mikononi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Kagera ipo mikononi mwa wenyeji wake

    Mimi huwa ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinaziobukaga humu ndani kuhusiana na maendeleo ya mikoa mbalimbali ikiwemo ya Kagera. Pamoja na kwamba mada nyingi huwa zinaishia katika mabishano ya kuwashutumu wanaKagera kwa majivuno, na wengine wakisema ni wavivu lakini kuna mambo fulani huwa...
  2. Jebel

    JamiiForums Tanzania Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Nipo kijiji cha Muruvyagira, wilaya ya Ngara njooni mnipige. Mamillioni ya fedha ambayo yamesombwa na yanaendelea kusombwa na haya “makampuni ya kimataifa” kama wajinga wanavyoyaita kwa kujitapa ni ushahidi kuntu kwamba asilimia kubwa ya watanzania tuna uwezo finyu sana wa kupembua na kung’amua...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto mikononi mwa polisi kwa kumlawiti mwenzake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtoto wa miaka 13 mkazi wa kijiji cha Minyembe halmashauri ya Wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa miaka miwili. Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Nicodemus Katembo amesema tukio hilo lilitokea...
  4. Ader fla19

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo na madoa meusi mikononi na miguuni

    Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike umri miaka 15. mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy. Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda.... Baadae kidogo...
  5. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Raia waendelea kufia mikononi mwa polisi, tukimbilie wapi IGP Wambura?

    Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma SATURDAY SEPTEMBER 17 2022 Summary Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro likithibitisha...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtoto adaiwa kufia mikononi mwa polisi Mwanza

    Yahaya Aboubakar Familia ya kijana Yahaya Aboubakar, aliyeuawa mikononi mwa polisi yaomba haki itendeke kwa waliohusika na mauaji hayo. Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya...
  7. Ngully28

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha yetu yako vichwani mwetu ila utekelezaji upo mikononi mwetu

    Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kisichowezekana katika maisha kwani tuna mifano mingi ya watu waliozaliwa katika familia maskini ila wakawa kuja matajiri. Tambua kuwa umakini, uthubutu na jitihada zako ndizo zinaweza kuamua kesho yako. Wapo waliobahatika kupata pesa ila hawakudumunazo...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kina Halima Mdee na wenzake waangukia mikononi mwa mawakili wa CHADEMA

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa ruhusa ya Nusrati Hanje, Halima Mdee, Esther Matiko, Ester Bulaya, Jesca Kishoa na wenzao wawili kufika mahakamani na kuhojiwa na mawakili wa upande wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mawakili wa upande wa CHADEMA wakiongozwa na Wakili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Bodaboda atumwa barua yenye ujumbe wa kulipua Kambi ya Lugalo kati ya Novemba 20 hadi 27, 2021

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo. Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Ukraine itakuwa mikononi mwa Urusi

    Na Masudi Rugombana June 27, 2022. Goba, Dar es salaam. Tarehe 21 February 2022 Rais Vladmir Putin wa Urusi alitangaza kutambua uhuru wa eneo la Donbass, Jimbo la Mashariki ya Ukraine linaloundwa na mikoa miwili ya Luhansky na Donetsky, mikoa inayokaliwa na idadi kubwa ya Raia wenye asili ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siku mkifanya mabadiliko ya ya kweli na Chadema ikarudi mikononi kwa wanancho ndio mtapevuka kisiasa na kuwa na waelewa.

    Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo. Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi. Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote. Family business at hand. Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nyani wamnyakua mtoto mikononi mwa mama yake, afariki dunia

    Kigoma. Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia. Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili taarifa zangu muhimu zilizopo ndani ya simu zisiingie mikononi mwa mtu pindi ikiibiwa?

    Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google. Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Hivi je kuna usalama...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Fedha zimepungua mikononi mwa Wananchi

    Ni ukweli usiopingika, fedha zimepungua mikononi mwa wananchi. Mfano hai ni pale hapa Mwanza bei ya nyama imepungua kutoka Tshs. 8000 kwa kilo mpaka Tshs.7000. Hii inaonesha dhana ya supply and demand. Tunaiomba Serikali iachie fedha ili ziingie kwenye mzunguko. Watu wengi hawana fedha.
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Watuhumiwa Mikononi mwa Polisi, nini kifanyike ili mambo yakae sawa?

    Hivi karibu kumetokea matukio yakihusisha watuhumiwa kupotea maisha mikononi mwa vyombo vya usalama. Mkoani Morogoro Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Hamis Hassan (30) Mkazi wa Mvuha, Jeshi la Polisi limesema marehemu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi Mei 31, 2022. Jijini...
  16. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania Duka la dawa ni salama mikononi mwa muuguzi (nurse)

    Na Bernard Ntiyakama, BScN, TMCEHP, RN. Mafunzo yanayomwandaa mtu kuwa Muuguzi humpa maarifa anayo yahitaji kutekeleza wajibu mbalimbali za kitaalamu ikiwemo kutoa Dawa. Jukumu hili lanabakia kuwa salama sana mikononi mwa Muuguzi kwa sababu nyingi ikiwemo zifuatazo. 1. Anaufahamu mwili na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM inakufa mikononi mwa Kikwete, utabiri unatimia

    Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais na ufisadi, uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi. Yamejirudia yaleyale na CCM hii ipo mikononi mwa ... Na inaenda kufa kama walivyotabiri wahenga.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Anga la Ukraine Yumkini mikononi mwa NATO

    Umeshudiwa ugeni mzito nzito Kyiv Ukraine, katika kipindi hiki cha mgogoro. Rais wa umoja wa Ulaya amefika Kyiv. Mawaziri wakuu toka Czech, Slovenia, Poland na juzi UK nao wamefika pale wakajivinjari kwa raha zao. Aungurumapo Simba mcheza nani? Haitakuwa ajabu kusikia Marine Moja imetimba...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni heri ununue kitu cha gharama ndogo sawa na pesa yako kuliko kununua kitu mikononi mwa mtu. Unaualika umaskini ukutawale zaidi

    Habari! Nimejisikia kutoa ushauri katika jambo hili la kiuchumi. Kutokana na hali za maisha watu hujikuta wakinunua vitu vilivyotumika almaarufu used. Vitu kama sofa, simu, computer, baiskeli, gari, pikipiki n.k ili tu waendane na wakati au waendane na marafiki zao. Kwa kufanya hivyo hutatui...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana Mikononi mwa Dkt. Christopher na Kilawa

    Wakuu .. Tukubaliane tu bila kupepesa macho. Ukweli mchungu hii Miamba miwili Dr@Christopher Cylilo na Kaka mkubwa kilawa Shindo wameishi maisha ya sekeseke Sana kipindi Cha Awamu ya 5. Huwa kila nikikumbuka Hawa jamaa walivyopambana na wasiojulikana wanaojulikana huwa nacheka Sana...
Back
Top Bottom