mikusanyiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elli

    Figisu dhidi ya CHADEMA zashika kasi, RC Mwanza apiga marufuku mikusanyiko

    Hali ya kusikitisha, kuogofya na kuumiza, RC wa Mwanza amekataza kwa mtazamo wake mikusanyiko yote isipokua Misiba na Ibada tu ili "kupunguza kasi ya maambukizi ya Covid-19"! Ukumbuke Chadema wamepanga kufanya kongamano la Mjadala wa Katiba Mwanza. Kwa akili za RC mikusanyiko ya Mazishi na...
  2. S

    Madai ya Katiba Mpya: Viandaliwe vipeperushi kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na visambazwe mitaani na sehemu zenye mikusanyiko

    Mbali na kutumia mitandao na makongamano au mikutano kudai Katiba Mpya, nashauri wanaharakati, wanasiasa na wadau wengine waandae vipeperushi vyenye kueleza umuhimu wa katiba mpya na kuvisambaza kadri inavyowezekana. Vipeperushi vieleze mapungufu yaliyoko katika katiba ya sasa na hatari au...
  3. beth

    #COVID19 COVID-19: Afrika Kusini yapiga marufuku mikusanyiko na mauzo ya pombe kutokana na mwenendo wa mlipuko

    Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14 Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
  4. beth

    #COVID19 COVID-19 Wimbi la tatu: DR Congo yadhibiti mikusanyiko ya umma, club zafungwa

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itadhibiti mikusanyiko ya Umma kufikia watu 20 na kufunga klabu za usiku wakati Taifa hilo linakabiliwa na wimbi la tatu la maambukizi ya Virusi vya Corona. Kwa mujibu wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Afrika, DR Congo imerekodi visa zaidi ya 35,000 na...
  5. Miss Zomboko

    Wizara ya Afya yawataka Wananchi kurejesha Utaratibu wa kuvaa Barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  6. Miss Zomboko

    #COVID19 Tanzania: Serikali yaagiza uvaaji barakoa kwenye mikusanyiko

    Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali. Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
  7. wa stendi

    Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
Back
Top Bottom