Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida.

Ningekuwa Jaqy mapema sana ningemshauri mzee aniwekezee biashara zangu peke yangu au aniwekezee kiasi cha fedha kwa siri katika account yoyote ya benki bila ndugu yoyote kujua.

Pia, ningeachana kabisa na kufikiria biashara za mzee za zamani ambazo alianza kutafuta yeye na familia yake ningekaa nazo mbali kabisa maana mbele zingeleta mgogoro mkubwa, nisingemshauri mzee aandike wosia wowote ambao ungeleta ugomvi bali ningemshauri aniwekezee biashara zangu mapema na kiasi cha fedha benki hata asipokuwepo niendelee kusurvive na watoto.

Mzee angeondoka hapo ningekuwa na biashara zangu mwenyewe na fedha za kutosha benki, alafu sasa mali na biashara za mzee kama vituo vya habari na uwekezaji mwingine alioanza na familia yake kuutafuta ningekaa nazo mbali labda wenyewe wakubali kunipa kwa ajili ya watoto maana aibu ingewajia.

Lakini kinachomcost jaqy ni tamaa ya mali ambazo nyingine hakuzitafuta yeye Amezikuta tu na alichokosea zaidi ni kumshinikiza mzee aandae ule wosia ambao umekaa kikatili kitu ambacho kimezidi kuwakera ndugu wa marehemu hadi kufikia kwenda mahakamani, jaqy amedumu na mzee kwa miaka mitano tu lakini anataka arithi hadi vile mzee alivyoanza kutafuta na mkewe pamoja na wanawe miaka 50 iliyopita kitu ambacho hata wewe unayesoma hapa usingekubali.

Jaqy alitakiwa asome alama za nyakati mapema kwa kumshauri mzee amuwekezee biashara zake mapema, Angemshauri mzee amuwekee Fedha za watoto Benki za kutosha kimya kimya, hizi mali nyingine angewaachia ndugu tu waamue wenyewe, fikiria mzee angemuwekezea Billioni kadhaa Benki na biashara ambazo tayari alishamfungulia asingeteseka kamwe kama sasa anavyopambana na Ndugu.

Na usikute biashara alimuwekezea na fedha alimuwekezea lakini jaqy bado akawa na tamaa tu ya kutaka vyote, Tamaa ni mbaya sana jamani,Mabinti msikimbilie Utajiri wa haraka wa mali ambazo mmekuta zishatafutwa, mkipata wenza Wazee waambieni wawawekezee nyie kama nyie muaze na moja hizo mali nyingine ziacheni kwa familia waamue wenyewe wawape au wasiwape tayari mlishawekeza vya kwenu.

Hapo mtaishi kwa amani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,032
2,000
Mods nawaombeni uzi wangu muuache una ujumbe wake peke yake

Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida.

Ningekuwa Jaqy mapema sana ningemshauri mzee aniwekezee biashara zangu peke yangu au aniwekezee kiasi cha fedha kwa siri katika account yoyote ya benki bila ndugu yoyote kujua.

Pia ningeachana kabisa na kufikiria biashara za mzee za zamani ambazo alianza kutafuta yeye na familia yake ningekaa nazo mbali kabisa maana mbele zingeleta mgogoro mkubwa, nisingemshauri mzee aandike wosia wowote ambao ungeleta ugomvi bali ningemshauri aniwekezee biashara zangu mapema na kiasi cha fedha benki hata asipokuwepo niendelee kusurvive na watoto.

Jaqy alitakiwa asome alama za nyakati mapema kwa kumshauri mzee amuwekezee biashara zake mapema, ni fedha za watoto benki za kutosha kimya kimya, hizi mali nyingine angewaachia ndugu tu waamue wenyewe, fikiria mzee angemuwekezea billioni kadhaa benki na biashara ambazo tayari alishamfungulia asingeteseka kamwe.

Na usikute biashara alimuwekezea na fedha alimuwekezea lakini jaqy bado akawa na tamaa tu ya kutaka vyote, tamaa ni mbaya sana jamani,mabinti msikimbilie utajiri wa haraka wa mali ambazo mmekuta zishatafutwa, mkipata wenza wazee waambieni wawawekezee nyie kama nyie muaze na moja hizo mali nyingine ziacheni kwa familia waamue wenyewe wawape au wasiwape tayari mlishawekeza vya kwenu.

Hapo mtaishi kwa amani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ushauri ni mzuri sana.

Hakikisha ndugu zako wa kike wote wanapata nakala moja moja ya huu ushauri
 
Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Unamfundisha jinsi gani angedanga kwa weredi
yaani hakutumia akili kabisa, huwezi ukaishi na mtu kwa miaka mitano, unataka urithi vyote alivyotafuta maiaka 50 iliyopita alafu ana watoto wakubwa sasa lazima pangechimbika

jaqy ilibidi ambane mzee mapema amuwekezee mabilioni yake kimya kimya vingine atulie ndugu aibu ingewashika tu, lakini ule wosie umetibua nyuki kwenye mzinga na umeonyesha sura ya jaqy kuwa ana tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dong yi

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
3,662
2,000
mkuu ushauri wako ni mzuri lakn hio haiondoi ukweli kwamba familia nyingi za kiafrika ni wapumbavu au wajinga wajinga!......

ukiangalia pale watoto wale wengine wakubwa kabisa kuliko hata Jack, then watoto waliobaki ni hawa mapacha!..... kuna ulazima gani wao kugombea mali?

ule wosia mimi nilivousoma sioni kama kuna baya lolote zaidi ya mwenyewe mengi kutaka watoto wake makinda wapate pakubwa (rightly so), hata ningekua mimi ningeweza kufanya vile vile!......

kinachoonekana hapa ni wivu na aina nyingine ya mambo ya kiswahili......... nilichojifunza mimi hapa kwa sisi wanaume ni kuwa na account nyingi za siri ambao hawa ndugu na watoto wakubwa hawazijui........
 
