Unyonyaji wa Bodi ya Mikopo (Higher Education Student's Loan Board)

muzi

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
915
1,000
Inasikitisha sana bodi iliyopewa dhamana kuwezesha kupata elimu inavyobadilika na kuwa sehemu ya kuwanyonya watoto wa msikini.
Ukiangalia statement ya marejesho unatakiwa kulipa administration fee, penalty na value retention fee.

Inashangaza sana hayo makato ukifikiria mtu kamaliza chuo hajapata kazi miaka 3 hadi 4 lakini mkopo unaendelea kuliongezeka kila kukicha.

Leo nitazungumzia kimojawapo. Ukiangalia hiyo wanaita: Value Rention Fee (VRF) is a statutory charge to maintain the value of money throughout your repayment period. It is charged at 6% of the outstanding balance per annum. However it accrue daily at the rate of 0.0001643836 (that is 6% divided by 365) of the outstanding principal loan balance per day. SO it continues to accrues until you finish paying the outstanding principal loan.

Kwa hali hii mkopo huu hautalipwa na watu wengi watafanya juu na chini kukwepa kutolipa.

Ni aibu mkopo wa serikali unageuka kuwa chombo kumaliza na kukandamiza watoto wa maskini, sasa haina tofauti na mikopo ya biashara, wizi mtupu

Hakuna mtu asiyependa kulipa kama unadaiwa lakini mnapoweka mashari na vigezo ambayo haikuwepo wakati wa kuchukua mkopo inakuwa hatari sana. Serikali iache kutumia mabavu
 
Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
15,251
2,000
Hakuna mtu asiyependa kulipa kama unadaiwa lakini mnapoweka mashari na vigezo ambayo haikuwepo wakati wa kuchukua mkopo inakuwa hatari sana. Serikali iache kutumia mabavu

Sifahamu sana kuhusu HESLB lakini kwa hali ya kawaida kama mkataba(makubaliano) yalionesha mengine na badae yakaja kubadilika si huwa kuna haki ya kukataa kulipa?

Ikitokea deni halijalipwa kabisa ni hatua gani inafanyika kwa aliyekataa kulipa?
 
impelle

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
788
1,000
Serikali ilichokifanya, kwa sababu haijaajiri muda mrefu na watu wanatakiwa kurejesha pesa, wakaona waongeze % kwa hawa waliokwisha ajiriwa ili wafidie. Serikali za kiafrica hizi ni za kihuni, na watu watapiga kura, this is pathetic. Nilienda kukagua deni langu, nikakuta nadaiwa zaid ya mil. 18, wakati nilitumia mil. 13 tu, na deni halipungui, kama sheria hizo zitaendelea, hakuna maslahi kufanya kazi huko serikalini labda uwe na LSS, lkn kwa hii mishahara ni heri kuacha kazi.
 
blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
4,510
2,000
Inasikitisha sana bodi iliyopewa dhamana kuwezesha kupata elimu inavyobadilika na kuwa sehemu ya kuwanyonya watoto wa msikini.
Ukiangalia statement ya marejesho unatakiwa kulipa administration fee, penalty na value retention fee.

Inashangaza sana hayo makato ukifikiria mtu kamaliza chuo hajapata kazi miaka 3 hadi 4 lakini mkopo unaendelea kuliongezeka kila kukicha.

Leo nitazungumzia kimojawapo. Ukiangalia hiyo wanaita: Value Rention Fee (VRF) is a statutory charge to maintain the value of money throughout your repayment period. It is charged at 6% of the outstanding balance per annum. However it accrue daily at the rate of 0.0001643836 (that is 6% divided by 365) of the outstanding principal loan balance per day. SO it continues to accrues until you finish paying the outstanding principal loan.

Kwa hali hii mkopo huu hautalipwa na watu wengi watafanya juu na chini kukwepa kutolipa.

Ni aibu mkopo wa serikali unageuka kuwa chombo kumaliza na kukandamiza watoto wa maskini, sasa haina tofauti na mikopo ya biashara, wizi mtupu

Hakuna mtu asiyependa kulipa kama unadaiwa lakini mnapoweka mashari na vigezo ambayo haikuwepo wakati wa kuchukua mkopo inakuwa hatari sana. Serikali iache kutumia mabavu
Msimchague Magufuli..
ChondeChonde...

Pigeni chini Magufuli.
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
560
1,000
Halafu unakuta mwalimu anakwambia " mm ccm.bwanaaa "
Wakaja na jukwaa LA walimu wazalendo hahaaaahaaaaa
 
muzi

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
915
1,000
Sifahamu sana kuhusu HESLB lakini kwa hali ya kawaida kama mkataba(makubaliano) yalionesha mengine na badae yakaja kubadilika si huwa kuna haki ya kukataa kulipa?

Ikitokea deni halijalipwa kabisa ni hatua gani inafanyika kwa aliyekataa kulipa?
Hivi sweetheart, unaifahamu serikali ya zama hizi? Waziri anategeneza ka sheria uchwara wanapitisha na maamluki wake, kwisha kazi hata haiendi bungeni. Ukilalamika kusema hatukuwa na makubaliano hayo wanakuambia ilishatungiwa sheria mwaka XXXX.
Ukienda mahakamani utatoboa, hakimu mwenyewe anaambiwa mshahara wako unatoka na hayo makato?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom