Hapa naongelea WATALII WA NJE
Kila nikifikiria naona kama hapa Africa, tunapaswa kuwa top 3 ya kupokea watalii kwa sababu ukiondoa overrated Egypt, sijaona nchi ya Africa inafikia Tanzania kwa vivutio vya utalii
Pia utalii wa maeneo kama Ruaha, Katavi na Gombe ni so underrated nahisi...