miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Idadi ya Watu: Je, wajua idadi ya watu duniani ilitoka Bilioni 7 - 8 kwa miaka 12, ila inakadiriwa itachukua miaka 15 kufikia Bilioni 9?

    Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
  2. JamiiForums Tanzania Gabon: Rais Ali Bongo kuwania Muhula wa 3 licha ya Familia yake kutawala kwa miaka 55

    Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023. Bongo alishutumiwa na Kiongozi wa Upinzani Nchini Gabon, Jean Ping akwa Wizi wa Kura katika Uchaguzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), yatakayofanyika kesho. Kwa mujibu wa taarifa kwenye maadhimisho kumeandaliwa mambo mbalimbali...
  4. JamiiForums Tanzania Dubai: Mtu azinduka kutoka kwenye coma baada ya miaka minne

    Dubai: In what can be likened to a real-life time-travel tale, Fares Abu Batin, a Saudi man who was in a coma for four years, woke up to a world transformed beyond his imagination. The astonishing episode was brought to light during an interview with Al Arabiya TV, where Fares recounted the...
  5. JamiiForums Tanzania Mikataba haikuanza leo, ni miaka mingi kabla hata ya kuzaliwa kristo, angalia mkataba huu kati ya Israel na Lebanon ndio utaujuwa ukweli

    MKATABA WA KALE WA KIUCHUMI KATI YA ISRAEL NA LEBANON U SAWA NA MKATABA WA BANDARI KATI YA TANZANIA NA DUBAI? Mkataba wa kwanza wa kimataifa kurekodiwa katika Biblia ni Mkataba wa kiuchumi baina ya Israeli na Lebanon uliosaniwa mwaka c. 950 BK (miaka 2973 iliyopita). Mkataba ule ulihusu Lebanon...
  6. JamiiForums Tanzania Wakili afungwa miaka 7 kwa kumuua Mpenzi wake

    Wakili wa Kujitegemea Steven Mduma (38) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia Mpenzi wake aitwae Jackline Mwanjimbe. Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji John Nkwabi baada ya kupatikana...
  7. JamiiForums Tanzania Kikongwe wa miaka 90 adaiwa kuuawa kisa kumkataza kijana asipande mnazi

    Hilda Ngassa (90) ameuawa kwa kudaiwa kukatwa kwa panga na Yohana Luhanga (32) ambaye naye ameshambuliwa na wananchi wenye hasira kali na amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akipatiwa matatibabu. Inadaiwa sababu za kuuliwa kwa Hilda ni kutokana na kumkataza Luhanga asiangue...
  8. JamiiForums Tanzania Je, kurudiana na Mwanamke mliyeachana nae miaka 13 ni vyema au ni Hatari?

    Nasubiri majibu yenu ili nijue najilipua rasmi Kurudiana nae au nisirudiane nae (tusifanye Mapenzi) ila tuwe tu Marafiki. Katika huu Uzi nitakuwa ni Msomaji zaidi wa Comments zenu na kupitia Comments zenu ndiyo nitaamua nimrudie au nisimrudie. Kuna Mwamba Mmoja aliniambia aliachana na Mpenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Watanzania huwa tunarudia makosa yale yale miaka nenda rudi.

    Ndugu zangu mnajua fika rasmilimali pekee tulizonazo ambazo tungekuwa na viongozi wenye maono zingetutoa kwenye umasikini,Madini,mbuga (utalii),bahari & maziwa na bandari. Taarifa zinaonesha Rais Mstafu Mkapa alibinafisisha Migodi ya madini ya dhahabu ya Mkoa wa Geita & Mara,Mgodi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Nyumba hii nimeijenga kwa miaka mitatu

    Ilikuwa Tarehe 02/09/2020 nilifanya maamuzi ya kununua eneo la makazi yangu Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mamlaka ya mjimdogo Katoro, kitongoji cha Inyala, Kata ya Nyamigota. Baadae nilipata pesa kidogo nikajisemea kwa umri wangu huu ndio muda wa kutafakari na kuweka familia pamoja kabla...
  11. JamiiForums Tanzania Tunawataka DP World, Wabongo wa bandarini tumewachoka wamejaa rushwa na urasimu. Kuwe na kipengere cha Mkataba kuisha kila baada ya Miaka mitano!

