miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania DED Nyasa akagua miradi ya Sekta ya Afya na Elimu yenye thamani ya Sh Milioni 582,017,569

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Khalid A.Khalif ameendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kuwatembelea wakandarasi kwenye Kandarasi za Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa ikiwa ni sehemu ya kuhimiza ukamilishwaji kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Katika kampeni za mwaka huu kwa wagombea wa urais wataje utajiri wao ili tunaposikia kuwa wametoa hela za ujenzi wa miradi tusishangae

    Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Miradi 68 yaandaliwa kwa Mapokezi ya Mwenge Mkoa wa Mara

    Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza mbio zake mkoani Mara Agosti 15, 2025, ukitokea mkoani Simiyu, ambapo utazunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa huo na kukagua, kuweka mawe ya msingi, kufungua na kuzindua miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 26.54 Akizungumza na...
  4. H

    JamiiForums Tanzania CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
  5. R

    JamiiForums Tanzania RC Kanali Mtambi azindua miradi ya Bilioni 19.9 Musoma

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi, ameongoza hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa miradi ya uboreshaji miundombinu katika Manispaa ya Musoma chini ya Mradi wa Tanzania Cities Transforming Infrastructure and Competitiveness Project (TACTIC), unaofadhiliwa na Benki ya Dunia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada ninaomba kuambiwa ni chuo gani ? Kina toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi kwa Tanzania

    Msaada wa vyuo au chuo kinacho toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi Tanzania
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makandarasi Wanawake watakiwa kutekeleza miradi ya barabara kwa ufanisi

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imetoa rai kwa Makampuni 15 ya Makandarasi Wanawake waliopata fursa ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 20 katika barabara ya Ruanda - Idiwili Mkoani Songwe kuutekeleza mradi huo ipasavyo kwa ubora, uaminifu na muda uliopangwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Msimamizi wa Miradi ya Ujenzi Mwanza hasa UKEREWE.

    Tunaye hapa Msimamizi wa miradi ya Ujenzi (Majengo na Barabara) Fundi Sanifu Mwenye uzoefu wa siku nyingi. Kwa Mwenye miradi huku Mwanza hasa UKEREWE tuwasiliane mwanzahuduma7@gmail.com
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Heko TRA kwa kuwaumbua machawa kuhusu miradi.

    Ili kuondoa utata wa nani anayegharamia miradi nchini, TRA hivi sasa imeweka tangazo kwenye runinga likionesha kuwa miradi yote inagharamiwa na kodi zetu. Lucas Mwashambwa na magarasa wenzako heshimuni hilo tangazo la serikali.
  11. M

    JamiiForums Tanzania RC Mhita: Shinyanga tumepokea shilingi 113.33 bilioni toka kwa Rais Samia kwaajili ya Miradi ya maji

    Tazama hii hapa kazi ya Rais Samia ya miaka minne katika Mkoa wa Shinyanga kwenye sekta ya Maji ambapo tayari TZS113.33bilioni Muhtasari wa Miradi ya Maji – Mkoa wa Shinyanga (2020–2025) Kipengele Taarifa Fedha zilizopokelewa TZS bilioni 113.33 Upatikanaji wa maji safi mijini...
  12. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla. 1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited 2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR 3. Uzinduzi wa...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati ya ukaguzi TARURA yatembelea miradi minne ya barabara Shinyanga

    Ikiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara, Kamati ya Ukaguzi ya TARURA imetembelea Miradi minne ya ujenzi wa miundombinu ya barabara mkoani Shinyanga. Katika Manispaa ya Shinyanga Kamati ilitembelea ujenzi wa barabara ya Old...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenge wa uhuru kutembelea miradi yenye thamani ya zaidi bilioni 6.4 manispaa ya Kahama 2025

    Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, inatarajiwa kuupokea Mwenge wa Uhuru kimkoa Agosti 3, 2025 ukitokea mkoani Tabora, na kuanza kukimbizwa siku hiyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama. Mwenge wa Uhuru 2025 utapokelewa katika viwanja vya kituo cha mabasi Kagongwa ukitokea...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaliua: Mwenge wa Uhuru wazindua, na kuweka mawe ya msingi miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2

    Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dk. Garald Mongela, amewaongoza maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo kushiriki uzinduzi wa miradi ya kimkakati iliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru. Katika mwaka huu Mwenge wa Uhuru umezindua, umeweka mawe ya msingina umetembelea miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Richard Nzagi: Mafinga ina Watoto wengi wa Kichina, Wachina wanaacha Watoto wengi wanapopita kwenye miradi

    Mkaguzi Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa, Richard Nzagi anajibu swali kuwa “Endapo Mtanzania atapata ujauzito na raia wa kigeni, iwe ni mtalii au ameingia nchini kwa njia nyingine halali—halafu huyo mgeni akaondoka kabla mtoto hajazaliwa, je mtoto huyo anakuwa raia wa wapi?” Idara...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Zainabu Telack: Kasimamieni kwa weledi miradi ya maendeleo

    RC ZAINABU TELACK: KASIMAMIENI KWA WELEDI MIRADI YA MAENDELEO Na, Hilarry Shuma OR-TAMISEMI Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainabu Telack, amewahimiza Maafisa tarafa na watendaji wa kata nchini kuhakikisha wanasimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao Akifunga Mafunzo kwa...
  18. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Aweso aagiza mkandarasi kuongeza kasi ya utekelezaji miji 28 Mafinga

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) amemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 wilayani Mafinga kampuni ya Jandu Plambers LTD kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi ili kufanikisha hitaji la huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mafinga kwa wakati. Mradi huo katika mji wa Mafinga ni sehemu ya mradi...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Iramba: Mwenge wa uhuru wazindua miradi ya tsh. Bilioni 7.8

    IRAMBA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA TSH. BILIONI 7.8 Mwenge wa Uhuru 2025 Umeendelea na Mbio zake Wilayani Iramba Mkoani Singida ambapo Miradi Saba yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 7.8 imekaguliwa, Kuwekwa Mawe ya Msingi na Kuzinduliwa Waziri wa Fedha ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la...
  20. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Tuangazie juu miradi ya kimaendeleo iliyoanzishwa Tanzania lakini haikuleta matokeo chanya

    Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa na kupotea kabisa Baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na;_ 1,Big Results Now BRN)_2013 2, MKURABITA 2004...
Back
Top Bottom