Jifunze hili husitapeliwe kama huyu alivyoibiwa milioni 40 benki

Uchumi TV

Member
Apr 11, 2023
14
19
Wana Bodi.

Kupitia kisa hiki na mafundisho haya naamini nitanusuru wengi na kutoa elimu tunduizi.

Taadhari:Lengo la makala haya na video si kufundisha wizi bali kutoa elimu kwa jamii wasiibiwe kizembe.

Kutokana na mabadiliko ya kitechnlojia watu wengi kwa sasa wanatumia mifumo ya kimtandao na maduka ya mtandaoni kuuza na kununua bidhaa.

Kwa maduka yaliyoko mtandaoni hasa yaliyoko nje ya Tanzania ni lazima uuzaji na ununuzi itumike fedha ya kigeni kwa maana ya dollar au Euro nk.

Kuna utapeli wa aina nyingi kama muuzaji kuwa mwizi,mnunuzi kuwa mwizi aina hizi leo sitaziongelea bali mimi naongelea mtu kuibiwa na mtu wa tatu nje ya hao. Yaani wala uuzi wala kununua kitu lakini fedha zako zinaibiwa benki au kwa account yako.

Kwa msingi huo jamii yetu hasaTanzania watu wengi wamepoteza fedha nyingi kupitia utapeli kwa mifumo yao ya fedha kuunganishwa na mifumo ya malipo online.

Kama utaki kusoma makala ndefu na unazo mbs unaweza kutazama video hii ya dk 17 tu hapa chini maana kilichopo katika video ndicho nilichoandika hapa tu.

Iko hivi

Mifumo yoyote ya kibenki iwe local Kama hizi EXIM,CRDB NMB nk ilimhusika aweze ku withdraw fedha kwenye account yake anahitaji hasa vitu vitatu ambavyo ni kadi,namba ya account yake na saini wengine uita sahii. Katika hizo benki ukienda katika Automatic Teller Machine(ATM) vinahitajika vitu hivyo lakini hapo saini ubadilika kutoka saini ya mkono kuwa PIN. Zile PIN kimfumo ndiyo saini.

Sasa tukija katika kutoa fedha benki kutoka katika account yako ya benki kwa mfumo wa kimataifa (internationally) au kwa lugha rahisi kufanya withdraw online au kununua bidhaa online kutoka kwenye account yako ya benki vinahitajika vitu vitatu navyo ni namba ya kadi ya benki(siyo account namba),tarehe ya mwisho wa matumizi kadi (expired date) na Card verification Value(CVV). Hapa cvv inahesabika kama saini kwa lugha rahisi.CVV ukaa nyuma ya kadi yako ya benki

HIvyo katika eneo hili mtu akipata vitu hivi anaweza kuchukua fedha yako au kutumia kadi yako kuifanyia malipo mtandaoni.

Hapa ni pale ambapo baadhi ya account yako umeiruhusu kuhusika na online transactions au unazo account za kutoka mitandao ya simu kama Vodacom,tigo nk ambao wanatoa Visacard na Mastercard. Hizi account kutoka mitandaoya simu utoa tu namba ya kadi(siyo account namba),expired date na CVV tena unatumiwa kwa sms.Chunga sana maana mtu akizipata na huku umejaza fedha katika accunt hizo mtu anasepa nazo. Tazama vema katika video hapo juu.

Hivyo online account yako itahesabika umeruhusu malipo au fedha zako kuchukuliwa hata kama siyo wewe iwapo hivyo vitu vitatu vipo.

Taadhari sana kamwe husimpatie mtu kadi yako ya benki au futa zile CVV kwa nyuma zitunze mahali maana hizo ndizo saini yako.

Katika tukio lilofanya kuandaliwa kwa makala hii na video hii ni baada ya mtu mmoja account yake kuchukuliwa zaidi ya mamilioni ya fedha bila yeye kuwa ameruhusu. Wajanja walitumia aaccount yake kununulia vitu mtandaoni.

Kimsingi unaweza kutumiwa notification juu ya huo muhamala ambapo unaweza kuzuia au kushindwa kuzuia kutokana na mifumo ya uharaka na upatikanani wa watoa huduma wa hizi benki zetu ambao hauendani na uharaka wa mifumo ya wenzetu wanaouza bidhaa mitandaoni nje ya nchi.

Kwa ufafanuzi zaidi upo katika video hapo juu.

Tuwe salama.
 
Sawa

Sawa mkuu, tumekupata!
 
Benk ninayotumia Baki na kuwa unavyo hivyo vyete vinavyo patikana kwenye kadi na wenyewe lazima wakutumie verification code. Kila unapo fanya muamala wa online
 
Kuna Verification code lazima irudi kwenye simu ndiyo mumala ukubalike hasa online Transactions
 
Mifumo ya kibenki sasa hivi hiyo mbinu haifanyi kazi, kwasababu ili muamala ukamilike, ni lazima ujaze au uweke OTP(One Time Password).
 
Siku hizi kuna verification code ama kwenye nchi zenye mfumo mzuri wa utambulisho wa makazi wanauliza address ya mwenye kadi na zip code
 
Umeandika sana ila kifupi tu ni kwamba mtu anaweza kukuibia ikiwa anataarifa zako sahihi za card au bank. ila online shop sio rahisi cos mtu anaefanya shop basi anakuwa ameweka vitambulisho vyake alafu taarifa za kadi zako muhusika uwa haoni labda namba nne za mwisho.
 
Back
Top Bottom