mimi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva wa tax mtandao yaan Bolt au Uber

    Mimi ni dereva wa tax mtandao naishi kinondoni naitaji gari ya mkataba ninauzoefu wa udereva miaka saba Kwa mawasiliano 0677938003 0658755355
  2. JamiiForums Tanzania Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

    Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero
  3. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watoa huduma hasa wanawake customer service zao sio nzuri

    Hivi ni mimi tu sipendi kuhudumiwa na wanawake ofisi za umma au na wenzangu mpo kama mimi? Binafsi nikikutana na mwanamke ofisi ya umma au hata baadhi ya ofisi binafsi hasa wanaotoa customer service huwa huwa navunjika moyo sana. Watoa huduma wengi hasa wakike Tanzania wana customer service...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

    Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bayport na Banc ABC wanapata wapi namba zetu za simu na kutumbua na meseji zao?

    Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine zimekuwa zikituma meseji za huduma zao wakati sijawahi kujiunga wala kujaza fomu zao. Kwa mfano hao...
  6. JamiiForums Tanzania HESLB: Fedha za kujikimu (Chakula na Malazi), Wanafunzi kuanza kupokea kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024

    UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE Ijumaa, Mei 17, 2024 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
  7. JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee ndiyo nina maamuzi ya kijinga?

    Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela. Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60. Why kwake...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni mimi peke yangu? Nilikuwa na marafiki wa nguvu lakini kadri navyozidi kuwa mtu mzima nauona urafiki sio kitu cha kukipa sana uzito

    Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Airtel internet ina tatizo gani? Siku nzima sipati internet kwenye simu yangu. Je, ni mimi tu ama na wengine pia?

    Habari wadau. Leo Airtel internet imenigomea kabisa. Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ? Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
  10. JamiiForums Tanzania Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

    Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser. Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa" Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think...
  11. JamiiForums Tanzania Katika hili mimi nimeona madhara kwa afya ya binadam tu. Kwani kuna lingine?

    Mahala ambapo takataka zimemwagwa na hazijazolewa muda mrefu hupelekea harufu mbaya hata mlipuko wa magonjwa. Je kwenye eneo hilo kama kuna nguzo ya umeme nayo inaathirika? Tazama picha hapo chini.
  12. A

    JamiiForums Tanzania TANROADS na Mamlaka za Majiji wanavyo mzalilisha Makamu wa Rais kwa uharibifu wa mazingira

    Siku hizi kumezuka Tabia za malorry makubwa kwa magari kuegeshwa pembezoni mwa barabara au kwenye njia za waendao kwa miguu, hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na kwa madhumuni hayo na pia zina kiuka haki za watumiaji wengine wa sehemu hizo, iwe...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

    Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
  14. JamiiForums Tanzania Tigo pesa wananikata pesa bila mimi kuidhinisha. Nikiwapigia wanababaika.

    Msaada wenu naitaka tigo pesa yangu ila hunikata kila ninapoweka pesa kwa matumizi yangu. Mfano Hii ni kifano tu na sometimes nakatwa nastukia baadae. Msaada wenu ili niset simu yangu isiweze kufanya hii miamala
  15. JamiiForums Tanzania Nashauri Uitishwe Mdahalo kati ya Lissu na Kinana. Mimi nitajiandikisha kuwa mwanachama kwa ambaye atashinda

    Hoja kwenye mdahalo ziwe 1. Muungano 2. Katiba Mpya 3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake. CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
  16. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Nimeajiriwa ngazi ya chini Serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. Mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi changomoto sijajipanga. Niwaza hadi nimefika mwisho sijui nifanyeje, nina madeni mengi, na hapo hata...
  17. JamiiForums Tanzania Samahani sana Guedejr kwa kukuita 'Bondia" na kukudhiahaki kuwa hujui ball, nisamehe mimi nimekosa

    Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia . mwamba hivi sasa ana magoli jumla...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke anapokuuliza "una mpango gani na mimi" anamaanisha nini?

    Hivi wanakuwa wanamaanisha kitu gani?
  19. C

    JamiiForums Tanzania Marejesho Mimi ni software Developer mwenye idea aje tulifanyie kazi

    Wakuu kwema? kuna Post yangu nilileta hapa kuwa kama una idea yeyote tuje tuifanyie kazi for free bila malipo yeyote Nimefunga huu mjadala rasmi.. sipokei tena maombi nimepokea request nyingi saana nyingine nimezikubali na nyingingine nimezikataa kuna watu nimefanya nao kazi huku...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

    Mke wangu hawezi kutumia pesa yake kwa matumizi ya wote yaani hata nikikwama nikamuomba pesa ananiwekea na riba au hata nikiwa mbali yeye akanunua kitu ndani hata kama ni chumvi au sukari ukirudi anakwambia anakudai wakati alinunua kwa ajili ya matumizi yake. Je nifanye nini!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…