miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dar: Kutana na Kijana wa miaka 24 anayetoka kimapenzi na Bibi wa miaka 80 Tanzania

    Catherine, mama wa watoto 5 alipoteza mume wake miaka michache iliyopita na alihitaji kupendwa. Akiwa anaendelea na shughuli zake za kila siku, alikutana na George ambaye ni mtoro wa shule na mwendesha boda boda na kila kitu kikabadilika.
  2. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Kero anazotatua Makonda zinamuhitaji azunguke nchi nzima miaka 60 ijayo

    Mimi ni mtu wa imani, mpenzi wa Biblia na mqmbo chanya kwenye Quran. Kwa upeo wangu hafifu kisiasa nimeangalia malalamiko anayotatua Mh Makonda nimeona anahitaji kuzunguka nchi nzima miaka 60 ijayo angalau hadi 2084 Feb. Kwanini? 1: Matatizo anayoletewa mtu kukatwa mapanga, kunyimwa malipo na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi hii miaka nenda rudi matatizo hayaishi na CCM inaongoza tu?

    Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu. Sasa leo Mhe. Makonda anazunguka nchi nzima na kuibua matatizo tu. Au labda haya matatizo ni kidogo...
  4. JamiiForums Tanzania Kama ukipewa ofa ya kuchagua miaka ya kuishi na mwenyezi Mungu, utachagua mingapi. Mimi 120

    Wasalaam. Kwa sababu ya uhaba wa umeme, maji safi, uwezekano wa ajali, na magonjwa ya kushtukiza na kujisababishia wabongo wengi wamekata tamaa na wanaishi kana kwamba sekunde yoyote anakufa. Hii imepelekea ufisadi, wizi, ujanjaujanja na ukosefu wa mipango mikubwa endelevu maana watu wanajua...
  5. JamiiForums Tanzania Bodaboda jela miaka 30 kwa kumbaka abiria wake mkoani Kigoma

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela wilayani humo mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka abiria wake. Sambamba na hukumu hiyo, mahakama imetaifisha pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Ni miaka 60 sasa tangu mchezaji wa mwisho kuhama moja kwa moja kutoka Man Utd kwenda Liverpool

    Phil Chisnall anabakia katika vitabu vya kumbukumbu kama mchezaji wa mwisho kuhama direct toka Man Utd kwenda Liverpool baada ya hapo haijawahi kutokea tena. Alifanya uhamisho huo mwaka 1964. Man Utd & Liverpool ni wapinzani kweli katika mpira na uhasama wao ulifanya mechi zao ziwe zinachezwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

    Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk Amina Chifupa wa Mpakanjia Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwenye maisha: Kupata ni majaliwa haimaanishi wewe ni bora kuliko mwingine

    Hii ni experience ya maisha YANGU. Tahadhari nisinukuliwe vibaya kwa kupingana mawazo. Imani, utamaduni uliyojengeka katika nchi yetu. Kupata ni majaliwa haimanishi wewe bora kuliko wengine. Usimdharau mtu. Leo unayemuona hafai kesho anafaa. Amini kwenye UWEZO wako, mchakato kutoka hatua moja...
  9. JamiiForums Tanzania Simulizi mtoto wa miaka 10 alivyobakwa na jirani

    Tarime. Ni unyama, ndiyo unavyoweza kutafsiri alichofanyiwa mtoto mwenye miaka 10, mwanafunzi wa darasa la saba. Amebakwa mara nne kwa nyakati tofauti na jirani yao, mwanamume mwenye miaka 40. Mwanafunzi huyo, mkazi wa Kijiji cha Sanganga, Kata ya Pemba wilayani Tarime, anadaiwa kutendewa...
  10. JamiiForums Tanzania Atapata PhD akiwa na miaka 102

    Mhitimu wa miaka 95 ,David Marjot, kutoka Weybridge, Surrey Uingereza, sasa anatafakari kuisaka PhD, ambayo itamweka chuoni hadi atakapofikisha miaka 102 baada ya kufamikiwa kuhitimu shahada ya uzamili (MA) katika Chuo Kikuu cha Kingston. David ni Daktari mstaafu wa magonjwa ya akili, na...
  11. JamiiForums Tanzania Faida 04 za kijana kuoa ukiwa na miaka 20

    Ukomavu wa utu uzima unaanza mtu akifikisha miaka 20. Utu uzima unaanza akifikisha miaka 13. Kimsingi mwenyezi Mungu hatambui kitu mnachokiita Teenagers/Adolescents au foolishage. Miaka 13~19 ni mtu mzima anayejianaa kuoa akihitimu 20s. Ziko faida nyingi wazazi wakiwaandaa vijana wao kukomaa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 64 ya Rais Samia, safari ya kusisimua kutoka Karani wa Masijala hadi Mkuu wa Nchi

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Januari 27, 2024 Rais wa Awamu ya 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alitimiza miaka 64 toka kuzaliwa kwake akihudumu nyadhifa ya juu kabisa nchini toka achukue mikoba hiyo Machi 19, 2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya 5...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 14 auawa kwa risasi akijaribu kumdunga kisu afisa wa polisi wa Israel

    Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha gaidi mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa gaidi huyo na kisha kumpiga risasi na kumuua ili kumzuia mshambuliaji aliyechanganyikiwa asimpige afisa huyo. Picha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika: Miaka 47 tangu CCM izaliwe lakini haijatendea haki watanzania kwa kuleta maendeleo stahiki.

    Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo. Angalia madini kama Tanzanite, almas na hata ruby pia Alexandrite. Madini haya yanatosha kabisa kuwa chanzo cha mapato kwa taifa...
  15. JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

    Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3. Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini - Sherehe za Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM Zafana Sana

    MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini. Jumuiya zote za CCM zimekamilisha sherehe zake. Chama kinaendelea kusherehekea kwenye ngazi za Kata. Mbunge wa Jimbo, Prof...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Msaada hospitali inayofanyia mazoezi kwa mashine watoto umri chini ya miaka mitatu waliochelewa kusimama na kutembea

    Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu. Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF. MBARIKIWE.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250 Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 60+ nchi inajadili uhaba wa sukari?? CCM hebu kaeni pembeni

    Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari? Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60? Sukari!! Aibu naona mimi. Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wastaafu zanzibar wamesusia sherehe za miaka 60 ya mapinduzi Zanzibar?

    Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 hadi 14 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa utawala na kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Mapinduzi hayo yalikuwa na muktadha wa kisiasa na kijamii ambapo kulikuwa na mivutano kati ya Waarabu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…