mimi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshaelimisha jamii sana hapa JF ngoja Leo nijisifu,ofcoz ukiweza kuwa neutral kama Mimi jisifu

    Naitwa mwana wa Kamugisha, mzaliwa wa Bugandika nakukulia mtaa wa Pepsi Bukoba Town. Nikawa Mwalimu weee but no mafanikio. Nikaenda chuo kikuu kuongeza maarifa( SI unajua mhaya asifiwi wingi wa Mali anasifiwa Kwa ukubwa wa CV) nakufanikiwa kupata lower second in short sikuwahi kuwa na akili sana...
  2. JamiiForums Tanzania Tukumbushane maneno haya kuhusu maisha

    Tunakumbushana tu wala sina jipya sana! __________________________________________________________ Moja Wema na ubaya vyote ni mbegu na vyote ukivipanda vinaota na mvunaji ni wewe uliyevipanda! Tunakumbushana kwamba ukipanda bangi huwezi kuvuna mahindi! Mbili Unaweza kuishi miaka mingi...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi ndiye niliyefanya soda iuzwe shilingi 500 badala ya shilingi 600

    Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi. Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh. 600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu. Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi nikapendekeza mapendekezo...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  5. JamiiForums Tanzania CCM wote ni walewale, lakini kwangu mimi Naona afadhali kuongozana na Rais Samia kuliko aliyepita

    Nchi sasa imepumua, hakuna kupotezwa, hakuna kutekwa, hakuna kutukanwa,hakuna kufokewa hakuna uongo, hakuna vitisho, hakuna kubaguliwa hakuna kunyanyaswa kwenye nchi yeti wenyewe. Kama ukiniuliza kati ya wawili hao mimi ni bora samia.Yule jamaa hakua mtu. Hofu inapungua taratibu kwa sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu binafsi siipendi hii tabia wakati wa kunyanduana au tuko wengi

    Wanajamvi habarini za asubuhi. Binafsi kuna tabia moja huwe siipendi wakati wa kunyanduana, sijui ni mimi tu ndo mhanga wa hiki kitendo au tuko wengi. Tabia yenyewe ni hii "sipendagi wakati wa kunyanduana baada ya kupizi eti mimi ndo nijifute na kumfuta yeye genye zilizomwagika badala ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye na Mimi yamenikuta

    Nawasalimu wote. Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu. Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila...
  9. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi hiyo ndiyo hotuba ya maana kuliko zote zilizopata kuhutubiwa na Hayati mzee Nyerere

    Mzee Nyerere alijaaliwa hekima na busara za pekee mno na mwenyezi Mungu. Ukiisikiliza hotuba hiyo hapo juu kwa mfano ni wazi unaona u Walimu wake kwenye muktadha wa kuonya,kuelekeza na kutabiri yawayo huko mbele ya safari. Mengi kama si yote aliyopata kutuasa mzee wetu yule yalitimia ama...
  10. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ahoji shughuli za Serikali kurudi Dar, ataka kujua ni nani anayedhibiti matumizi ya Serikali kwa sasa

    Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha kufanyia Dodoma ambayo ni makao makuu ya nchi. Ndugai ametaka kujua ni nani anayecontrol expanditure za...
  11. JamiiForums Tanzania Urafiki na Ushemeji wa hivi Mimi siwezi na nimeujivua SITAKI LAWAMA

    Salaam ndg zangu rehma za mwenyezi mungu ziwe nanyi... Kufupisha maneno mwaka 2017 kuna rafiki wa mke wangu automatically ni shemeji yangu tulikuwa tunapanga nyumba moja nitamuita XY. Sasa familia yake especially mumewe alikosa kazi halikuwa yy mjamzito, akaja home analia kuhusu Huduma zake za...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka Unaisha, Mimi nimejitathmini hivi

    Kujitathmini umefanya nini ndani ya mwaka husika na miaka iliyopita kutakusaidia kujua hali ya maendeleo yako. Mimi mwaka huu nilijiona kama sijafanya chochote vile , Lakini nikasema ngoja kwanza. Nikafungua Microsoft Word Document Nikaanza kuangalia Pesa niliyoiweka kwenye Investments...
  13. JamiiForums Tanzania Wadada watano kwa mpigo walinionea aibu kweli mimi kidume ilikuwaje? Soma...

    Nilikuwa natembea barabarani mara paaap mbele yangu kama mita 30 hivi wakajitokeza wadada watano wako pamoja wanakuja uelekeo wangu yani mimi naenda kwao na wao wanakuja kwangu. Basi kidume nilichofanya nikayaelekeza macho yangu kwenye sehemu ya chini ya vitovu vyao pale kwenye V nikiwakazia...
  14. JamiiForums Tanzania Mwambie mimi ni mwanaume mwenziye ananiumiza

    Hakymungu mnanionea,nyinyi Hivi kusema kwamba nawewe ulikuwa huna baba ambaye ni mwanaume kama mimi, je mama yako angamfanyia haya haki si angekufa kwa presha ujanani tu yule mzee?? Au huyu mwanaume uliyenaye hajui kwamba namimi ni mwanaume mwenzie na kibaya zaidi nlipitialo mimi nayeye anaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mwanamke huyu 'aliyejiua' baada ya 'Kufumaniwa' Mubashara na Mumewe ndiyo Shujaa wangu wa Kufungia Mwaka 2021

    Marehemu Anna Shirima popote ulipo sasa hapo Kaburini ulikozikwa Mkoani Kilimanjaro GENTAMYCINE nakutunuku Tuzo ya Ushujaa Uliotukuka kwa Kitendo chako kizuri na cha Kimedani pia cha Kujiua baada tu Kufumaniwa na Mumeo ukiwa 'Unakazwa' na Hawara yako. Wala hukutaka Mambo mengi au kupotezeana...
  16. JamiiForums Tanzania Dereva Wa uber na Bolt natafuta kazi

    Habari za muda naitwa Ernest mimi ni Dereva wa uber na Bolt Kama awali hapo mimi ni dereva wa Uber natafuta Gari ya hesabu au mkataba nina leseni class C3 na vigezo vyote vya kuendesha gari za Uber ikiwa plate number njano au nyeupe haina shida. Also apart from Uber, pia natafuta nafasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Leo nimeota nacheza Mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Hii ina maana gani?

    Habarini wakuu, Leo nimeota ndoto ya ajabu, naiita ya ajabu kwasababu ni mambo ambayo sipendi kuyafanya kwasasa japo nilikua nikifanya zamani. Nimeota nacheza mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Japo mara ya mwisho kucheza mpira ni miaka kumi iliyopita. Ndoto ilianza hivi...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Wanangu watatu (3) wanatoka na mwanamke mmoja hawajuani na mimi tu ndio najua kila kitu

    Habarini. Naomba Niende Direct kwenye Mada husika. Ni kama Story hivi. Mimi Hapa Nina Washikaji 3 Let us tuwa name A, B, C by then tupo zetu chuo 4 year now, sa inshu ipo hivi Mshikaji wangu A anademu wake na hapa ndio ipo story sasa, Demu huyohuyo anatoka na Mwanangu B halaf tena Demu...
  19. JamiiForums Tanzania Anayenitafuta sina muda, ninayemtafuta hana muda na mimi

    Nimepigiwa simu na A baada ya dakika mbili nikamwambia niko na kazi nafanya nitakutafuta, baada ya kukata nikampigia B, mara ya kwanza hajapokea, nikapiga tena kapokea anasema anataka apunzike. Ngoma drooo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…