miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili baba lina miaka 43, halijaoa na halina mtoto. Ila lina sababu ya msingi japo haina mantiki

    Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭 Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini! Kuna kipindi alifikia akasema hata mapenzi aache kufanya kabisa maskini, akiamini nguvu za kufanyia...
  2. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumechakatana kwa miaka miwili mfululizo kumbe hajui hataJina langu,nimechukua uamuzi wa kumuacha

    Usioe wala kuzaa na mwanamke kilaza... Miaka miwili concecutively sijui concurently mnachakatana kwa wiki mara tatu mpaka nne Wiki hii ndio nikagundua kuwa hajui jina langu Hiyo imekuwa sababu tosha ya kumpiga chini,huo ni ukilaza pro max Na hapo namtumia miamala mara kwa mara
  4. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story Siasa za Kenya huwa...
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tovuti ya Millard Ayo (millardayo.com) haijalipiwa ada ya internet kwa miaka mitano ilopita?

    Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu: Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED! This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years. It will be back online once this is resolved! Kama ni kweli kwanini Millard Ayo...
  6. Sigara Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kifungo Cha miaka mingi hatimaye Sigara Kali nimerudi hewani

    Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali. Asanteni moderators wote wa JF
  7. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Kwenye Kujiajiri Biashara ya Vipodozi Asilia Miaka 8

    Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa nimetumia miaka 3 kudeal na biashara ya sabuni asilia kwa muda wa ziada wa ajira ,iwe usiku,weekend hadi...
  8. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 33 sijaoa sina mke familia imenikalia kooni

    Sijui kwa nini nina miaka 33 sina mke sina mtoto familia imenikalia kooni . Nina kazi nina Elimu.
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi MAABARA za kupima madini zinavyowatajilisha wachimbaji wa DHAHABU Tanzania. Uzoefu wa miaka 10

    Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama (Laboratory Geologist). Uzi wangu kuhusu geologia ya madini huu hapa Tangu wakati huo nimekuwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Law School matokeo yametoka, je wamefeli kama miaka yote? Mwenye nayo atuwekee hapa

    Yametoka usiku huu. Mwenye nayo atuwekee hapa tafadhali Mitihani ya Law Shool imekuwa changamoto kubwa sana kwa vijana wetu. Wanafeli kama vile hawajawahi soma sheria.
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  12. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Manka: Dada Poa maarufu Dodoma Aliyetekwa na kutoonekana kwa miaka 3 sasa

    Natumaini mko powa wanajukwaa hili la JF (JamiiAfrica) Leo tarehe 05/05/2025 imetimia siku 1075 au miaka 3 kasoro tangu dada maarufu kwa jina la Manka (Sauda jina la kuzaliwa) apotee kwa kutekwa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha yeye pamoja na bwana wake aitwaye Paroko...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shamra shamra Miaka 11 ya Chama cha ACT Wazalendo ya kupigania Taifa la wote kwa maslahi ya wote

    https://www.youtube.com/live/ofrr-5ZXSAM [Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Jonas Semu kwenye Maadhimisho ya Miaka 11 ya Kuzaliwa kwa ACT Wazalendo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya Chama, Dar es Salaam] Ndugu viongozi na wanachama wote mliohudhuria...
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 kwa mda wa miaka 10 mpaka 20

    Nikiwa Rais ntahakikisha uchumi unakua kwa asilimia 12 na ntatumia njia zifuatazo kuweza kulitimiza hili jambo Kuwekeza kwenye michezo ambayo itakuza utalii Kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji cha large scale Kuwekeza kwenye viwanda vya awali ambavyo ni smelter na refining KKupitia hayo...
  15. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 6 haijui kusoma kalenda

    Salam wakuu. Nimekuwa nikimpima huyu kijana wangu mara kwa mara ila nahuzunika kuona hawezi kumaster mtiririko wa masaa na kalenda. Mfano leo nimemjaribu na mazungumzo yakawa hivi; Mimi: "..kwanin hujaenda shule wakati leo jumapili?.." Mtoto: "...leo ni jumatano mwalimu kasema hatuendi shule...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanamke achangiwa zaidi ya bilioni moja baada ya kumwita mtoto mweusi wa miaka 5 niga

    Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza maneno ya ubaguzi wa rangi kwa mtoto mweusi mwenye umri wa miaka mitano, ambaye inasemekana ana autism...
  17. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iwekwe sheria umri wa Mwanaume kuoa uanzie miaka 30

    Ndio, umri wa mwanaume kuoa uanzie miaka 30. Ndoa sio jambo dogo, ni uamuzi mkubwa sana. Ndoa ni mkataba ule. Iwekwe kwenye sheria kabisa kama mwanaume hujafika 30 marufuku kuishi na mtoto wa mtu. Umri wa 30 walau mtu anajitambua anachofanya. Mwanaume ndo baba wa nyumba lazima ajitambue...
  18. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 1980s hadi 1990s, ndiyo ilikuwa golden Era ya mapinduzi ya burudani duniani.

    Kwanza niwape pole kwa yanayoendelea kwenye taifa letu . Tutapata tu jawabu .. anyway moja kwa moja kwenye mada. Miaka hiyo niliyoitaja hapo juu naweza kusema ndicho kipindi au zama za ulimwengu wa burudani ambapo ilikuwa ni zama ya aina yake . Walioishi hiki kipindi wanaweza kubaliana nami...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiuchukua Urais kwa Dharula ya Kikatiba na Kuongoza kwa miaka 3 au 4 bado unastahili kuitwa Baba au Mama wa Taifa?

    Nitashukuru mkinijibu manake kuna Dada Mmoja hapa Mtaani amekuwa ni Mjumbe wa Kata yetu tokea Mwaka 2021 na hakuna anachofanya zaidi tu ya kupenda Umbea, ila nashangaa wana Mtaa Wenzangu wamemkubali hadi kufikia kumuita Mama wa Taifa la Mtaani, ila Mimi mpaka sasa sijaona Maendeleo ya hapa...
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Technology Yetu miaka 10 ijayo je tutakuwa wapi?

    Wadau wa technology: Software Robotics AR & VR technology Mobile Computing Tech in Health Nk. Predictors (Pattern recognitors) wa tujadili next gen tech
Back
Top Bottom