miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Keynez

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya miradi inayofanyika Dodoma ni kinyume cha malengo ya kuufanya kuwa mji wa kiSerikali?

    Mara kwa mara nimekuwa nasikia baadhi ya miradi inayofanywa na serikali huko Dodoma, nabaki kujiuliza kwamba mbona yanaenda kinyume na malengo yaliyokusudiwa ya kujenga mji wa kiserikali? Jana nilisoma mahali kwamba wanajenga viwanja vikubwa vya mchezo wa golf na lengo ni kupafanya Dodoma...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaipa Tano DAWASA usimamizi wa miradi

    Benki ya Dunia imetembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na Banki hiyo ya Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 179 na kuhimiza ukamilishaji wake kwa wakati ili kuleta tija kwa Jamii nufaika. Katika ziara hii iliyoongozwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega: Siku 100 za Rais Samia Serikali imekamilisha Miradi 40

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King'ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia...
  4. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Miradi inayo zinduliwa na mwenge huwa haiendelei

    Natamani ifike nyakati mwenge baada ya kuizindua miradi mbalimbali, mwaka unaofuata upite tena kuangalia ile miradi kama bado ipo .
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa miradi moi wafikia wastani asilimia 78.5

    Kasi ya utekelezaji wa miradi minne ya maendeleo katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefikia wastani wa asilimia 78.5, hali inayowasha taa mpya ya matumaini ya uboreshaji zaidi wa huduma kwa wagonjwa. Meneja Milki, Mazingira na Matengenezo wa MOI Bw. Victor Kamagenge...
  6. Mafia Island Boy

    JamiiForums Tanzania Urasimu, uzembe vinaongoza kukwamisha miradi mbalimbali ya Serikali

    Kutoendelezwa kwa miradi mbalimbali jijini Dar es Salaam, iliyogharimu mabilioni ya fedha za umma kumetajwa kuwa ni ufujaji wa fedha hizo. Mwandishi wa habari hizi ametembelea baadhi ya miradi ya vyoo katika Halmashauri ya Kigamboni, Ilala, Temeke, Kinondoni, na Ubungo. Mamlaka ya Majisafi na...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

    Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee. Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania, kila Kona kwenye miradi mingi Kuna ubadhilifu, je serikali inasajili vibaka? Wezi?

    Kuusema ukweli wa kimungu, Rais Samia anapigwa vibaya mnoooooo! Moja ya kitu alichofanikiwa kukifanya kwa ufasaha ni kuwatishia wabadhilifu hata kama walimpiga lakini walio kuwa wapigaji walipungua kwa kiasi kikubwa sana. Awamu ya nyuma ya utawala wa Samia aliyekuwa waziri mkuu alikuwa na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kuwadhamini vijana mikopo kwenye mabenki ili wajiajiri kupitia maandiko yao ya miradi

    Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi. Hivyo basi kama serikali inaweza kujidhamini na kukopa fedha nje ya nchi kwanini isiwadhamini vijana...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Miradi kusimamishwa ili Magari yakabebe watu wa kujaza Mkutano wa Mwanasiasa

    Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa, Mkoa, Wilaya hadi Kata. Shule zilifungwa, Ofisi zilifungwa ili watu wakajaze uwanja wa Mwansiasa...
  12. TZCHINA

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Viwanja Chini ya Halmashauri.

    Leo nilikuwa naangalia mfumo wa leseni (Tausi Portal) nikaona section ya Land Sale, wame list Halmashauri zenye miradi ya kuuza Viwanja kwa matumizi mbalimbali mfano Biashara, Makazi pia Biashara na Makazi. Issue yangu kama wameweza kutangaza katika mfumo kwa nini wasiruhusu pia mtu kufile...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Sanga: Miradi aliyokamilisha Samia imemchanganya Polepole

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kama Jah People, amemtupia lawama aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, akisema kauli zake za kuipinga serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinachochewa na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Takukuru yabaini mapungufu katika miradi Rukwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imetekeleza ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.7 katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, kiasi cha Shilingi 422,280,519 kilichotolewa kama...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi hii miradi kama SGR pamoja na Mv Mwanza ni mali ya CCM?

    Nimeshangaa sana huyu mwanaCCM kuongea namna hii. Kwamba wasiompigia kura Rais Samia wasipande SGR au kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi za Watanzania. Hajui kuwa kila mtanzania awe CCM au sio CCM analipa kodi? Soma >> GE2025 - Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maisha kwenye miradi inayohusu ufadhili wa pesa za wahisani

    Habari zenu Wana Jambi Kwa miaka kadhaa nimefanya kazi kwenye eneo la miradi hasa inayohusu maswala ya ukimwi! Nikapata uzoefu kwenye maeneo kadhaa Kwanza mara nyingi ni maisha ambayo most of the time mpo under pressure mnakimbizana na performance vikao daily simu kila wakati maBoss wanataka...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya miradi iliyotekelezwa na Dr. Samia mkoani Mbeya

    Sekta ya Barabara Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo. Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji wa Mbeya umenufaika na ukarabati wa barabara za ndani, ambazo zimetengenezwa kwa kiwango cha lami...
  18. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Miradi ya viwanja kigamboni Puna

    Miradi mipya Kigamboni – Puna inapatikana kuanzia milioni 3 kwa kiwanja cha 20*20 meters, yaani sqm 400. Viwanja vinapatikana kuanzia ukubwa wa sqm 400 hadi 2000. Puna Beach Plots Kigamboni ipo umbali wa km 38 kutoka Ferry, km 35 kutoka Daraja la Nyerere, mita 500 kutoka barabara kuu na mita...
  19. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

    Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo. Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na fursa za kiuchumi Kwa watanzania. Mfano: Masoko Makubwa yalikua yamepangwa kufunguliwa kama la...
  20. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kumbe "Clean Cooking Gas" ndiyo inayozuia miradi ya umeme isikamilike?

    Inasikitisha sana kuona miradi ya watu binafsi inasimamisha miradi mikubwa ya nchi ambayo ingesaidia vizazi na vizazi. Hawa wanaoitwa "Wanamtandao" ni MAADUI NAMBA 4 wa Tanzania baada ya UJINGA, UMASIKINI na MARADHI.
Back
Top Bottom