Naombeni ratiba za vipindi vya michezo

Alexander Lukashenko

JF-Expert Member
Sep 9, 2017
4,103
9,531
Wanaspoti wenzangu kutokana na kilichototokea leo naombeni nipewe ratiba ya Vipindi vya michezo kwa Siku ya kesho kwa redio zote.

Lakini ningependa kushauri wanaspoti wenzangu hasa wale wayanga, tusikose kipindi cha hawa Manguli wa michezo hapo kesho.

Natanguliza shukrani.
20240317_234202.jpg
 
Kesho watasikiliza vipindi vya michezo huku wakilamba glucose
 
Back
Top Bottom