Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

dracular

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
737
1,036
Habari za majukumu ndugu zangu wa Jf,

Kama kichwa cha habari kinavojieleza yaani nimekuwa sina hisia kabisa na huyu binti ambae ni dhahiri kabisa anaonekana kabisa kuwa na faida kwangu.

Kwanza ni mpole, msikivu na mcha Mungu na ninaona kabisa huyu ni mke bora kabisa kwangu ila tatizo sina hisia kabisa kwake hata ku sex najilazimisha sana, hata kumkis nashindwa namuona kama dadaangu.

Huyu binti nilijuana nae miaka kadhaa huko nyuma na nilimpenda sana then tukapotezana, so nikajatafuta namba yake na kufanikiwa kumpata tena ila kwa kweli binti akawa amebadilika sana kimuonekano.

Alikuwa na shape matata sana ila kwa sasa ameisha kabisa, yaani kapungua sana na kawa mwembamba mnoo yaani utafikiri sio yeye sijui shida nini hapa? Mpaka najikuta naenda kuzagamua pisi ingine na hii yangu ipo ndani yaani nawaza mademu wengine kama nipo single tu.

Wazo langu ni kumpatia maisha bora na yenye furaha huenda akarudi kuwa kama mwanzo na kuteka hisia zangu.

Swali langu kwenu;
Je, inawezekana hisia kurudi kwa huyu binti?

Je nifanyaje ili hisia zirudi kwa huyu binti?

Nawasilisha kwenu.
 
Kinachokusumbua ni matarajio, ulichokikuta si ulicho kitarajia, yaani kuna perception kwenye kichwa chako inakusumbua.
Anyway muache mtoto wa watu
 
Nifanyaje mkuu huyu binti bado namuhitaji sana.. nishauri
 
Palilia ua lako.
Hao unaowaona wamenawili wametengenezwa kuwa hivyo.
Mwanamke matunzo.
Hata mimi nina wazo kama lako.. huenda akawa pisi bomba sana iwapo atapata matunzo mazuri
 
Kama mwanzo alikuwa bomba hilo linawezekana.
Hakuna mwanamke mbaya jamani.
Kitu chochote kikitunzwa vizuri lazima kiwe kizuri.
 
mwanzo alikuwa pisi kali balaaa ila kwasasa kaporomoka sana.. nimeshaanza kufanya utaratibu wa kumuweka sawa kuanzia mavazi, chakula na kumuondolea stress
 
Back
Top Bottom