mimi

  1. JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa za mimi Vs wengine sisi Vs wao na hatma ya nchi yetu

    Ndugu zangu, kuna tatizo lipo lakini ni kama kila mtu anajaribu kulifumbia macho wakati katika hatua yake ya juu kabisa itakuwa ni hasara ya watu wote. Katika mazingira mbali mbali unakuta mtu anatetea kitu si kwa sababu kitu hicho ni sahihi bali kwa sababu kulingana na upande aliopo kwa wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi leo naitwa Mganga wa Kienyeji

    Kuna dada nimevunja naye mahusiano ya kimapenzi ila naye kaamua kulipiza kisasi kwa kuchapisha mabango na kuweka namba yangu ya simu kwa chini akisema ni mganga toka Sumbawanga anayetibu nguvu za kiume na kuangamiza wachawi. Nifanyeje?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli . --+ Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
  5. JamiiForums Tanzania Huwezi amini, nilibakia mimi tu

    Habari zenu wanasiasa? Nakumbuka tarehe 08/04/2021 nilikuwa nasafiri kuelekea kisiwa cha PATMO usiku kwa ndege Mle ndani mlikuwa na abiria wengi kutoka mataifa mbalimbali ya wazungu na wengi wao wakiwa makomandoo na viongozi maarufu wa dini. Kutoka nchi yetu tulikuwa wawili tu.Abiria wote...
  6. JamiiForums Tanzania Mungu wako wewe ni sawa na Mungu wangu mimi?

    Linaonekana kama swali la kipumbavu kwa wasomaji lakini mimi linanifikirisha sana usiku na mchana na sipati majibu. Mafanikio ya maisha niliyonayo mimi ni makubwa na hayalingani kabisa na nguvu, muda na mali ninayompatia Mungu wangu mimi. Mimi huwa ninamwamini sana (100%) kuwa anayaweza yote na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana. Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
  8. JamiiForums Tanzania Niliposikia Magufuli kafa, nilihisi na mimi nimekufa - RC Chalamila

    Yaani nimecheka balaa, kweli kifo kifo tuu hakina mjuzi Wangari Maathai njoo msikie kaka yako hapa
  9. JamiiForums Tanzania Mapema sana Mimi kuanza Kucheza Ngoma inayopigwa na Serikali ya Awamu ya "Sita" Nitasimama pembeni.

    Mh. Rais Samia Suluhu ni kama Rais wa Serikali ya Awamu ya 6. Huyu mama hakuwepo kabisa awamu ya 5. Ni Rais mpya ambaye hakuwahi kuwepo katika Serikali iliyopita. Kama alikuwepo haya anayoyashangaa leo na kuyakosoa akinanga Serikali ile yalifanyika yeye akiwa kwenye Coma? Hakujua kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Mimi nimechagua kuwa mtoto wa mama

    Kuwa mtoto wa mama kuna raha sana, Hivi unajua mama anavyodekeza eeh hasa kwa watoto wake sasa imagine unakuwa mtoto wa mama yaani ni full kudeka, ukiwa mtoto wa mama mtoto wa jirani akikufinya tu ukiita ma... hata ujamaliza kupiga kelele mama huyu hapa kashafika, Ukiwa mtoto wa mama hata...
  11. JamiiForums Tanzania Ujumbe na maoni yangu mimi Mtanzania mwenzenu kwenu ninyi watu wa Chato

    Ujumbe wangu binafsi na maoni yangu binafsi Mimi Mtanzania mwenzenu kwenu enyi Watanzania wenzetu watu wa Chato. Mimi binafsi Sina chuki Wala tatizo kuhusu nyinyi kuletewa maendeleo, kwani ni haki yenu na mnastahili Kama wanavyostahili Maeneo mengine ya Tanzania, kwa sababu nyie pia ni sehemu...
  12. JamiiForums Tanzania Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii. Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically. Na huu ndo ukweli. "Hakika kunguru...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu hujaulizwa, hujasemeshwa, unapewa nafasi ya kusema machache kwenye hafla, halafu unaanza tu kujitetea mara hooh Mimi mbona mwema tu n.k...

    Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi...
  14. JamiiForums Tanzania "Ndugu yako yuko wapi? Damu yake inanililia udongoni"

    "NDUGU YAKO YUKO WAPI? DAMU YAKE INANILILIA UDONGONI" Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pita pita zangu kwenye kitabu cha Biblia, nilianza kusoma kitabu cha mwanzo sura ya 1, 2, 3 nilipofika sura ya 4 nikashangaa akili yangu ikipata fikra mbalimbali. Nikashangaa nikimkumbuka Ben Saanane...
  15. JamiiForums Tanzania Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

    Habar zenu madoktor humu ndani. Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote. Nilioa miaka 5 iliyopita, baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa HIVna aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji. Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sheria nilizomuwekea mke wangu juu ya mimi na mpira

    Wasalaam wakuu Kipenzi mke wangu najua ananijali sana na kunipenda , ndiyo maana akakubali kwa kila hali na namna ifaayo kunipokea Na kabisa baraka tele ziwe juu ya huyu mwanadada juu ya maswahibu yangu aendeelee kutunza familia yangu na watato wangu Nayeye haachagi kunisifia kuwa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Rais Magufuli aliagiza nirejeshewe Passport yangu na alisema 'Wewe ni Askofu wangu utanizika'

    Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe hati yake ya kusafiria na alimtamkia mara mbili kuwa kiongozi huyo wa kiroho ndiye atakayemzika. Akizungumza leo Alhamisi Machi 25, 2021 katika...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Nilimuunga mkono hayati Magufuli na sasa namuunga mkono Rais Samia, akitugeuka na mimi namgeuka

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani. Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, ulipo Wewe sasa Watu Wanalia na kuwa na Nyuso za Huzuni au Hawajali kama nilipo Mimi hapa nchini Herzegovina?

    Mimi hapa nilipo nchini Herzegovina ( yalipo Makazi yangu ya Kudumu ) kiukweli Ninalia mno ila nashangaa Mtaa wa Pili kuna Mijitu naiona ndiyo Kwanza tu inaagiza Supu na Chapati, Mwingine anaagiza Bia ya 19 huku akicheka zake tu na lingine linapanga Kete za Kucheza Pool Table. Je, nawe huko...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nililoliona na Kushtushwa na hili ni mimi peke yangu au? Kuna nini kilikuwa Kimejificha au hakikuwa sawa?

    Mara baada tu ya Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Kula Kiapo (Kuapishwa) rasmi Jana kuna Kitu si cha Kawaida nimekiona nikasema niwaulizeni JF Great Thinkers ili mnifunulie kile nisichokijua. Nilianza Kuona Chama cha CHADEMA na Kingine cha Upinzani vikionyesha Matumaini makubwa kwa Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…