Hizi taarifa zinazidi kutisha na kuumiza, Gazette la Mwananchi Online limeripoti kupotea kwa vijana watatu tangu tarehe 24/12/2021 Hadi Leo huku Jeshi la POLISI likishindwa kabisa kutoa maelezo ya wazi.
My take:
Huu utani POLISI wanaofanya kwa maisha ya Watu sio mzuri; walipotezwa Watu miaka ya...
Watanzania macho yao yapo mbele yako Mungu. Usipo shuka nakututetea basi tumeangamia. Wewe unaona toka mbali sana na Wewe ndie Baba wa Taifa la Tanzania.
Shetani amekunjuwa makucha kuturaruwa nakutugawa mithili ya vazi lililo kuukuu.
Je utafunga macho yatokee yale wanadam wamepanga yatokee siku...
Tanzania imezungukwa na maadui wengi kuliko marafiki, Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na amani kama taifa letu. Ulinzi wa Tanzania upo mikononi mwetu Watanzania. Tusiposema hakuna atakayesema Kesho Wala Kesho kutwa. Nchi yetu imevamiwa Sana na wageni wanaotaka kuifanya nchi hii ni Mali Yao...
Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
Mafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994.
Magufuli alipoingia akajaribu kuwaondoa mafisadi wote kuliteka shirika la TANESCO ingawa alikuwa anatumia nguvu ila kiasi alifanikiwa ingawa watu Kama Tundu Lissu walimshauri kwamba...
Sheria za Tanzania zipo wazi kabisa kuwa mtuhumiwa anatakiwa kukiri kwa hiari ili hiyo kiri iweze kutumika mahakamani. Hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania.
Lakini kifungu cha 29 kinawapa kiburi polisi kupiga na kutesa watu maana kinasema kama mtu ataubaki...
Je umewahi kujiuliza ni kwa nini watu waliofanikiwa kwenye maisha ni wachache kuliko ambao hawajafanikiwa? Kwa nini idadi ya wanafunzi wanaofika chuo kikuu ni ndogo sana ukilinganisha na wenzao wanaoishia njiani? Kwa nini baadhi ya wajasiriamali wanaanza biashara ndogo na baadae itakuwa na kuwa...
Wanna jamvi?
Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri lakini dola wanazuia.
Mfano makongamano yanapoandaliwa na kuomba kibali polisi Ina maana yapo ndani...
Kumekuwa namkanganyiko wa maamuzi ya kiuongozi katika vyama vya siasa hasa,
CCM,
CUF,
CHADEMA NK
Je, mwanachama anawajibika kwa katiba ya chama chake au kwa miongozo ya chama?
Je, usajili wa chama huwa mwanachama mmojammoja huamua tu kuja kusajili chama?
Chama cha siasa na Msajili nani...
Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe.
Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma tunaita wife material lakini akishafika kwangu tu..kadri tunavyoendelea kuw kwenye mahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.