mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuzindua Mikutano ya Hadhara Kanda ya Nyasa

    Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe anatarajiwa kuzindua rasmi kanda ya Nyasa Februari 23 wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa na kisha kufungua mkutano wa hadhara mkoani Iringa Februari 28 mwaka huu. Hayo yameelezwa Jumanne Februari 21, 2023 na Mwenyekiti wa Chadema wa mkoa huo, William Mungai...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania MBOWE na ZITTO kwanini wameamua kuziacha hoja za wananchi mikutano ya hadhara

    MBOWE NA ZITTO KWANINI WAMEAMUA KUZIACHA HOJA ZA WANANCHI MIKUTANO YA HADHARA Nimefuatilia mikutano ya hadhara ya Chadema na ACT Wazalendo sijawasikia Mbowe wala Zitto wakizungumzia au wakipaza sauti zao juu ya mambo makubwa yanayolalamikiwa na wananchi. Mfano suala ulinzi wa rasilimali za...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara imeruhusiwa ili itumike kuua legacy ya Hayati Magufuli ya kufunika kasoro za sasa

    Kwa mara ya kwnza tunashuhudia upinzani wa aina yake nchini Tanzania, upinzani ambao unaacha kupigana na utawala uliopo na badala yake unapigana na kivuli cha marehemu Magufuli. Naomba ieleweke kuwa hili halitokei kwa bahati mbaya, Zitto Kabwe kukejeli ndege zilizonunuliwa na Serikali ya...
  4. thesuperdometz

    JamiiForums Tanzania Ukumbi wa Mikutano na Matamasha DsmTanzania The Super dome

    Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome una kila kitu ndani yake Fixed sound system LED Screen Stage Fixed Lights Fixed Camera Tables and chairs VIP rooms
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge waonyesha punic baada ya ruksa mikutano ya hadhara

    Nilikuwa najiuliza kwanini wabunge wameanza kuongea kishabiki kwenye bunge hili? Jibu kumbe ni mikutano ya hadhara. Wemekuwa waki lalama kama vile wenyewe ni wapinzani na kupuuza ukweli wa mambo. Kizuri Bashe amekuwa anajua data kuliko wenyewe. Mikutano kuruhusiwa tu sasa tumeshaanza kuona...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mzee Malecela amtukana Tundu Lissu na kutoa kauli za vitisho na shari dhidi ya mikutano ya CHADEMA

    Nisiongeze chochote. Fuatilia ktk video.
  7. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tupeni Ratiba ya Mikutano ya Lissu

    Kufuatia mikutano ya vyama vya siasa kuruhusiwa na Mh. Tundu Lissu kurejea nyumbani, kujua atakuwa wapi mheshimiwa huyu kwa mikutano hii ingependeza sana. "Si waswahili wanasema mgeni aje mwenyeji apone? Pia si kipya kinyemi?" Tayari kwa mujibu wa kitabu cha Mkapa (Maisha Yangu) sasa tunajua...
  8. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Prof Lipumba, hajui kama mikutano imeruhusiwa?

    Wasalaam JF, Baada ya kipenga kupulizwa cha kuruhusu mikutano ya kisiasa, ni matumaini yangu kwamba viwanja vya matukio vingekua vinarindima nchi nzima. Ni mategemeo yangu kuona ratiba tight kabisa, hapa Lissu, pale Prof Lipumba, kule Hashim Rungwe (mzee wa ubwabwa) Zitto Kabwa katikati basi...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali ya Awamu ya 6 tuiache ifanye kazi. Maana katika Mikutano yetu tutaikosoa Awamu ya 5

    Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndio maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo. Hata kwenye Kampeni 2025 tutaiponda tutakuwa tunashindana na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo haipo kuliko ya Awamu ya 6 ambayo ipo. Sababu ya Awamu...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuzindua Mikutano ya Hadhara Februari 19

    Siku moja baada ya CHADEMA kuzindua mikutano ya hadhara jijini Mwanza, Chama cha ACT Wazalendo nacho kimetangaza kuanza mikutano yake Februari 19, 2023 jijini Dar es Salaam. Akisoma maamizio ya kamati kuu ya chama hicho iliyoketi jana Dar es Salaam, katibu mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mikutano ya hadhara haikufutwa na Magufuli peke yake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi (CCM). Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 22, 2023 katika mkutano wa hadhara uliofanyika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini yakinifu uzinduzi wa mikutano ya siasa Mwanza

    Chadema kama chama tegemeo kwa ukombozi wa nchi hii ni tofauti sana na vyama vingine. Tofauti kubwa iliyopo ni kuwa chawa kama wale wa Mama huku si sifa bali ni machukizo. Chadema iliyoko mioyoni mwa watu hutambua wakichemka wao na hata tunapochemka sisi. Hii ni bila kujali mpiga fyongo ni...
  13. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania 21/01/2023 CHADEMA walifanya uzinduzi wa mikutano, baada ya hapo ratiba ya mikutano itafuata

    Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika. Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tuelekeze nguvu kujenga uchumi siyo mikutano ya Siasa

    Pamoja na mikutano ya Siasa kuruhusiwa kwa Busara za Rais Samia ni Muhimu watanzania tukumbuke kuwa nchi Yetu inaitaji nguvu kazi kujenga uchumi imara nimeshuhudia Leo watu wasio na nauli wakitembea toka Asubuhi kutoka sehemu mbali mbali za jiji la Mwanza kwenda furahisha. Ushauli wangu...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Vijana msije tumiwa vibaya kwenye mikutano ya Siasa

    Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa muwapuuze Wanasiasa wanao taka kuleta taharuki na kuivuruga Amani Yetu. Siasa au matabaka ya vyama ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna faida gani ya kuwa na mikutano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi?

    Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani. Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea? Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania CCM hatutakubali taswira ya Rais kuchafuliwa, kuruhusiwa mikutano isiwe kisingizio

    Wana JF salaam, CDM, CUF, NCCR, ACT na vyama vingine vya siasa nchini, fahamuni kwamba kufunguliwa kwa mikutano nchini si sababu ya kutumia lugha za ajabu na zinazochafua image ya Rais wetu Samia Suluhu Hassan. Wataokashindwa kutumia Uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika na kuanza siasa za...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

    Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Siamini kuwa CHADEMA hawana watu wa kusema kwenye mikutano ya hadhara hadi wawasubiri Lissu, Lema, na Wenje

    Hawa vijana wa CHADEMA waliojazana humu na kutoa maneno ya kejeli kumbe ni bure kabisa. Ni bure kiasi kwamba hawawezi kuongea kwenye mikutano ya hadhara na ndiyo maana wameahirisha kuanza mikutano ya hadhara hadi Lissu, Lema, na Wenje waje.
Back
Top Bottom