    Dp world waje ila kwa mkataba wa miaka mitano mitano, kila baada ya miaka mitano kuwe na option ya kuwaruhusu waendelee kukiwa na ufanisi ama waondoke wakizingua. Kama Dp World hataki kuwa na mkataba wa miaka mitano, ije hata hio kampuni ya kigeni ambayo imepewa tenda kuendesha bandari ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mabinti wengi wenye miaka 18-24 hawataki kuolewa kwa muda huo?

    Kwa wenye uzoefu kwenye hili mshee mawazo, inasemekana mabinti wengi wenye umri huo hawataki ku-settle kwenye ndoa au serious relationship, ilhali kwenye huo umri ndo wapo kwenye hot season/prime age/wako popular kwenye market.. Harakati za "binti" pia sielewi, kule FB kuna NGO imeanzishwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Muleba: Afungwa Jela miaka 3 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 250,000

    Hukumu hiyo imetolewa Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Muleba, Kagera dhidi ya Mashaka Magesa Ngereja baada ya kumkuta na hatia ya kupokea Hongo kwa lengo la kuuza Ardhi ya Kijiji cha Kahangaza kitongoji cha Kanyamlima. Mshtakiwa alikutwa na kosa hilo ambalo ni kinyume na Kifungu cha 15 cha...
  14. JamiiForums Tanzania Mkusanya Mapato afungwa miaka miwili Jela licha ya kurejesha Tsh. Milioni 10.6 alizoficha

    Ni Sylivester Vananth, aliyekuwa Mkusanya Mapato ya Halmashauri ya Ngara, Kagera aliyepewa hukumu hiyo na Mahakama baada ya kukutwa na hatia katika Kesi ya Uhujumu Uchumi na Ubadhirifu. Mshtakiwa alikiri Kosa na kuomba huruma ya Mahakama kwenye upande wa adhabu kwa kuwa ameshalipa Tsh...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Miaka ya 80 wakati tuko watoto ilitokea misiba ya vifo vya utatanishi, sijui kama ni utatanishi au ni kwasababu nilikuwa mtoto hivyo sikuelewa mwisho wa hizi case . Kifo ha kwanza kilikuwa cha kijana mmoja alijulikana kama Makatta Makatta, huyu inasemekana aliuawa kwenye party maeneo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenye mitihani ya leseni pharmacy (miaka ya nyuma anisaidie tafadhali)

    Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu.. Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani hakuna cha bure zaidi ya pumzi..
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wengi wa kiume miaka ya leo wanaogopa kuoa? Sababu hizi hapa

    Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu mujarabu miongoni mwa jamii kwamba imekuwaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo na waoga hasa linapokuja suala la kuoa?Kadri siku zinavyokwenda ndivyo hivyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inazidi kkuongezeka Unakuta wapenzi wanaambiana kwamba wanapendana na...
  18. JamiiForums Tanzania Walioua ndugu kwa Viboko, Wafungwa miaka 6, baba yao anusurika

    Mahakama Kuu imewaadhibu mzee wa miaka 91, Leshoo Kishoki Mollel na wanawe wawili, waliomuua bila kukusudia mwanafamilia mwenzao aliyekwenda kwa wakwe katika kikao cha usuluhishi akiwa amelewa chakari. Katika hukumu hiyo iliyosomwa Juni 23 mwaka huu na nakala kupatikana jana, Mahakama Kuu Kanda...
  19. JamiiForums Tanzania Nimekaa ushuani kwa miaka mingi, sasa nimehamia uswazi. Kuku wa huku wataniua

    Boss ashampoo niliyumba kibiashara hapo kati kati mimi miaka mingi toka 2013 nakaa posta tu kisutu. Baada ya kuyumba kidogo nikahamia uswahilini nje ya mji, pia niliwapa story ya shemeji yenu kunikimbia. Kiukweli mimi nilizaliwa familia flani ya kati, sio ushua wala umasikinini. Baada ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanza: Aliyetuhumiwa kunajisi mtoto wa miaka 5 ashinda rufani

    Mahakama Kuu mkoani Mwanza, imemwachilia huru Daudi Kanyengele, baada ya kushinda rufaa aliyofungua kupinga kifungo cha miaka 30 jela, aliyohukumiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumnajisi binti wa miaka 5. Hukumu hiyo iliyotowa Juni 23, mwaka huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…