Madaktari, kwanini Mimi sijapata UKIMWI mpaka sasa?

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Sep 30, 2018
318
511
Habar zenu madoktor humu ndani.

Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote. Nilioa miaka 5 iliyopita, baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa HIVna aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji.

Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima huonekana niko fresh na Sina maambukizi. Situmii kinga Wala chochote na nafsi iko tayari hata nikipata sio issue kabisa kwangu, yaani nmekubaliana na lolote lile litakalotokea

(Tufupishe story)

Sasa huwa najiuliza sana mbona sipati hiv miaka yote hiyo? Kuna nini hapa, ama inakuwaje kuwaje hili linatokea? Madaktari mniambie lolote la kitaalam nifahamu.

Nb
Kama si daktari ni vyema usichangie
 
Ni story ndefu sana mkuu

Nilimuoa akiwa mdogo Sana ana miaka 13 na hakuwa anajua chochote kuhusu afya yake.

Huwa Nina mazoea ya kucheki afya mara kwa mara kabla hata sijaoa,so baada ya kuoa nilienda nae na tukacheki wote vipimo mbalimbali Kama kawaida ndio nikagundua,nikafanya uchunguzi kwenye ile familia nikagundua kuhusu ukweli halisi wa mama na baba na familia yao kwa ujumla.

Ni story ndefu ila kidogo nitakuwa nimekujibu vizuri
1. Umefanya child molestation

2. ulivyofahamu viral load yake ilikuaje?

3. mpaka upate maambukizi lazima cell receptors zako zipokee virus, kuna watu wachache ambao cell receptors zinakataa.
 
Kumbe unaelezea udaku nilifikiri uko serious. Kumbe utopolo
 
1. Umefanya child molestation

2. ulivyofahamu viral load yake ilikuaje?

3. mpaka upate maambukizi lazima cell receptors zako zipokee virus, kuna watu wachache ambao cell receptors zinakataa.
Hapa sijafahamu lolote kuanzia 1-3 labda uniambie kwa kiswahili mkuu naweza nikasema ninavyoambiwa huko kliniki anakohudhuria
 
WAKUU HUU UZI NIMEOMBA KWA MADAKTARI TU,NYINYI MNAOONA NI UDAKU AMA NIMEAMUA KUPOTEZA TU MUDA SI MPITE TU MCHANGIE MADA NYINGINE MBONA TUNAKWAZANA KIASI HIKI.???

Mtu analeta serious issue halafu majamaa mengine yanakomenti tu ujinga,acheni niliowaomba waseme huenda faida ikapatikana hata kwa mwingine kuliko mtu amekula ugali wa baba ameshiba anakuja kusumbua.kama kitu hukijui kukaa kimya ni busara pia.
 
1. Umefanya child molestation

2. ulivyofahamu viral load yake ilikuaje?

3. mpaka upate maambukizi lazima cell receptors zako zipokee virus, kuna watu wachache ambao cell receptors zinakataa.

Just a point of curiosity, Why not work on those inhibitor cell receptors mechanism (if there is any) to develop a vaccine for HIV??!!-----take it as a Challenge or opportunity Madame Dr 🤣.

"One day you maybe a Nobelist in Medicine."

Why Corona have found vaccines but HiV is still kimbembe so far???
 
WAKUU HUU UZI NIMEOMBA KWA MADAKTARI TU,NYINYI MNAOONA NI UDAKU AMA NIMEAMUA KUPOTEZA TU MUDA SI MPITE TU MCHANGIE MADA NYINGINE MBONA TUNAKWAZANA KIASI HIKI.???

Mtu analeta serious issue halafu majamaa mengine yanakomenti tu ujinga,acheni niliowaomba waseme huenda faida ikapatikana hata kwa mwingine kuliko mtu amekula ugali wa baba ameshiba anakuja kusumbua.kama kitu hukijui kukaa kimya ni busara pia.
Niliamua kusoma maoni ya wadau katika mada yako sababu mimi si mjuzi wa haya mambo, ili nipate faida, ila nilichokiona humu ndiyo nakiona kila siku, watu wana utoto mwingi sana. Kila muda wanaona ni muda wa mzaha.

Huwa najisemea, humu ndani watu huwa wana mada nzuri sana, ila nahisi wanazileta sehemu ambayo si sahihi.

Watu wanakera sana.

Naendelea kusoma maoni ya wadau.
 
Just a point of curiosity, Why not work on those inhibitor cell receptors mechanism (if there is any) to develop a vaccine for HIV??!!-----take it as a Challenge or opportunity Madame Dr 🤣.

"One day you maybe a Nobelist in Medicine."

Why Corona have found vaccines but HiV is still kimbembe so far???
Brazil kuna mgonjwa aligundulika, ni wakati ule WHO hawajatoa tamko la kila mwenye maambukizi aanze dawa kupunguza kusambaza ugonjwa. Wakati ule ulikua unaanza dawa ukiwa na CD4 500 ninadhani.

Huyu mtu aligundulika akiwa na CD4 500 lakini hazikushuka tena na wala hatumii dawa. Wanasema immune system yake imekua alert hapo na inazilinda. Lakini hazikawahi kupanda.

Sifahamu kwa upande wa maambukizi, kama hatumii dawa inakuaje haambukizi wengine. Amejitolea kuwa sehemu ya research.
 
Safi sana Madame, pia waweza kunijibu mbona Vaccines ya Corona imepatikana kwa haraka sana lakini ya HIV bado???
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom