Salaam wanaJF.
Kauli ya Kada wa Chadema, Mdude Nyangali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatafuta roho yake ni kauli nzito mno isiyotakiwa kupuuzwa hata kidogo na vyombo vya ulinzi na usalama.
Mdude amesema straight bila kumung'unya maneno kwamba Samia anataka atekwe, ateswe, auawe na kutupwa...
Nimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto.
Usicheze na nchi zenye demokrasia
Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za...
Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana.
Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao.
Soma Pia:
Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi
Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
Zaidi ya miaka sitini pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanyika bado uchumi wetu niwakujikongoja huku bado tukipambana na maadui wale wale aliowataja mwalimu Nyerere, Umaskini, ujinga na maradhi. Bado kungali na wimbi la umaskini miongoni mwa watanzania huku tukiachwa nyuma kimaendeleo na...
Mpira Kati. Ramaphosa ni ama amwage pesa kwa Wabunge kama alivyozima kashfa ya Phala Phala au apumzishwe na kuanza kupokea Kikotoo. Japool ana hela ila madaraka matamu zaidi. Ingekua Tungekinya party caucus wangeitwa ukumbi Maarufu na kila mbunge apewe salfeti ya mahela. Watu wapige kimyaa
Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili?
Iwe kwenye mataa, taa ya rangi ya RED imewashwa bodaboda unawaona wanapita
Iwe kwenye pundamilia magari mengine yamesimama watu wapite bodaboda unawaona wanapita unaogopa kuvuka barabara hata kama magari...
Hii kitu inanishangaza sana, nipo mkoa X ambapo ndipo makazi yakudumu yalipo ila sikai sana sababu ya kazi zangu, lakini ninakutana na mambo ambayo nadhan yanasababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi au sijui ni hormonal imbalance kwa wadada.
Nilipoingia huu mkoa wiki 2 zimepita nilienda...
Awali ya yote Rais Samia Suluhu Hassan nikupongeze kwa kibarua kizito ulicho nacho cha kuhakikisha Tanzania na Watanzania tunapata maisha bora.
Wapo wanao kubedha, wapo wanao kukejeli, lakini tupo tunao kupenda kwa dhati ambao ukizungumza sauti yako inapenya hadi ndani uvunguni mwa mioyo yetu...
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako.
2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako.
3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako...
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
Amani iwe nanyi nyote.
Kwa wale wazee wenzangu mtakubaliana na mimi kwamba Tanzania ingekuwa mbali zaidi kimaendeleo endapo ingeendelea na mfumo wa Ujamaa chini ya chama kimoja kuliko ilivyo sasa.
Uchumi wetu ulianza kuyumba mara tu awamu ya pili chini ya Mzee Ruksa, Alhaji Ali Hassani Mwinyi...
UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE
Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia Makabidhiano kati ya KADCO na TAA baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa ridhio la Uwanja wa Ndege...
Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi
Magharibi mwa Ei Rose ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuzilenga kwa makombora zana za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni.
Baada ya hapo, al Qassam ilitangaza kuwa wapiganaji wake...
Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini?
Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu?
Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike?
Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni...
Yaliyokuwa yakiogopwa na watangulizi wake ya CCM KUWAFIA MIKONONI yanaenda kutimia kwake?
Tumeona ongezeko la urudishaji wa kadi maeneo mbalimbali Mtwara, Tanga na kule kwa Maasai Ngorongoro.
Awamu hii itakuwa ni anguko kwa CCM? Ataendelea kuongoza?
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani ...
Nimebaini kuwa adui mkubwa wa Taifa la Tanzania kwa sasa ni Dk.Tulia Ackson ambaye mambo yote machafu yamefia mikononi mwake na taifa likiwa halijua linatokaje kwenye mkwamo huu. Mfano wa mambo yaliyofia mikononi mwa Tulia na Bunge lake.
1. Mkataba wa Bandari Serikali iliupeleka Bungeni tangu...
Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu