Kwanini Tanzania inapokea watalii milioni 2 tu?

Kwanini Tanzania inapokea watalii milioni 2 tu?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,816
Reaction score
16,013
Hapa naongelea WATALII WA NJE

Kila nikifikiria naona kama hapa Africa, tunapaswa kuwa top 3 ya kupokea watalii kwa sababu ukiondoa overrated Egypt, sijaona nchi ya Africa inafikia Tanzania kwa vivutio vya utalii

Pia utalii wa maeneo kama Ruaha, Katavi na Gombe ni so underrated nahisi haujafanyiwa promo ipasavyo

Kwa kuzingatia, wakati sisi binadamu wa Tanzania tunaboronga kwenye kujenga nchi yetu seriously lakini suala la nature, Tanzania ni very GOATED place. So if we suck at building our country, may be we shouldn't suck at promoting nature too

Fikiria nchi yoyote ile ya Africa ambayo ina vivutio vyote hivi kwa pamoja

  • Serengeti National Park (Wildebeest migration, best national park for wildlife ina Africa)
  • Zanzibar (white sands, beaches, rich history)
  • Ngorongoro (wildlife, the shifting sands of Ngorongoro, the crater)
  • Mount Kilimanjaro
  • Mount Ol Doinyo Lengai
  • Tarangire National Park
  • Katavi National Park
  • Mikumi National Park

* Ruaha National Park (watu wengi hawajui, lakini asilimia 10 ya simba wote Africa wanapatikana hifadhi ya Ruaha pekee, kiasi cha watalii Ruaha hakiridhishi ukifananisha na how amazing it is)

*Gombe & Mahale National Parks (one of the most underrated places in Tanzania, makazi ya primates wa kila aina, especially chimpanzees)
  • Mount Meru
  • Rubondo Island
  • Lake Natron (very alkaline lake, home to millions of flamingos in the world and it's just in the same location with Mount Ol Doinyo Lengai, not to mention jinsi inavyobadili maiti za wanyama kuwa kama mawe)
  • Eneo kubwa la bahari ambalo tunaweza kujenga hoteli za luxury na kuzifanyia promo
  • Selous Game Reserve
  • Lake Manyara National Park (so underrated)
The list goes on

Kwa hivi vivutio vya Tanzania tunastahili watalii milioni 10+. Inaonekana hatupo vizuri kwenye kutangaza vivutio vya utalii
Nashangaa hadi Kenya inapata watalii sawa na sisi, ukizingatia vivutio vya utalii Kenya ni child's play ukifananisha na Tanzania

photo-1670786445697-e0b6570d2687.jpeg
photo-1726075016735-4fe1aa95ee9d.jpeg
photo-1507088164404-020d1e905959.jpeg
premium_photo-1664302700221-bd1549347986.jpeg
photo-1631182951500-226ee196e219.jpeg
photo-1745885979468-44a855f8a5fa.jpeg
photo-1516494982030-fda424f96b59.jpeg
photo-1615209635653-52e675012cdd.jpeg
premium_photo-1697729506473-f0f7e3a5407c.jpeg
photo-1667550577898-53e9750c6316 (1).jpeg
22523554236_c24ba33711_b.jpg
14469576555_15688466d4_c.jpg
lake-natron-banner.jpeg
Lake-Natron-1.jpg
lake-natron-camp-tanzania-bedroom-yellow-zebra-safaris-1024x512.jpg
 
Ila Tanzania utalii wa safari tour ni bei sana...mfano kwa Indonesia mtalii anatoka ulaya au japan kuja bali kisiwani kwa sababu ni almost bure pesa anayolipa ni ndogo sana ..utalii wa Tanzania umejikita kwa matajiri wachache wa huko ulaya
 
Ila Tanzania utalii wa safari tour ni bei sana...mfano hulu Indonesia mtalii anatolia ulaya au japan kuja bali kwa sababu ni almost bure pesa anayolipa ni ndogo sana ..utalii wa Tanzania umejikita kwa matajiri wachache wa huko ulaya
Ni kwamba tuna tamaa au nini?
Wapunguze gharama za utalii kwenye underrated parks kama Ruaha, Katavi and so on
Hili nimesikia sana watalii wakilalamikia, mfano Zanzibar hoteli ni very expensive. Mtu anaona bora aende Indonesia ambayo ina maeneo mengi yenye beach kama za Zanzibar na inagharimu pesa chache mno
Indonesia inapokea watalii wa nje milioni 15 kwa mwaka. Sisi tunayumba sana
 
Ni kwamba tuna tamaa au nini?
Wapunguze gharama za utalii kwenye underrated parks kama Ruaha, Katavi and so on
Hili nimesikia sana watalii wakilalamikia, mfano Zanzibar hoteli ni ver expensive. Mtu anaona bora aende Indonesia ambayo ina maeneo mengi yenye beach kama za Zanzibar na inagharimu pesa chache mno
Indonesia inapokea watalii wa nje milioni 15 kwa mwaka. Sisi tunayumba sana
Sijui walizingatia nini sasa kwa sababu mtu kuja serengeti kwa mfano ku enjoy week lazima awe na zaidi hata ya million 10 wakati mtu huyo huyo aende bali au komodo dragon anatumia labda million 3 au 5 kwa week..na tushukuru tuma serengeti na kilimanjaro na zanzibar isingekuwa hivyo basi tungepokea watalii laki 5 tu kwa mwaka
 
