"I might disapprove of what you say, but I will defend to the death your right to say it"
Siafiki mengi yanayosemwa na wapotoshaji.., lakini sifurahii kuwaziba midomo so called wapotoshaji, sababu kama tukiwaziba midomo leo na kweli wamepotosha uzibaji midomo huo huo unaweza kutumika kesho...
Si ubaya wa umbo la hasha. Wala si tafsiri ya midomo michafu. Uchafu kwa maana ya kutokuwa msafi. Na uchafu kwa maana ya matusi na maneno yasiyo na staha
Tunaishi kwenye jamii ambazo ni jambo la kawaida kusikia kuwa fulani ana mdomo mbaya. Na anaweza kuwa ndugu jamaa rafiki ama hata wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.