milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mitungi milioni 4 ya oksijeni yahitajika duniani kote kila siku kwa wagonjwa wa COVID-19

    Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limeongeza mara nne mahitaji ya kila siku ya hewa ya oksijeni kwa wagonjwa katika nchi za kipato cha chini na kati, amesema Philippe Duneton, Mkurugenzi wa UNITAID, ambalo ni shirika tanzu la shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO likiwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda kova afichua siri ya mabenki kuvamiwa asema,dharau za wamiliki wa benki ndio tatizo..

    JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam limefichua Siri ya kuongezeka Vitendo vya ujambazi katika maBenki mbalimbali hapa nchini na kusema vitendo hivyo vinasababishwa na Wamiliki wa Mabenki hayo kulipuuza Jeshi la polisi,Kauli hiyo ya Jeshi la polisi Kanda ya Dar es Salaam imekuja...
  4. JamiiForums Tanzania Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

    Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi baada ya kutambulishwa kwa mwanadada huyo mwenye vocals hatari na mashairi machachari...
  5. JamiiForums Tanzania DRC to return AstraZeneca vaccines to UNICEF

    Summary The decision was made to ensure usage of the vaccines before the expiry date on June 24. The DRC has not issued a vaccination plan to support a mass vaccination campaign and has an insufficient number of vaccination sites. The Democratic Republic of Congo says it will return to the...
  6. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Rungwe: Katika upandishaji madaraja, Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwa watumishi kabisa

    Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy. Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbalimbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao...
  7. J

    JamiiForums Tanzania TPA: Upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo zaidi ya bandari ya Mombasa, itapokea tani milioni 2 za mizigo

    Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya. Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani ambayo imekosolewa kwa kuhodhi chanjo itagawa dozi Milioni 60 za AstraZeneca na nchi nyingine

    Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya Chanjo hizo. Wakosoaji wamekuwa wakiishutumu Marekani kuhodhi Chanjo wakati Nchi nyingine zina uhitaji...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

    Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma Katibu Mkuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtumishi wa NSSF alilipwa milioni 26 za uhamisho akitokea HQ Posta kwenda ofisi za NSSF Kinondoni Dar

    Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM. Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
  11. JamiiForums Tanzania Hivi vifaa vya kujengea nyumba za viongozi huwa vinanunuliwa wapi? Nyumba moja kugharimu milioni 838

    Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini? === Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Meya Manispaa ya Moshi adai kuhongwa Shilingi milioni 5

    Menya wa Manispaa ya moshi Juma Raibu, ameibu madai mazito dhidi ya Kampuni ya Kilimanjaro Bus akidai kampuni hiyo ilijaribu kumhonga kiasi cha shilinig Milioni tano ili aisitishe mpango wake wak utaka kuvunjwa kwa sehemu ya uzio uliowekwa kweney hotel ya Kampuni hiyo iliyop katikati ya mji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya Milioni 1.4 wakabiliwa na njaa

    Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limesema zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. Zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. Shirika la msalaba mwekundu nchini humo limesema maeneo yaliyo...
  15. JamiiForums Tanzania Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi? Wadau mawazo yenu Tafadhali. Mchango wa mdau Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kisarawe: Kamati ya siasa ya wilaya yachachamaa tsh milioni 56 kujenga matundu ya choo kifisadi

    Kamati ya siasa wilaya ya Kisarawe wamemtaka mkurugenzi wa halmashauri kutoa uthibitisho wa namna walivyotumia tsh 56 milioni kujenga matundu machache ya vyoo tena chini ya kiwango Wajumbe wa kamati hiyo wamesema halmashauri ya Mkuranga imejenga matundu ya vyoo kama hayo na kwa ramani hiyo hiyo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Ukitumia vigezo vya dunia nusu ya Watanzania (watu milioni 28) Wanaishi katika ufukara uliopitiliza

    Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amesema ukitumia vigezo vya dunia kutathmini hali ya maisha ya watanzania basi zaidi ya nusu ya watanzania ni mafukara wa kutupwa. Lipumba amesema zaidi ya watanzania milioni 28 wanaishi kwa umaskini uliopitiliza. Ramadhan Kareem!
  18. U

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yapewa siku 14 kulipa kodi ya ardhi jumla ya Tshs milioni 77

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa Utekelezaji wa agizo hilo...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mnaotutambia kujenga kila kitu kwa hela ya ndani, mnadaiwa kila mmoja milioni moja

    Ndugu zetu kila siku mnatutambia namna kwenu huko hela zipo na mnafanya vyote hivyo kwa hela ya ndani, ilhali taarifa zinaonyesha namna deni lenu limekua ghafla kwa miaka michache, heri sisi ambao huwa tunakiri kufanikisha hii miundo mbinu yote kwa mikopo japo pia uchumi wetu ni mara mbili ya...
  20. JamiiForums Tanzania Dili la bilioni 11.5 diamond naona kapigwa, ni ndogo kwa brand ya WCB

    Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki, Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu Ni label kubwa sana, hapo Kenya WCB inatikisa vilivyo Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…