Watoto 3,000 katika vizazi hai huzaliwa na miguu vifundo Kila mwaka Nchini Tanzania. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu Hospitali ya CCBRT, Cyprian Nyomoka Jijini Dar es Salaam.
"Watoto laki nane katika vizazi hai, huzaliwa kila mwaka Duniani wakiwa na miguu vifundo, huku Tanzania watoto laki tatu...
Wakuu igweee...
Imeibuka hali ya watu kutishia Kwa kuonesha miguu ya ngombe. Na inadaiwa wanaofanyiwa hivyo wametembea kufanya mapenzi na wake au waume wa watu. Kuna ukweli.
Siulizii hivi kutaka kujua Ili watu waendelee lkn kama ndivyo kwanini hawaweki wazi kabisa kuliko kama vile Kuna shimo...
Taarifa hiyo kwamba raia wa Zimbabwe wanauza vidole vyao vya miguuni ili kukabiliana na umasikini imesambaa sana nchini Nigeria.
Mwanablogu mmoja wa Zimbabwe amedai kwamba biashara hiyo inafanyika katika kituo kimoja cha maduka katika mji mkuu Harare. Inanukuua ujumbe wa WhatsApp ukiwa na...
Mwanamke
1. Mzuri wa Sura
2. Mzuri wa Umbo
3. MWENYE AKILI?
Ni nadra sana hasa miaka yetu hii. Nahangaika sana nipate mwanamke wa namna hiyo. Inakuwa changamoto.
Unakuta dada mzuri wa umbo na sura lakini kichwani.... Empty. Unaumia sana kuwa huyu si anaweza hata kukuambukiza upumbavu?
Miaka...
Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo.
Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid).
Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France
Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu.
Kwa Afrika ni timu chache zenye uwezo wa kuwa na timu za watoto ambapo kila moja ana mpira wake kwa ajili...
Tuliamka asubuhi na mapema mimi, kaka yangu na dada angu tukaanza safari ya kutoka Mlandizi kwenda Bagamoto kwa miguu. Ikumbukwe wakati huo usafiri ulikua ni wa shida, hivyo suala la kutembea kwa miguu lilikuwa ni jambo la kawaida tu. Mpango wa safari yetu ulikua tutembee kutoka Mlandizi mpaka...
ELEWA TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI.
Na Dr Gombeye...✍
KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa viungo vya mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu huitwa Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya...
Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua.
Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake.
Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea.
Nicheki kwa simu 0762 75 31 40, whatsapp pia 0762 75 31 40.
Asanteni.
Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze .
Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia.
Chief-Mkwawa et al
Nimeikuta sehemu inauzwa shing 100 kwa kila mguu. Nimezoa ya 2000 nikapewa 2 nyongeza.
Bado natafakari niipike vipi iwe mitamu na ya kuvutia.
naombeni maelekezo tafadhali
Inasemwa kuwa mtu akitundikwa huwa anatumia miguu yako kujunyanyua juu anapopumua. Sasa ili kuwafanya wafe haraka ilikuwa ni kawaida kuwavunja miguu ili washindwe kupumua vizuri na kufa mapema.
Karibu watu wote waliotundikwa walifanyiwa hivi. Lakini walipofika kwa Yesu wakakuta tayari...
Benard Mkolwe wa kata ya Madilu Mkoani Njombe amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa akiwa na Sarah Mgohole (18) nyumbani kwao ambako alimfuata kwa lengo la kufanya mapenzi ikiwa ni siku yao ya kwanza tangu waanze uhusiano wiki 2 zilizopita.
Chanzo Millard Ayo
Kijana anayefahamika kwa jina Benard Mkolwe mkazi wa kata ya Madilu, wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa na msichana Sara Mgohole anayedaiwa kukutana naye nyumbani kwao kwa lengo la tendo la ndoa ikiwa ni siku ya kwanza tangu waanze mahusiano...
Waswahili wanasema tembea uone. Aijalishi utaona magorofa au nini wee tembea tu utachokiona ndo iko iko ulitakiwa ukione 😉
Miii katika tembea yangu nimekutana na kitu cha kustajabisha.
Nikiwa chuoni nmebahatka kuishi room moja na wasichana wa mataifa mbali mbali, uarabuni, wasomali...
Sio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi...
Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian.
Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji?
Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
Haiwezekani unapewa risiti halafu kwenye kuscan eti machine haifanyi kazi unaambiwa upitie sehemu ambayo machine haifanyi kazi.
Hii inaweza kuwa hujuma na upotevu wa mapato ya Serikali.
NB:Maendeleo hayana chama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.