migogoro

  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Haya yote yakitekelezwa, hakutakuwa na migogoro katika ndoa/mahusiano yetu

    Kuishi pamoja, kupendana, kusikilizana, kusaidiana majukumu, kufarijiana, kukumbatiana, kubusiana, kupeana tendo la ndoa, kutokusalitiana, kumwamini mwenzako kuwa ni pacha wako, kushiriki ibada, unyenyekevu, uwazi katika mendeleo yenu, kuipa ndoa yenu kipaumbele, kuzaa watoto, kulea na...
  2. GuDume

    JamiiForums Tanzania Dereva fahamu HAKI na WAJIBU wako unapokutana na Traffic Barabarani kuepusha Migogoro

    Wadau wenye usafiri tuweze shirikishana mambo mbalimbali ambayo madereva wanapaswa kuzingatia barabarani hasa kwa upande wa Haki na Wajibu wao. Na sisi tusio na magari pia tutapata darsa hapa.maana nakumbuka miaka ile sisi tunasoma tulijifunza kwenye Geography Kilimo cha Mahindi USA lakini...
  3. mayowela

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Kazi inapogeuka sehemu ya stress na migogoro

    Umeishawahi kukutana na changamoto zipi sehemu unayofanya kazi mpaka ukatamani kuacha, Kisa; kuna jamaa yangu anafanya kazi mwaka wa6 sasa kampuni flani ila hafurahii kazi, kwa muda wote huo anafanya nafasi hiyohiyo hapandi daraja, haongezwi mshahara na anafanya kazi sana (multitask), boss wake...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makampuni ya Tanzania ya usafirishaji yanakwama wapi, maana yanasababisha nchi inaingia kwenye migogoro na majirani wote

    Ni dhahiri kwenye hili la corona, Tanzania imeamua kutoendana na mataifa mengine duniani, yenyewe imeamua kupuuza hiki kirusi na kuendelea na maisha kama kawaida, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe, kwa hili hakuna taifa lenye uhuru wa kuingilia maamuzi yao Watanzania maana wenyewe ni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Sasa migogoro ya wakulima na wafugaji imekomeshwa

    Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent". Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya ardhi:Kati ya mikaba na sheria ya ardhi,kipi hutumika kuamua migogoro/mashauri yanayohusu ardhi katika vyombo vya kutoa haki?

    Hivi katika utatuzi wa migogoro ya ardhi au mashauri ya ardhi katika vyombo vya kutoa haki(mabaraza ya ardhi na mahakama) kipi hutumika katika kufanya maamuzi? Kwa maneno mengine,inapotokea mikabata ya watu kuuziana ardhi au watu kuweka ardhi rehani ili kupata mkopo,n.k na baadae ukaibuka...
  7. Mallia

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

    Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida. Ningekuwa Jaqy mapema sana ningemshauri mzee aniwekezee biashara zangu peke yangu au aniwekezee kiasi cha fedha kwa siri...
  8. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Uyui, Jacob Makala: Tenda haki na tatua migogoro ya uongozi mashuleni acha kufunika kombe

    Wanabodi habari za asubuhi, Leo naleta malalamiko ya baadhi ya wakuu wa shule za sekondari wilaya uyui! kumhusu Jakobo Makala huyu kama Afisa elimu wa Uyui! Malalamiko makubwa yanatoka kwa Aliekuwa Mkuu wa shule Loya sekondari Ndugu Joseph Nduba! Huyu ndiye alisimamia ujenzi wa sekondari ya...
  9. The MaskmaN

    JamiiForums Tanzania Kipi kinafanywa /kuongelewa katika usuluhishi wa migogoro ya kimataifa?

    Habari zenu wana JF Moja kwa moja ningependa niende kwenye mada au swali husika. Kulingana na kichwa au swali langu hapo juu kwa wenye ufahamu nalo please ningependa kufahamu maana nimekuwa nikijiuliza sana suala hili na kushindwa kupata majibu yaliyo sahihi kichwani mwangu. mfano unaweza...
  10. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

    Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa...
Back
Top Bottom