Hivi Yesu aliwezaje kuishi bachelor kwa miaka 40?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,885
Reaction score
4,458
Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?

Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
 
Wanasema aliishi miaka 33
 
Wapi ulisoma Yesu aliishi miaka 40?

JESUS IS COMING AGAIN

Get prepared
 
Yaani wewe mwanajamiiforums unajilinganisha na Yesu?

Yesu hakuwa na mlengo wa kibinadamu, alikuja kuweka misingi wa wokovu na si kutafuta watoto wa kimwili au kujifurahisha na ngono duniani. Yesu ni Masihi, Bwana na Mwokozi.

Alizaliwa katika mwili Ili aishi nasi na kutufundisha Kweli ya Mungu. Hakushindwa na mwili Bali aliushinda.

Kwa uzoefu wangu wa hapa jf, watu kama ninyi huanzisha nyuzi kama hizi Ili kutimiza adhma za kejeli na ukosoaji.

Yesu ndiye Mwanzilishi wa Ukristo wenye wafuasi mamilioni ulimwenguni.

Kwa maoni yangu: SI vizuri kuwa na mada zisizo na manufaa hasa zenye mrengo wa kukejeli, dharau au kukufuru Imani za wengine.
 
Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?

Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Kwa mujibu wa maandiko Yesu hakuishi miaka 40.

Alianza huduma akiwa na miaka 30 akafa akiwa na miaka 33. Alifanya kazi miaka mitatu tu akaacha legacy hadi Leo.

Mkuu Tajiri wa kusini ,

Kuna somo katika physics linaongelea mambo ya frequency na vibrations. Katika Kila state binadamu anayokuwa nayo Huwa katika frequency Fulani kwa sababu ya vibration. Ukisikiliza mziki,ukiwa katika furaha,huzuni,ukiangalia porn,ukifanywa matendo ya huruma nk.

Yesu alipokuwa duniani alikuwa katika dimension ya juu sana kwa sababu alikuwa ana vibrate in high frequency(ndiyo maana Kuna wanaomchukulia kama Mungu kwa sababu ukiwa katika dimension yake umungu unakuvaa. Na labda tuseme ukivibratre katika high frequency,unakuwa beyond tamaa za kibinadamu(mfano hauwazi mambo machafu yakiwepo hili tunalolijadili,lust/nyege)

Mapambano dhidi ya lust/tamaa za mwili ukiwa katika dimension ya chini yanakuwa magumu.
20250326_195350.jpg
 
Yaani wewe mwanajamiiforums unajilinganisha na Yesu?

Yesu hakuwa na mlengo wa kibinadamu, alikuja kuweka misingi wa wokovu na si kutafuta watoto wa kimwili au kujifurahisha na ngono duniani. Yesu ni Masihi, Bwana na Mwokozi.

Alizaliwa katika mwili Ili aishi nasi na kutufundisha Kweli ya Mungu. Hakushindwa na mwili Bali aliushinda.

Kwa uzoefu wangu wa hapa jf, watu kama ninyi huanzisha nyuzi kama hizi Ili kutimiza adhma za kejeli na ukosoaji.

Yesu ndiye Mwanzilishi wa Ukristo wenye wafuasi mamilioni ulimwenguni.

Kwa maoni yangu: SI vizuri kuwa na mada zisizo na manufaa hasa zenye mrengo wa kukejeli, dharau au kukufuru Imani za wengine.
Umemjibu vema kabisa ndugu👍
 
Hivi Yesu aliwezaje kuishi miaka 40 bila mke? Na hamna sehemu yoyote ile ambayo inaonesha kwamba aliishi na mwanamke wala hakua na mtoto wa kuendeleza uzao wake je aliwezaje kuishi miaka yote hiyo?

Ilhali hata mimi kuishi wiki tu siwezi hisia zake alizitolea wapi?
Huwa wanasema si yote aliyoyafanya Yesu yameandikwa, nadhani hayo ambayo hayajaandikwa yana mengi!!
 
Back
Top Bottom