mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. REM GROUP

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Tunatengeneza na kudesign logo/website pamoja na android application

    Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa gharama nafuu ya Tsh; 170,000/tu. Gharama zinajumuisha; Free .co.tz domain/year Free hosting for 6...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Nape aonya waandishi mikutano ya hadhara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewasihi waandishi wa habari kuepuka kuandika maneno yasiyo ya staha na kuegemea upande mmoja wakati wa mikutano ya vyama siasa iliyoruhusiwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni. Nape alienda mbali zaidi na kusema...
  3. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wanasiasa wanaofanya siasa za matusi, na kashfa zilizosababisha mikutano ya hadhara ya kisiasa kuzuiwa

    Taarifa zilizotoka za kuruhusu mikutano ya hadhara ya kisiasa hapo majuzi zinadai kuwa mikutano hiyo ilizuiwa baada ya baadhi ya wanasiasa kufanya mikutano hiyo kuwa pango la matusi,kashfa na uchochezi. Hebu kwa uchache tukaone haadhi ya video za wanasiasa hao
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hoja za vyama vya upinzsni zitakuwa zipi wakianza mikutano ya hadhara?.

    1. Je wamponde Samia wamsifie magufuli ? AU 2. Wamsifie Samia wamponde Magufuli? AU 3. Wamponde Awamu zote za CCM? Naona wanawakati mgumu kupata hoja maana wananchi tunamini Katika Magufuli hatuna imani na samia Ila wapinzani hawaamini Katika magufuli Wana imani na samia. Nasubiri Kwa hamu...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais kuruhusu mikutano, tunakuomba uruhusu haki nyingine ambayo imeporwa ya Watanzania wote kuchagua na kuchaguliwa

    Wanabodi, Hii ni makala ya Leo kwenye Nipashe Jumapili ya June 8, mwaka 2021, katika safu hii, niliandika makala ya kumpongeza Rais Samia, kwa kuwasisitiza watendaji wa serikali kutenda haki, kufuatia baadhi ya haki zilizotolewa na katiba yetu na kugeuzwa ni hisani, Asante Rais Samia kwa...
  6. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

    Salaam wana jf.baada ya rais Dr Samia suluhu Hassan kutengua zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ,nikama kufunga dirisha lakuingiza hewa Safi ndani ya taifa. Nimeona watu wakifurahia sana Jambo hili si wana siasa tu hata wasiokua wanasiasa pia. Lakini kwa upande wa pili hili ni pigo...
  7. Michosho

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watakuja na sera ipi mpya kwenye mikutano yao?

    Najaribu kijiuliza sioni jipya watakalokujanalo kwa wananchi, kama ni ufisadi, mgao wa umeme, utendaji mbovu wa baadhi ya watendaji wa serikali vyote vilikemewa na kudhibitiwa na serikali CCM wakati wa JPM. Zaidi Mbowe yeye alikuwa analazimisha wananchi wafungiwe ndani (lockdown) kipindi vha...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Katika dunia hii ya kidigitali kulilia mikutano ya hadhara ni ujuha wa kiwango cha ajabu

    Katika ulimwengu huu wa kidigitali kila kitu kinaweza kufanyika kwa urahisi, uhakika, na ufanisi mkubwa kwa kutumia teknolojia ambazo hazihitaji watu kukusanyika na kukutana mwili kwa mwili. Lakini hapa Tanzania naona kama ni tofauti. Hili limuejidhihirisha kwa jinsi watu walivyokamia mikutano...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tuwe na busara za kisiasa. Mikutano ya kisiasa sio ishu ya maana hata huko USA na Magharibi chaguzi zikiisha siasa zinahamia bungeni.

    Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno? Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali? Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuzindua Mikutano ya Hadhara Januari 21, 2023

    Siku tatu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, Kamati Kuu ya Chadema imeazimia kuzindua rasmi mikutano hiyo. Rais Samia alitangaza uamuzi huo, Januari 3, 2023 alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa na alisema: “Uwepo wangu mbele...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA tusikenue mikutano ya kisiasa haitatusaidia kisiasa. Kashfa ya kulamba asali ilishatumaliza

    Tuna nini cha kuwaambia wananchi? ~ Tunapinga ufisadi? ~ Tunapinga uharamia wa tozo? ~ Tunapinga vipi wakati tunalamba asali na wanaokandamiza wananchi?
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Siwaelewi CCM: Magufuli alipopiga marufuku mikutano ya kisiasa walipongeza, sasa hivi Samia kairuhusu wanapongeza pia!

    Kwa kweli sielewi kabisa misimamo ya wana-ccm, wakati ule mara tu alipoingia madarakani mwaka 2016, Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli, alipopiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, huku akijua wazi kuwa anaisigina Katiba ya nchi, walijitokeza wana-ccm kibao, waliopongeza hatua...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa

    Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa Jumatano, Januari 23, 2019 — updated on Februari 15, 2021 Rais John Magufuli amesema hakuna kiongozi aliyezuiliwa kufanya mikutano ndani ya jimbo lake bali wanapaswa kuzingatia taratibu za kupata vibali Dar es Salaam. Rais John Magufuli amesema hakuna...
  14. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Naomba Clip ya Kinana, Chongolo au Shaka inayompongeza SSH kuruhusu mikutano ya hadhara

    Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara. Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya siasa wamebana, wameachia

    Safari kuelekea ukombozi kamili haijawahi kuwa rahisi. Waliozuia mikutano ya hadhara kwa sababu zile ni hawa hawa walioiruhusu leo kwa sababu hizi. Hivi kwa kumchuuza nani vile? Kwamba tuwapongeze sasa kwa lipi kwenye kuamua kuanza kuiheshimu katiba? Nani asiyejua walijua nini yalikuwa...
  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hiyo mikutano itakuwa imepoa bila Dk. Slaa

    Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg Slaa. Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania UVCCM Mbeya kufanya maandamano kumpongeza Rais kuruhusu mikutano ya kisiasa

    Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM. Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini. Wanadai wao pia walifungwa midomo kwa zaidi ya miaka 5 na walishindwa kupata majukwaa ya kuongelea.
  18. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais kuhusiana na ruhusa ya mikutano na ufafanuzi alioutoa

    Rais katika hotuba yake kasema vyama pinzani/kosovu vitaendelea kuwa kosovu alimradi yeye yupo madarakani. Kwamba watakachokosoa, na serikali yake ikaona vina mantiki basi haraka wanafanyia kazi na Rais anapata pongezi zake na wanaaminiwa na wananchi na wanaendelea kushika dola. Wakati Rais...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nieleweshe tafadhali: Mikutano ya hadhara ya kisiasa unaomba kibali polisi au unatoa taarifa tu polisi?

    Kwa tamko la Rais, ili kufanya mkutano wa hadhara wa siasa, utalazimika kuomba kibali cha polisi au unatoa taarifa tu na unakwenda jukwaani kufanya mkutano wako? MY observation: Kama kuna kuomba kibali, basi tatizo bado liko pale pale! Polis kwa mazoea yao ya chuki za upinzani, hawatatoa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia ameondoa zuio la mikutano ya vyama vingi sasa na si mara tu alipokabidhiwa madaraka?

    Kama wengi mlivyofuatilia leo Januari 3, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alifanya mkutano na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Pamoja na hoja mbalimbali alizozungumza mojawapo ni kuondoa zuio...
Back
Top Bottom