SISIS

JF-Expert Member
Jan 14, 2019
10,250

cha msingi hapa tuongelee kuhusu familia hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
16,582
2,000
yaani hakutumia akili kabisa, huwezi ukaishi na mtu kwa miaka mitano, unataka urithi vyote alivyotafuta maiaka 50 iliyopita alafu ana watoto wakubwa sasa lazima pangechimbika

jaqy ilibidi ambane mzee mapema amuwekezee mabilioni yake kimya kimya vingine atulie ndugu aibu ingewashika tu, lakini ule wosie umetibua nyuki kwenye mzinga na umeonyesha sura ya jaqy kuwa ana tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Analeta utapeli wa wazi ambao hata wananzengo tunaona fika kuwa anazingua😂😂.
 
Msweet

JF-Expert Member
Mar 26, 2014
2,230
2,000
Huu ushauri ni mzuri Sana.... Pia kwa wanawake waliopo kwenye ndoa za mitala.... Polygamy Marriages/Michepuko ya kudumu.

Mods nawaombeni uzi wangu muuache una ujumbe wake peke yake

Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida.

Ningekuwa Jaqy mapema sana ningemshauri mzee aniwekezee biashara zangu peke yangu au aniwekezee kiasi cha fedha kwa siri katika account yoyote ya benki bila ndugu yoyote kujua.

Pia ningeachana kabisa na kufikiria biashara za mzee za zamani ambazo alianza kutafuta yeye na familia yake ningekaa nazo mbali kabisa maana mbele zingeleta mgogoro mkubwa, nisingemshauri mzee aandike wosia wowote ambao ungeleta ugomvi bali ningemshauri aniwekezee biashara zangu mapema na kiasi cha fedha benki hata asipokuwepo niendelee kusurvive na watoto.

Mzee angeondoka hapo ningekuwa na biashara zangu mwenyewe na fedha za kutosha benki, alafu sasa mali na biashara za mzee kama vituo vya habari na uwekezaji mwingine alioanza na familia yake kuutafuta ningekaa nazo mbali labda wenyewe wakubali kunipa kwa ajili ya watoto maana aibu ingewajia.

Lakini kinachomcost jaqy ni tamaa ya mali ambazo nyingine hakuzitafuta yeye Amezikuta tu na alichokosea zaidi ni kumshinikiza mzee aandae ule wosia ambao umekaa kikatili kitu ambacho kimezidi kuwakera ndugu wa marehemu hadi kufikia kwenda mahakamani, jaqy amedumu na mzee kwa miaka mitano tu lakini anataka arithi hadi vile mzee alivyoanza kutafuta na mkewe pamoja na wanawe miaka 50 iliyopita kitu ambacho hata wewe unayesoma hapa usingekubali.

Jaqy alitakiwa asome alama za nyakati mapema kwa kumshauri mzee amuwekezee biashara zake mapema, Angemshauri mzee amuwekee Fedha za watoto Benki za kutosha kimya kimya, hizi mali nyingine angewaachia ndugu tu waamue wenyewe, fikiria mzee angemuwekezea Billioni kadhaa Benki na biashara ambazo tayari alishamfungulia asingeteseka kamwe kama sasa anavyopambana na Ndugu.

Na usikute biashara alimuwekezea na fedha alimuwekezea lakini jaqy bado akawa na tamaa tu ya kutaka vyote, Tamaa ni mbaya sana jamani,Mabinti msikimbilie Utajiri wa haraka wa mali ambazo mmekuta zishatafutwa, mkipata wenza Wazee waambieni wawawekezee nyie kama nyie muaze na moja hizo mali nyingine ziacheni kwa familia waamue wenyewe wawape au wasiwape tayari mlishawekeza vya kwenu.

Hapo mtaishi kwa amani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,032
2,000
mkuu ushauri wako ni mzuri lakn hio haiondoi ukweli kwamba familia nyingi za kiafrika ni wapumbavu au wajinga wajinga!......

ukiangalia pale watoto wale wengine wakubwa kabisa kuliko hata Jack, then watoto waliobaki ni hawa mapacha!..... kuna ulazima gani wao kugombea mali?

ule wosia mimi nilivousoma sioni kama kuna baya lolote zaidi ya mwenyewe mengi kutaka watoto wake makinda wapate pakubwa (rightly so), hata ningekua mimi ningeweza kufanya vile vile!......

kinachoonekana hapa ni wivu na aina nyingine ya mambo ya kiswahili......... nilichojifunza mimi hapa kwa sisi wanaume ni kuwa na account nyingi za siri ambao hawa ndugu na watoto wakubwa hawazijui........
Mimi nilidhani ndugu zetu wachaga wamestaarabika, kumbe nao tabia za kimaskini na kiswahili hazijawaacha salama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom