mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bima ya NSSF haihudumii mimba ya miezi sita kushuka chini?

    BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI. Habari zenu ndugu zangu! Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni sio changamoto pekee kwa Watoto wa kike

    Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao. Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili la mimba

    Wapendwa habar za jumapili, Ninapata changamoto naombeni ushauri kwa wanaojua vyema. Mke wangu amejifungua mara mbili, zote kwa kisu, kwa sasa ananyonyesha mtoto wa mwaka mmoja ila tumejichanganya ana ujauzito wa mwezi mmoja na hatukua tayari kwa swala hilo kwa sasa coz bado wato ni wadogo na...
  4. JamiiForums Tanzania "Baba" Diamond awe fundisho tosha kwa wanaume mnaosumbua wanawake wakipata mimba: msikimbie mimba, wala msizingue kama wazazi

    Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee! Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani. Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

    Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme... Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3. Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mabweni shule za kata yanaweza kuzuia mimba kwa wanafunzi

    Kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo la mimba kwa wanafunzi katika shule nyingi za sekondari za kata, na hasa zile zilizopo maeneno hya vijijini, limekuwa moja ya maadui wakubwa wa elimu na maendeleo ya watoto wa kike. Aidha, takwimu za Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya Tanzania wa Mwaka 2015-16...
  8. JamiiForums Tanzania Argentina yapitisha muswada wa kuhalalisha utoaji wa mimba

    Baraza la seneti la Argentina, limepitisha mswada wa sheria wa kihistoria unaohalalisha uavyaji mimba katika taifa ambalo Kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi mkubwa kwa muda mrefu. Argentina imekuwa miongoni mwa kundi dogo la nchi za Amerika Kusini kuchukua hatua hiyo. Muswada huo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Athari za Kisaikolojia kwa Wasichana wanaobeba mimba katika umri mdogo

    Mimba za utotoni zinaathiri mwenendo na tabia za Msichana ambapo asipopata matibabu ya kisaikolojia uwezekano wa kufanya ukatili akiwa mtu mzima ni mkubwa Mimba ina madhara mengi zaidi, Msichana anaweza kumkataa, kumkimbia #Mtoto. Lakini anapokuwa na huyo mtoto uchungu unazidi kwahiyo anaweza...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana. Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

    ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA'' Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni: Visababishi na miiko ya wahenga

    Swala la mimba za utotoni limekuwa ni jambo lenye utata kwenye jamii nyingi ndani nanje ya Afrika. Utafiti wa shirika la afya duniani (WHO) unaonyesha kwamba wasichana milioni 16 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 19, na wasichana milioni 1 wenye umri wa chini ya miaka 15 huwa wahanga wa mimba za...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani zinazosababisha mimba za utotoni na kupelekea Wasichana wadogo kuwa Mama katika Umri mdogo

    Imeandikwa na: Jukwaa la Utu wa Mtoto - Children’s Dignity Forum (CDF) Source: “Sikujua Nilipataje Mimba,” Utafiti Shirikishi kuhusu Mimba za Utotoni na kuwa Mama katika Umri mdogo uliofanywa Wilayani Mpwapwa, Tanzania: (2018) Mimba za utotoni ni moja ya changamoto kubwa ya kiuchumi na kijamii...
  14. JamiiForums Tanzania Jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba mtoto angekua na umri gani?

    Embu tuambizane, ndugu wajenzi wa nchi, maisha yanatunyoosha na sisi tunayanyoosha. Wengi tumepitia changamoto nyingi za maisha, wengi tumepitiwa kwenye mahusiano mengi sana, wengine wakapat mimba au kuwapa watu mimba na kuchukua maamuzi ya kuitoa. Embu jaribu kuwaza kama usingetoa ile mimba...
  15. JamiiForums Tanzania Geita: Amsababishia mwenzake kifo wakati akimtoa mimba nyumbani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, linamshikilia Vestina Michael (44), mkazi wa Buseresere wilayani Chato kwa tuhuma za kumtoa mimba na kumsababisha kifo Mariam Msalaba (40), ambaye alipoteza maisha muda mfupi baada ya kutolewa mimba nyumbani kwa mtuhumiwa. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita...
  16. JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa tuhuma za kuua akijaribu kutoa mimba

    JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikiria Frodius Protace ‘Gafseki’ (24) mkazi wa Kijiji cha Rushe wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua Saraiya Idd (25) mkazi wa Kijiji cha Mabuye wilayani Misenyi wakati akijaribu kumtoa mimba ya miezi sita kwa malipo ya Sh 600,000. Kamanda wa Jeshi la...
  17. JamiiForums Tanzania Wasio na uwezo wa kushika au kutia mimba wanachangamoto nyingi maishani

    Bila shaka tunatambua ustawi wa jamii unaanzia kwenye ngazi ya familia, kwa hiyo ni jukumu la ustawi wa jamii kuwa na sera inayoyaangazia matatizo yote yanayoikumba ngazi ya familia ili kuiweka sawa Ngazi ya familia ina kitu wanaita TARAKA, ambaye sababu yake kuu kwa tafiti zilizopo ni mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Niko njia panda, ushauri unahitajika

    Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya. Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke anaweza kujifungua kwa njia ya kawaida iwapo mimba ya kwanza alijifungua kwa upasuaji?

    Napenda kufahamu kama mama mjamzito anaweza kujifungua kwa njia yakawaida baada ya mimba yakwanza kujifungua kwa upasuaji uliosababishwa na njia ndogo wakati wakujifungua
  20. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini kufungua shule kuanzia leo, mimba kwa wanafunzi zaongezeka

    Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema. Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…