Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

Huenda boma, ila finishing mmh...ujenzi unachota hela kama maji, msingi tu utashangaa 15 imekata au zaidi.
Hebu usimkatishe tamaa mwenzio bwana! Shida atakayopata ni mawe tu, mchanga wa tofari anaupata hapo hapo kwenye kiwanja chake maana atakuwa anachimba shimo la maji machafu kumbe anachimba mchanga. Saruji na vifaa vingine vya ujenzi kwa Dar ni bei chee sana huwezi kulinganisha na huko kwetu Kanda ya ziwa. Kama ni nyumba ya kawaida tu mwamba anatoboa na chenji inabaki!
 
Back
Top Bottom