milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Morogoro: TAKUKURU kuwachukulia hatua waliokopa Tsh. Milioni 600 za Halmashauri na kushindwa kurejesha

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza ametoa agizo hilo dhidi ya vikundi vilivyopewa Mikopo ya 10% iliyotolewa na Halmashauri. Pia, amesema TAKUKURU imebaini Manispaa ya Morogoro ni kati ya maeneo ambayo ilitoa Mikopo hiyo bila kufuata...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Milioni 20 inatosha gari Afrika Kusini?

    Heshima zenu wakuu! Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko. Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye...
  3. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Jifunze hili husitapeliwe kama huyu alivyoibiwa milioni 40 benki

    Wana Bodi. Kupitia kisa hiki na mafundisho haya naamini nitanusuru wengi na kutoa elimu tunduizi. Taadhari:Lengo la makala haya na video si kufundisha wizi bali kutoa elimu kwa jamii wasiibiwe kizembe. Kutokana na mabadiliko ya kitechnlojia watu wengi kwa sasa wanatumia mifumo ya kimtandao na...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania META kulipa Faini ya Tsh. Milioni 243.7 kila siku kwa kuingilia Faragha za Watumiaji wake

    Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara ============ Facebook owner Meta Platforms (META.O) will be fined 1 million crowns ($98,500) per day over privacy...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya safari ya kitalii Afrika

    Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo! Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu. Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Drake apoteza Tsh. Milioni 621.6 kwa kubet kuwa Bondia Nate Diaz atashinda

    Mkali huyo wa 'Gods Plan' aliweka dau la Tsh. 621,617,182 kwa kumtabiria ushindi Bondia Nate Diaz ambaye amechezea kipigo katika raundi ya 5 ya mchezo uliokuwa na raundi 10. Oktoba 2022, alipoteza Tsh. Bilioni 1.7 kwa kutabiri Barcelona ingeshinda dhidi ya Real Madrid, akapoteza tena Tsh...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

    Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli baada ya kufariki kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 42 (zaidi ya Tsh. Bilioni 100)...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kupandikiza Uume Hospitali ya Benjamin Mkapa ni Tsh. Milioni 6 hadi 10

    Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni. Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/24. Dk...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Diwani Kata ya Kamsamba Amepongeza Rais Samia na Mbunge Condester kwa Kupeleka Milioni Mia Tisa za Miradi ya Maendeleo

    DIWANI KATA YA KAMSAMBA AMEMPONGEZA RAIS SAMIA NA MBUNGE CONDESTER KWA KUPOKEA MILIONI MIA TISA ZA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA MOMBA Diwani wa Kata ya Kamsamba Jimbo la Momba Mhe. Kyalambwene Kakwale amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mike Sonko kuchunguzwa kwa kutumia Walinzi 33 na kuwalipa Tsh. Milioni 68 ndani ya siku 22 akiwa Gavana

    Kamati ya Uchunguzi ya Bunge la Seneti Nchini Kenya imeitaka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kumchunguza Gavana huyo wa zamani wa Jiji la Nairobi kutokana matumizi mabaya ya Fedha za Umma. Sonko anadaiwa kuwalipa Maafisa 33 waliokuwa wakimlinda wakati akiwa Ziarani Jijini Mombasa...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki achangia Milioni 5 ujenzi zahanati ya Kajeje Kata ya Kanoge, Katavi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 24 Julai, 2023 amefanya ziara katika Kata ya Kanoge Mkoa wa Katavi na kukabidhi Shilingi Milioni tano (5,000,000) kwaajili ya kuchangia Ujenzi wa Zahanati Jengo la Mama na Mtoto katika Kijiji cha Kajeje Kata ya Kanoge. Aidha...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANAPA yajipanga kukusanya Bilioni 343.8, Sasa Wanyama kupewa Majina ya Watu kwa gharama ya Milioni 5

    Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni. Utaratibu huo nakuja baada ya...
  14. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kumpa mnyama jina lako kwa Tsh Milioni 5

    Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) imesema gharama za kuasili wanyama ni TZS milioni 1 kila mwaka na kumpa mnyama jina lako TZS milioni 5. ---- Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa...
  15. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

    Shule hizi kwa miji ya Arusha na Moshi zipo kama International School of Moshi, Arusha Meru international school, Sunflower international school, ccis, Tanganyika schools, Jaffery academy, Braeburn, Kennedy House, St Constantine, n.k. Shule hizi kwa nchi nzima zinaweza zisifike 30, Kwa Dar jiji...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Achangia Milioni 1.2 Ujenzi Miundombinu ya Maji

    MBUNGE NDAISABA RUHORO ACHANGIA 1,200,000 JUMUIYA YA WATUMIAJI MAJI - KASULO "Nimechangia Mita 40 za kurekodi matumizi ya maji, na kiasi cha TZS 1,200,000 kama gharama ya ufundi wa kuzifunga mita hizo kwa wateja wa mwanzo" - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Lengo likiwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge David Kihenzile Achangia Milioni 10 Ujenzi Ofisi ya Kata Igowole

    MBUNGE DAVID KIHENZILE ACHANGIA MILIONI KUMI UJENZI WA OFISI YA KATA YA IGOWOLE- MUFINDI KUSINI Mbunge wa Mufindi Kusini David Kihenzile amefanya Kikao cha pamoja kilichojumuisha Viongozj wote wa Kata ya Igowole ikiwemo Wajumbe Mkutano Mkuu CCM Kata, Mabalozi, Vitongoji, Viongozi wa dini...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Ujerumani ina watu milioni 82 ilhali baiskeli zipo mil. 81, Tanzania baiskeli ni alama ya umaskini

    Nchi ya Ujerumani ina idadi ya watu milioni 82 huku watu hao wakimiliki jumla ya baiskeli milioni 81. Ujerumani inayo jumla ya magari milioni 48. Mtoto akifika miaka 11 anatakiwa kujifunza na kukata leseni ya baiskeli ili kuweza kuendesha baiskeli kwenye barabara za umma. Barabara husika nyingi...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Lekaita akabidhi Vifaa Tiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 136

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa tiba kituo cha Afya cha Engusero (Milioni 100), Zahanati ya Ngipa (Milioni 18) na Zahanati ya Nchinila (Milioni 18) vyenye thamani ya shilingi milioni 136. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Vijana...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Milioni 2 kwa anayekumbatia Watoto hospitali ya Amana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana jijini Dar es Salaam. Ujumbe huu umetumwa siku moja tangu mitandao ya Mwananchi Julai 18, 2023 iliporipoti habari...
Back
Top Bottom