mimi

  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mzalendo

    Pengine moyo wangu waweza kuamka tena ili kuisaidia nchi yangu japo kwa kikombe cha maji. Loading.........
  2. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kapt. Tesha: Nyerere alishasema tukikaa kizembezembe wahuni watatutawala, mimi sikubali kutawaliwa na wahuni

    Nyerere alishasema tukikaa kizembezembe wahuni watatutawala, mimi sikubali kutawaliwa na wahuni
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu: Mimi ni mwanafunzi wa Rais samia wasiwe na wasi wasi, atakavyotiki kwake na kwangu wakatiki

    “Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia na Mgombea Ubunge...
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania "Ooh mimi nawajua watanzania.." kibao. Unamjua nani???Hakuna unayemjua mkuu, na mikoani tutadai haki zetu zaidi

    Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG ufisadi wa kutisha,, nitulie tu??? We pokea hiyo hela kale, hizo propaganda hazifanyi kazi tena
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kabisa binadamu mwenye IQ ndogo kuliko wote duniani ni Mtanzania

    GT Ni aibu kuitwa Mtanzania. The reference kwamba binadamu walikuwa Nyani nadhani ilichukuiiwa Tanzania.
  6. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU fanyeni kazi zenu, mimi hizi messages hazinihusu, kila siku natimiza wajibu wangu kama mzalendo wa nchi yangu

    Kila siku tunawaletea taarifa, juzi tu nimewaletea taaarifa hapo ofisini. Fanyeni kazi zenu
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Niamini Mimi, adui wa mwanamke ni mwanamke, huyu Mama mwakilishi wa Mudi ndo aliyeitafuta hiyo kampuni iliyomzalilisha mwenzake, na inasemekana yey al

    Niamini Mimi adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, Huyo mwanamke mwakilishi wa muhamedi TAPTA LA madawa ya kulevya, lilirowai dakwa na Mzee Magu, yeye ndo alikuwa akipambana na mwanamke mwenzake mwanzo mwisho, Hata wale mabaunsa yeye ndo aliyewatafta, na aliwanunulia na Bangi, na...
  8. WomanOfSubstance

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Nini madhumini na matumizi ya vitu vifuatavyo wavaapo wakina dada na akina mama katika jamii yetu? 1: Kipini cha puani a.k.a (Kishaufu) iwe kushoto au kulia 2: Kikuku iwe mguu wa kushoto au kulia au yote kwa pammoja 3: Na mwisho ni Shanga za kiunoni. Je, waonaje? Vyapoteza maana halisi kwa...
  9. Nomadiq

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu "Nakupenda pia". Yaliyonikuta sio poa

    Kwema wakuu, heshima mbele! UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi. to be continued....
  10. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Poleni na Kifo cha CCM, ila mimi sijalia

    Poleni na kifo ila mimi sijalia. Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na mchana ila wanakutana na kodi za ajabu kwenye kila kitu. Nalia na waTanzania walio na wanaouawa...
  11. 100 others

    JamiiForums Tanzania Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

    Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekumbuka kile kitoto cha kike kijinga kilivyoniona mimi Falah

    Nlikutana nae Mlimani City nikawa na ukaribu nae pale fish fish. Nikazunguka zunguka nae ndani. Nikampa na lunch ya ukweli nikamruhusu aende. Kesho yake tu aliniletea Mbunye. Anasoma Law na ni chotara flani kama Kisomali. Basi bwana. Imefika Graduation akanitumia mahitaji yake ya Graduation...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ipeni maneno. Nimekosa hata cha kusema

    Wakuu, tia neno! Mimi sina neno (Bila VPN)
  14. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kupatwa Kwa Mwezi Leo Septemba 7, 2025

    Habari Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare...
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Siongozi Wanyonge, Naongoza Watanzania Naotaka Kuwajengea Tanzania Tunayoihitaji

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti ,uimara na ushupavu wa kiuongozi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa...
  16. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu (mimi) kuongea pekee yangu ni ugonjwa au? Kuna mwingine humu ana sumbuliwa na self talk?

    Mfano umekosa zako unaongea pekee ako.Kuna kipindi unajisahau na kuanza kuongea kwa sauti .Watu wanakushangaa! Unajizuia sana lakini wapi.Ukitembea unaongea pekee yako automatically. Inasumbua sana na kuniaibisha.Nimejaribu deep breath technique lakini wapi haisaidii. Sasa je hii ni kawaida...
  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu. Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiri maudhui ya uzinzi yameshakuwa normalized sasa. Teknolojia sasa imesimama kama dalali wa kukufikishia hurka za kifuska zilizomo ndani ya watu

  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa. Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%. Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
Back
Top Bottom