Wanawake ni kundi lenye majukumu lukuki katika siku, pamoja na majukumu hayo usafi na urembo ni jambo muhimu pia.
Wanawake wengi wamekuwa wakizingatia zaidi nywele na uso huku wakiacha miguu na kucha zake vikibaki kwenye hali taaban,
Unakutana na mdada kasuka knotless kachora wanja wa lulu...