongeza mama Samia kwa kuona mbali lakini aliona umuhimu wa kuipa kipaumbele elimu na afya hizo ndizo nguzo muhimu kwa ustawi wa maisha ya mwanadamu yeyote chini ya jua, lakini pia kimtazamo Rais angependa kuona kile alichokipanga kwa wananchi wake kinatimia na kuonekana machoni...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo

    Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo; AWAMU YA 6 KAZINI Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3) Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta...
  18. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

    Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka wananchi kuacha kufanywa ngazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka Wananchi kuamka na kuacha kufanywa ngazi akisema, "Hawa watu wanakuja na maneno mazuri wanawafanya kuwa ngazi mnainama wanapanda. Wakifika wanapotaka, hamna maana" Akiwa Mkoani Mara amesema Miradi inayoletwa ni ya Wananchi hivyo waifuatilie, na...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kulikuwa na vinenoneno miradi haitaendelea, inaendelezwa kuliko ilivyokuwa ikiendelea

    Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini ukakwamishwa na mkandarasi na kuamua kumbadilisha ili kumalizia mradi. Pia Rais Samia ameongelea spidi ya...
Back
Top Bottom