venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 2,223
- 3,169
Yaan ujana awape Wengine aalafu uzee alete Kwangu ! Mi nakula naotaka hapa Singapore
Kanatoka Slovenia kana mpunga Ila Mimi sitakagi Pesa ya mwanamke
Sitaki mabibi Mimi alafu kanakazana kutuma wahudumu 😀😀😀
Baada ya kuona Nina minyama yangu
Yaan leo aliyekaa nyuma yangu hapa ni Yale mambo Nataka Mimi nyama nyingiiiiiii mchuzi kwa mbaaaaliiii
Toto limeshanijoin ***** linaagiza tu now ni 340$ kabisa Dadek

- venchwa
- karibu mambo warembo wote
- Replies: 51
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki