APRILI 26 mwaka huu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaadhimisha miaka 54 ya Muungano, tangu kuungana kwa iliyokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na ile ya Tanganyika, na kupata jina moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Muungano huo ulisimamiwa vyema chini ya viongozi wawili marehemu mzee...