michezo

  1. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Nyasa Mkoani Ruvuma kuanza hivi Karibuni

    Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati. Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
  2. JamiiForums Tanzania Aprili 6: Siku ya Kimataifa ya Michezo

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Michezo kwa Maendeleo na Amani ni fursa ya kutambua mchango chanya wa Michezo katika Jamii na Maisha yetu Michezo ina nguvu ya kuimarisha uhusiano katika Jamii, na kukuza Maendeleo endelevu, Amani pamoja na mshikamano wa watu wote Mbali na Michezo kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye chaki leo (Bitter Truth)

    Habarini Wananchi wote wa JF..! Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza.. Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya...
  4. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ufuatao ndiyo mtiriroko wangu mzima wa Matumizi ya Fedha Nono ya Ushindi wa Jukwaa la Michezo JamiiForums

    1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi. 2. Nitamtolea Mungu (siyo Mungu wa Mwamposa) Sadaka yake ama kwa kuitoa Kanisani au kuwapa Zawadi Watoto...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametufutia laana ya kichwa cha mwendawazimu kwenye michezo

    Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii ilimfanya Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzifananisha timu zetu na kichwa cha mwendawazimu ambacho...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yaidhinisha Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

    KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia anaibeba sekta ya michezo, TFF wanaturudisha kwenye migogoro ya enzi za FAT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo tofautitofauti. Tumeshuhudia Serikali yake ikiondoa kodi katika nyasi bandia ili kuboresha viwanja...
  9. JamiiForums Tanzania Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
  10. JamiiForums Tanzania Tunaopenda soka kwelikweli Bila Unafiki tunaziombea Simba na Yanga ushindi katika Michezo hii ya Weekend.

    Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo. Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
  11. JamiiForums Tanzania Ally Mayay ateuliwa kuwa Mwakilishi katika Bodi ya Ushauri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3. Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri Serikali imlipe Kocha wa Taifa Stars ni Mhujumu Uchumi asie na nia njema na Maendeleo ya Michezo!

    Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Pindi Chana atoa rai kwa wawekezaji kuwekeza katika michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa rai kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika michezo ikiwemo ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya viwanja vya michezo. Mhe. Dkt. Pindi Chana ametoa rai hiyo Machi 5, 2023 jijini Arusha wakati wa mbio za...
  14. JamiiForums Tanzania Asante kwa 'Kubalansi' Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Chana ni mwana Yanga SC lia lia na Mwinjuma ni mwana Simba SC Kindakindaki. Kazi ipo.......
  15. JamiiForums Tanzania Kongamano la Dunia la Maadili katika michezo

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Vijana na Michezo wa nchini Seychelles, Ralph Kelvin Jean-Louis (wa pili kulia) tarehe 21 Februari, 2023 jijini Riyadh, Saud Arabia katika Kongamano la Dunia la Maadili katika...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iwekeze nguvu nyingi kwenye sekta ya Sanaa na Michezo

    Ni wazi kabisa tena bila upinzani hii sector pendwa sana wananchi wa Tanzania ipo haja ya serikali sasa kuwa serious na hii sekta na kuitazama kwa macho mawili. Ni sector inayoweza kuingiza trillion za pesa kwa serikali kama tutadhamiria kweli. Uwejezaji mkubwa kwenye michezo kama ya mpira wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameamua kuwasikiliza Simba suala la utalii kupitia michezo

    Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier. Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Michezo michafu dhidi ya uchumi, ukweli ni upi?

    Kuna mambo mengi yamefichika nyuma ya pazia kuhusiana na michakato, takwimu na mwenendo wa uchumi hususani usimamizi wa fedha. Wataalam wa uchumi mnaoiangalia hii clip hapo juu, je kuna usahihi kwa anachozungumza huyo mzee au ni poligical milleage? je tuna la kujifunza? Mshana Jr raraa...
  19. JamiiForums Tanzania FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

    ⚽️ US Monastir🆚Young Africans SC 🗓 12 February 2023 ⏱ 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ 🏟 Uwanja wa Rades, Tunis 🏆 CAFCC Kikosi cha Yanga Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku mnene tukifurahi ushindi Timu zinaingia uwanjani Mchezo umeanza 2' Yanga wameanza kwa kasi, Kisinda...
  20. JamiiForums Tanzania Imani Kajula CEO Mpya Simba

    Anachukua nafasi ya Barbara Gonzalez
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…