Hapo ndio utajua upele humwota asiye na kucha
Sisi karibia kila resource hatujui kuitumia, hata na vivutio vyote hivi Tanzania ila bado tunapokea watalii wa nje milioni 2 tu. Na hapo utakuta 80% percent wanatembelea Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro na Zanzibar
Maeneo mengine na uzuri wake wote ila watalii wa kuhesabu
Inaniuma sana maeneo kama Katavi, Ruaha, Gombe nk kutopata attention they deserve
 
Siasa safi na uongozi bora ndio vitu vinavyotukwamisha kama Taifa.
Watu na Ardhi vipo.
Kwa kweli kama tungekuwa na uongozi bora tungekuwa mbali. Hapa nimefuatilia Indonesia kumbe wenzetu wameachia nchi yao visa free kwa nchi nyingi sana duniani, ndio maana ni rahisi kupata watalii
Ila Tanzania mpaka uanze ma process ya visa kibao, tunategemea Royal Tour ndio itatuletea watalii 🤦
 
Hapa naongelea WATALII WA NJE

Kila nikifikiria naona kama hapa Africa, tunapaswa kuwa top 3 ya kupokea watalii kwa sababu ukiondoa overrated Egypt, sijaona nchi ya Africa inafikia Tanzania kwa vivutio vya utalii

Pia utalii wa maeneo kama Ruaha, Katavi na Gombe ni so underrated nahisi haujafanyiwa promo ipasavyo

Kwa kuzingatia, wakati sisi binadamu wa Tanzania tunaboronga kwenye kujenga nchi yetu seriously lakini suala la nature, Tanzania ni very GOATED place. So if we suck at building our country, may be we shouldn't suck at promoting nature too

Fikiria nchi yoyote ile ya Africa ambayo ina vivutio vyote hivi kwa pamoja

  • Serengeti National Park (Wildebeest migration, best national park for wildlife ina Africa)
  • Zanzibar (white sands, beaches, rich history)
  • Ngorongoro (wildlife, the shifting sands of Ngorongoro, the crater)
  • Mount Kilimanjaro
  • Mount Ol Doinyo Lengai
  • Tarangire National Park
  • Katavi National Park
  • Mikumi National Park

* Ruaha National Park (watu wengi hawajui, lakini asilimia 10 ya simba wote Africa wanapatikana hifadhi ya Ruaha pekee, kiasi cha watalii Ruaha hakiridhishi ukifananisha na how amazing it is)

*Gombe & Mahale National Parks (one of the most underrated places in Tanzania, makazi ya primates wa kila aina, especially chimpanzees)
  • Mount Meru
  • Rubondo Island
  • Lake Natron (very alkaline lake, home to millions of flamingos in the world and it's just in the same location with Mount Ol Doinyo Lengai, not to mention jinsi inavyobadili maiti za wanyama kuwa kama mawe)
  • Eneo kubwa la bahari ambalo tunaweza kujenga hoteli za luxury na kuzifanyia promo
  • Selous Game Reserve
  • Lake Manyara National Park (so underrated)
The list goes on

Kwa hivi vivutio vya Tanzania tunastahili watalii milioni 10+. Inaonekana hatupo vizuri kwenye kutangaza vivutio vya utalii
Nashangaa hadi Kenya inapata watalii sawa na sisi, ukizingatia vivutio vya utalii Kenya ni child's play ukifananisha na Tanzania

View attachment 3563467View attachment 3563468View attachment 3563469View attachment 3563470View attachment 3563471View attachment 3563472View attachment 3563473View attachment 3563474View attachment 3563475View attachment 3563476View attachment 3563477View attachment 3563478View attachment 3563479View attachment 3563480View attachment 3563481
Watakii siyo lazima wawe hao wanaoe da MBUGANI.

Kuna wengine ni wazururaji tu wa mjini.

Kwani Thailand, Dubai au Paris watu wanaenda kuona nini???
 
Kuna nchi zina vifutio vizuri sana kuliko Tanzania, na ndio huenda wengi wanaenda huko
Kwa hapa Africa nchi gani? Maana Tanzania ni ya 6 kwa watalii, just next after Kenya
Hata huko Asia kuna nchi hazifikii Tanzania kwa vivutio vya utalii lakini wanapokea watalii wengi kuliko sisi
 
Magufuli alikua anaijenga Tanzania moja nzuri sana ya kuja kuwa eneo la kutalii.

Alianza na miundombinu kwanza akaanza sgr(imagine sgr imefika mwanza, watalii wangapi watatumia treni kuizunguka nchi)akanunua ndege.

Hata ile ya kuweka mbuga chato, alijua plan zake na ndio maana akajenga na Airport
 
na ni nani amekudanganya kwamba watalii wanataka kuona mbuga ya wanyama? ...
Watalii wanaangalia vitu vingi, moja ya vitu wanavyoangalia ni mbuga za wanyama. Vivutio ni vingi
Na Tanzania ina offer more than mbuga za wanyama.
Achana na mataifa kama France ambayo yanapokea hadi 90M tourists. Kwa vivutio vya Tz ilipaswa tupokee watalii hata milioni 10
 
Hii ni mada mtambuka... Kupata maoni ya mtu kama Mzee Chambulo angalau tungepata mwanga.

Ishu ya gharama za malazi kuwa juu sio jambo la kulalamika. Ni fursa kwa watu wengine wajenge sehemu za malazi za Bei rahisi. Mtu anajenga high end hotel than unataka mtu yoyote tu aingie kulala?
Pia ishu ya namba ya watalii nayo ni kuangalia... Maana wengine wanahesabiwa kama watalii ila ni wale wa ku connect flights.
 
Back
Top Bottom