Intellectuals wengi hurudi kufundisha, na siyo kucheza peek a boo (kombolela) na mimi nipo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Peek a boo kwa wasiofahamu ni mchezo wa watoto wa kujificha ni kama komborela fulani, sasa kwa kawaida komborela hucheza watoto na ukiona mtu mzima ambaye na msomi” anacheza peek a boo, kwamba jamani msinisahau na mimi nipo pia muhimu nijadilini, basi ujue kuna tatizo mahali, kwa kawaida intellectuals wengi akipoteza kazi aidha hurudi kufundisha Chuoni, au huandika vitabu na kuelimisha jamii au hata hufungua companies vitu kama hivyo, sasa ukiona PhD holder anacheza peek a boo inafikirisha na kusikitisha sana kwa kweli.
 
Pick a boooooooo
tapatalk_1577354951190.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom