mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Boss

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaendaga mikutano ya CAF bila ajenda?

    Mwaka huu michuano ya kimataifa ya vilabu mambo mbali mbali yamejitokeza..... Nafikiri kazi ya kiongozi wa Tff ni kutetea nchi yake na kupenyeza agenda zitakazoisaidia huko kwenye shirikisho... Nafikiri hizi agenda zifuatazo zinapaswa sasa kupiganiwa na Tff... 1. Goli la ugenini lifutwe... 2...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

    Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi. Mwamba ameruka na chopa kama mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi. Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu Tanzania: Benki ya NMB kufadhili mikutano ya ALAT

    ALAT ni Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa...Association of Local Authorities of Tanzania Benki ya NMB imefanikiwa kuchangia kiasi cha Sh. 200 milioni kwa ajili ya kufanikisha maandalizi ya mkutano mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT) unaotarajiwa kufanyika kwa siku...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mikutano ya Act wazalendo sio kama ya Chadema na vyama vingine. Sisi tunaeleza kero na namna ya kutatua.

  5. J

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CCM watu huuliza atakuwepo msanii gani. Mikutano ya CHADEMA watu huuliza kama Tundu Lissu atakuwepo

    Huo ndio Ukweli japo ni mchungu Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto" Jumatano iwe Njema kwako, amen!
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwa mbadala wa makamu wa Rais katika kumuwakilisha Rais wa Tanzania katika baadhi ya mikutano ni sawa?

    Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi, Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto. Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa. Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  9. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Gwajima na mikutano ya kimkakati kuelekea 2025: Je, itazaa matunda?

    Wakuu habari za jumapili, Kuna Hilo suala la mikutano ya Askofu Gwajima nchi nzima kuwa na agenda ya kisiasa kupitia mlango wa dini. Nakumbuka Chadema wakiwa nyanda za juu kusini jamaa alikua huko huko Mbeya na Songwe akifanya mikutano ya injili Ili ku counter upepo wa Chadema muda ule. Na sio...
  10. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Kuandaa mikutano ya mara kwa mara katika ngazi ya jamii itasaidia kutatua kero na upatikanaji wa haki kwa wakati

    WAHAMASISHAJI jamii kupitia mikutano 39 walioifanya na jamii katika Wilaya nne za kisiwa cha Pemba walifanikiwa kuibua jumla ya changamoto/matatizo/kero 44 kwa mwaka 2022. Kero hizo ziliibuliwa maoneo tofauti kisiwani Pemba katika Wilaya ya Wete kero 12, Micheweni 12, Chake Chake 9 na Mkoani...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya kumpongeza Rais imegeuka kero! Sio lazima kila mkoa uandae mkutano wa pongezi, huo ni upigaji

    Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili. Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika...
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

    Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi. Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi. Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili ya China yaanza kukiwa na matumaini mapya

    Wakati wa Mikutano Miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China NPC, na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China CPPCC umefika. Hii ni mikutano muhimu ya China ambapo vyombo vikuu vya uwakilishi wa umma na majadiliano kuhusu sera na mambo yanahusu taifa yanafanyika. Mara zote...
  14. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika inafuatilia Mikutano Miwili ya China?

    “Serikali mpya ya China itaongeza msukumo mpya katika uhusiano kati ya China na Afrika.” Makala iliyochapishwa kwenye tovuti ya Shirika la Utangazaji la Kenya KBC iliripoti kwamba mabalozi na wageni kutoka nchi za Afrika hapa Beijing walishuhudia kuanza rasmi kwa Mikutano Miwili ya China, yaani...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Lissu na Lema wamerudi Salama. Chadema wameanza kufanya Mikutano. Rais Samia ashukuriwe sana

    Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani upepo wa kisiasa nchini umebadilika sana . Tumeona Mikutano ya kisiasa ikirejea nchini, siasa za vyama vya upinzani majukwaani zimerudi tena na mazungumzo ya kuimarisha Demokrasia yanazidi kushika kasi. Kubwa zaidi tangu Rais Samia ashike madaraka...
  17. system hacker

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya siasa za CHADEMA mara baada ya kuruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa

    Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa. Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema. Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Serikali ya Awamu ya Sita ili kudhihaki Magufuli?

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA kila kona ya nchi inaonekana mikutano hiyo ni mbinu za ccm kumchafua Magufuli na wananchi wahisahau au wasitambue ufisadi unaoendelea nchini. Ninaomba michango yenu.
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, pamoja na mikutano yenu, Tanzania itafaidika nini?

    Tumshukuru mama Samia, kaisogeza demokrasia mbele. Kila mnenaji anaweza ongea hadi sauti ikamkauka. Swali langu kwa CHADEMA ni simple, mtaifanyia nini Tanzania, mna siasa gani za uchumi, maendeleo ya wananchi, elimu na mambo yote ya mustakabali wa nchi. Hili swali nawauliza kila siku...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nilijua tu kwamba mikutano ya hadhara bila ajenda madhubuti itadoda!!

    Baada ya rais wa Tanzania kuruhusu mikutano ya hadhara mimi nilijiuliza ni ajenda zipi wapinzani wanapaswa kwenda nazo? Pongezi Kwa mama Kwa kuruhusu mikutano? Katiba mpya ambayo pia mama kasema anataka mchakato wake uanze? Kupanda kwa bei ya chakula ambapo pia unahitaji uangalifu maana...
Back
Top Bottom