mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    Kama kuna mikutano inayozungumzia mikataba mibovu basi kusiwe na ubaguzi.Muda umefika sasa wa kuitaja mmoja mmoja. Mengine irekebishwe na mingine ipo haja ya kuvunjwa mjoja kwa moja Mpaka sasa wale wanaokosoa mkataba wa bandari naona wamekaa kimya kwa mkataba ule wa kanisa na serikali wa mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Mikataba ya Bandari na DP World, SGR imeanza kuwanyima usingizi CCM

    Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa. Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania IGA siyo kwa mawakili wanaogonga mikataba ya boda boda

    Wakuu, ili suala la IGA ni technical Siyo kila wakili au mwanasheria anaweza akalitolea ufafanuzi au akaliingilia. Mawakili waliozoea kugonga mikataba ya kuuziana boda boda au bajaji hili suala liko way far out of their knowledge and capability. IGA is not for every advocate or lawyer, its...
  4. JamiiForums Tanzania Jawabu kwa Lord Denning: Mikataba mithili ya IGA inayotaja gharama halisi za miradi ipo hapa Tanzania

    Picha ya antena za Vodacom, Tigo, Airtel na TTCL zikiwa zimesimikwa kwenye mnara wa Helios baada ya makampuni haya kusaini mkataba wa upangishaji na Helios I. Utangulizi Makubaliano ya Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji kwenye bandari za Tanzania yanaongozwa na Sheria za...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Kutatua Changamoto za Mikataba Mibovu ya Ajira na Sera ya Jinsia katika Vyombo vya Habari Tanzania: Hatua za Kuchukua

    Mada: Kutatua Changamoto za Mikataba Mibovu ya Ajira na Sera ya Jinsia katika Vyombo vya Habari Tanzania: Hatua za Kuchukua Mwandishi: MwlRCT I. Utangulizi Makala hii inalenga kujadili changamoto za mikataba mibovu ya ajira na sera duni za jinsia katika vyombo vya habari nchini Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Mbinu za Ufanisi za Kuondokana na Mikataba Mibovu Tanzania

    Mbinu za Ufanisi za Kuondokana na Mikataba Mibovu Tanzania Mwandishi: MwlRCT I. Utangulizi Tanzania imekumbwa na janga la mikataba mibovu, likisababisha hasara kubwa kwa uchumi na jamii. Takwimu zinaonyesha kuwa tangu mwaka 2000, Tanzania imeingia mikataba zaidi ya 50 ambayo ni mibovu...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia bora ya kuepukana na mikataba mibovu (Tanzania)

    Mkataba ni maridhiano baina ya watu wawili au zaidi,serikali kwa serikali,kampuni kwa kampuni au serikali na kampuni.Mikataba nayo husaidia kuinua uchumi wa nchi au kampuni inapokuwa na manufaa kwa nchi husika au kampuni.Pia huweza kusababisha hasara inapokua haina manufaa. mikataba mibovu ni...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hata Tundu Lissu hawezi shinda kesi ya Bil 260 ICSID. Wanaohusika na kuingia mikataba mibovu wanyongwe

    Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda. Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu. Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea...
  9. F

    JamiiForums Tanzania CCM mnasema IGA sio mkataba bali mikataba itakuwa ni HGA, sasa wajibuni Watanzania swali hili

    Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari. Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA zitasainiwa kwa kuzingatia sheria za ndani (Tanzania) na IGA iliyoridhiwa na Bunge inasema sheria...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya Kenya na waarabu sio justification

    Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
  11. JamiiForums Tanzania Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

    Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi...
  12. JamiiForums Tanzania Je, katika suala la Mikataba na Tenda mbalimbali, tukivaa viatu vya Hayati Magufuli vitatutosha?

    Kwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania .. Pili, binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM . Mwisho, kama wewe ungekuwa ndio Hayati JPM umeingia madarakani na kukuta kuna Tenda au Mikataba ya hovyo inaumiza taifa kama anavyoiita Tundu Lissu ,ungefanyaje ...
  13. JamiiForums Tanzania Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?

    Wanabodi, Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka...
  14. JamiiForums Tanzania Mikataba yote iliyovunjwa na kuingiwa makubaliano mapya na JPM, wawekezaji wataendelea kulipwa kwa sababu ni wakati wa ulaji kwa wanasheria wa serikal

    Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa? Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya! Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hayati Magufuli hausiki kwenye mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za nchi kushikwa na Wageni

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari Mungu ni Mwema wakati wote!
  16. JamiiForums Tanzania Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  17. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine tusome mikataba kabla ya kuisaini

    1. Wakati mwingine kabla hatujasaini hii mikataba tupate muda wa kutosha kusoma na kuhoji kabla ya kukimbilia kusaini ili tuwahi shopping. 2. Tukumbuke baada ya kusaini ni utekelezaji, hakuna kuoneana huruma. NB: Biashara duniani watu wanaangalia faida/interest. Mambo ya ujamaa yalishakwisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

    Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️ Angalieni Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
  19. JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

    Kwa ufupi sana Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne. Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Mikataba Yenye Usawa: Jinsi ya Kulinda Maslahi ya Nchi

    MIKATABA YENYE USAWA: JINSI YA KULINDA MASLAHI YA NCHI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI: Mikataba ni sehemu muhimu ya uhusiano kati ya nchi na nchi, au kati ya nchi na makampuni. Mikataba inaweza kuwa na athari kubwa kwa uchumi, maendeleo na ustawi wa nchi. Kwa hivyo, ni muhimu kuhakikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…