mimi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Photographer, Videographer, Graphics Designer na Content Creater. Naomba connection ya kazi wakuu

    📷📷
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama aliyemkosoa vibaya hadi Kumtusi Trump Wiki hii Trump Kamteua kuwa Mgombea Mwenza kumbe hata Mimi Mkosoaji 2025 naweza kuwa Mgombea Mwenza wake

    JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
  3. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mzee Magoma akana kushinda kesi dhidi ya uongozi wa Yanga

    “Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanayanga wenzangu mimi nipo pamoja na wazee wetu, tuwaunge mkono

    Mimi kama Mwanayanga lia lia naunga mkono hatua ya mahakama tutengua uongozi uliopo kwenye club yetu. Kwani haukuzingatia katiba yetu. Wazee wameupiga mwingi tuwapongeze, tusiwabeze, kwani wanateta maslahi ya club yetu, uongozi uliopo ni wakijanja janja tuukatae. Kesho asubuhi na mapema...
  5. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Aliyemuelewa kamanda muriro hapa mimi kwangu naona kama anachanganya mafaili

    https://www.youtube.com/watch?v=uqQyTKITO4M
  6. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu mimi

    Usiyoyajua kuhusu mimi 1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji. 2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria. 3. Nikiamini jambo linawezekana nitamini hivyo mpaka nikilifanya likashindikana. 4. Simbembelezi mtu kunipenda, kununua...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Sema wewe Talib Hilal nikisema mimi kocha mpya wa Simba hafai ntaonekana msaliti

    Kocha Talib Hilal amekaririwa na redio moja nchini akisema jana kuwa kocha mpya anayetarajiwa kuingia kandarasi na Simba Faldu David's hana uwezo na hawezi kuifikisha popote pale Simba. Talib defender wa zamani wa Simba na baadae akawa kocha anasema recodi ya kocha huyo mpya ya mechi 12...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

    Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana. Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri. Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila...
  9. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Ni komenti yako ipi au uzi wako upi uliouanzisha ambao unatamani uufute? Ya kwangu mimi ni hii

    Eeh bhana Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha. Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo. Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa...
  10. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Anavalishwa pete ya ndoa na mamsapu wake lakini! Mmmmm! Mimi sijamsoma

  11. rolex_photographa

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya kudesign graphics, ukinihitaji tafadhali nitafute

    Graphics design zote ninafanya. Ukinihitaji nakutumia CV yangu unaipitia. Mawasiliano: 0743442532
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Penzi letu na mpenzi limevuja tena ndio bye bye limeishaa! Almost 4 years ila sio riziki isee!

    Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa! Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae! Dah....!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mimi maombi yangu ni kuwa viongozi wapige marufuku waganga wa kienyeji.

    Sipaji jibu kwa nini viongozi mnakumbatia waganga wa kienyeji kwenye nchi.Ninaomba sana watu Hawa wapigwe marufuku wasiwepo Tena.Kwenye hii Karne ya sayansi na technolojia sidhani tunaohitaji Tena waganga wa kienyeji.Ni kundi la watu ambao ndani yake Kuna utapeli usioweza kuelezeka.ili tuepukane...
  16. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

    Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu. Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao. Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine.. Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge...
  17. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Mimi huyo tarehe 13 july 2024😁

    😁🤸
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
  19. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Mimi ni TEAM Hamas,Russia,Iran,Hizbullah,Houth Kama ndiyo na wewe njoo hapa tujuane

    Wana jamii kama kichwa cha habari kınavyosema hapa ni team hiyo hapo juu,kama una habari nzuri kuwahusu tafadhali tuletee hapa pia Tijuane!
  20. U

    JamiiForums Tanzania Inamaana vyombo husika vimeshindwa kumshughulikia Mpina?! Kweli kabisa? Naomba Mimi nipewe kazi hiyo!

    Wadau hamjamboni nyote? Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa? Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu? Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea? Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali...
Back
Top Bottom