miaka 40

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Kumbukizi ya Miaka 40 ya Kifo cha Sokoine

    Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead. Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na akifahamika Masaini kote na alitajirika katika biashara. Mali hii aliitumia bila choyo wala khiyana...
  2. Dr. Zaganza

    Kwa Takribani miaka 40 Sasa Nimegundua Ukiwa na MTAJI au UZOEFU, Utaishi Uchumi wakati au wa juu

    Habari zenu woote Naamini niko jukwa sahihi kushare uzoefu wangu kwenye biashara. Sasa leo napenda kushare nanyi uzoefu wangu kwa kuangalia circle yangu, nimegundua ngazi 3 kiuchumi: 1. Uchumi wa chini: Kundi bila Mtaji Wala Uzoefu. Hawa wanastrugle kila iitwayo leo kufanya kazi apate pesa ya...
  3. Masai wa Town

    Jinsi nilivyopagawishwa na mjane wa miaka 40 nikiwa na miaka 25

    Nilikuwa Chuo mwaka wa Pili, mtaani nilikutana na mama muuza uji. Alikuwa ni Mnyarwanda anaitwa Linah, kwa ujumla alikuwa mrembo sana(black beautiful, hips kubwa, tako laini na kimo chake ni Kama futi tano na nusu, macho yake yalikuwa kama ya mdoli/katuni wa kwenye TV. nilikunywa kikombe...
  4. Nafaka

    Mauaji ya Darlene Krashoc - Muuaji akamatwa baada ya miaka 40

    Darlene Krashoc alikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi tangu angali mtoto. Alitaka kuwa kama mama yake ambaye naye alikuwa mwanajeshi na hivyo aliwataarifu wazazi wake kuwa anataka kutuma maombi ya kujiunga na jeshi kabla ya kumaliza masomo yake ya sekondari. Kupatikana kwa Mwili wake Kipindi...
  5. O

    Baba ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzaa na binti yake

    Kibaha. Hakimu Mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Yudith Lyimo amemhukumu kifungo cha miaka 40 jela, na viboko 12 mkazi wa ‘Kwa Mfipa’ Kibaha, Fadhiri Msham kwa kosa la kufanya mapenzi na mwanawe wa kumzaa na kumpa ujauzito. Mbali na adhabu hiyo pia Msham ambaye...
  6. ERTUGRUL BEY

    Baada ya Miaka 40 Siri yafichuka

    Alikuwa kijana baro baro mwenye harakati nyingi Sana,akijulikana kama Walter Miller, enzi za ujana wake alikuwa mkorofi Sana huku akijiingiza katika makundi ya uhalifu, alikuwa mporaji WA vitu mbali mbali na kufurahia Maisha ya kuwa na pesa,anasema kitendo cha kuwa na pesa kilimfurahisa Sana...
  7. BigTall

    Fahamu chakula unachopaswa kula ukiwa na zaidi ya miaka 40

    Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora. Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia faida za lishe bora na kiwango cha chakula ambacho mtu anapaswa kula kwa ajili ya afya yake. Wataalamu...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Rais Paul Biya wa Cameroon afanya sherehe ya kutimiza miaka 40 madarakani

    Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo amekaa madarakani miaka 40 sasa. Katika kipindi hiko chote Wacameroon wamekuwa wakimchagua tena kwa kishindo. Rais Paul Biya anaishi nchini Ufaransa kwa muda wingi wa utawala wake. Hii ndio Africa ambayo Trump aliwahi kutuambia tunahitaji kutawaliwa miaka...
  9. L

    Mwaka 2022 umekuwa mwaka mgumu sana kuwahi kuushuhudia ndani ya miaka 40 iliyopita

    Gharma za bidhaa zilikuwa juu naona na mwaka huu bado zimeendelea kuwa juu. Bidhaa za muhimu sana zaidi ya mafuta zimekuwa bei ghali, CHAKULA. Sihitaji kutaja bei kwani kila anajione janga hili. Sasa najaribu kutafakari nini chakufanya ili hali hii isiendelee kuumiza watanzania hasa wa kipato...
  10. marehem x

    Katika maisha fanya mambo kwa kiasi

    Mimi Nina 45 na sina tatizo lolote kiafya. Kimoja Kwa Afya. Katika Umri wote nilioishi na Allah ananipa punzi najistukia na kuona kila kitu naona ni muhimu kila jambo kufanya kwa kiasi. Hata kumpenda wife nampenda kwa kiasi sio nipoteze nguvu zote kumuangukia na kununua mazawa kibao. Pipi tu...
  11. Dr Akili

    Ina maana kweli, kwa mjibu wa ibara 144(1) ya Katiba kama CAG akateuliwa wa umri wa miaka 20 atadumu miaka 40?

    Wapo watu ambao wanaamini kwamba mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria pekee. Kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana nao. Kazi za mahakama ni kutafisiri sheria. Katiba ndiyo sheria mama au kwa jina jingine sheria kiongozi. Ni dhahiri kuwa kama sheria (na Katiba) tulizozitunga wenyewe...
  12. Brain Kingdom

    Rais Paul Biya wa Cameroon anasurika kifo Ufaransa akisherekea miaka 40 ya Urais

    Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu. Habari kamili itawajia kupitia vyanzo timilifu. Bia anamwaga muda si mrefu. Nikiripoti habari nyepesi ama...
  13. Dr. Zaganza

    Part 2: Ukikaribia Miaka 40 Utagundua Vingi mojawapo ni kuwa Zawadi kubwa Zaidi ni kujaaliwa Akili na kuijaza maarifa sahihi

    Moja ya misafara nilojifunza vitu vikubwa ndani ya muda mfupi , ni huu msafara niloamua kwenda kutalii Falme za kiarabu. Nilianza Sharjah, huko nikakuta ni magodown ya bidhaa used yamejaa. Nikaenda Abuu dhabi kule ni makazi ya matajiri wa kiarabu na ndiko balozi za nchi mbali mbali ziliko...
  14. Dr. Zaganza

    Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

    Nipo nje ya ofisi kidogo Napata muda wakutafakari. Lakini niko nje ya nchi kabisa, kilomita elf 4 toka Dar es salaam, hata simu nazopata ni chache, zile zilizopitia whatsapp tu. Hivyo akili inazidi kuwa tulivu. Na ukiongeza miji yenyewe nilotembelea si ya makelele na miziki mabarabarani wala...
  15. The Assassin

    Marekani: Chanjo ya Covid 19 imesababisha madhara makubwa ya moyo kwa watoto na watu wazima chini ya miaka 40,

    Huko Marekani, madhara ya chanjo ya COVID 19 yameanza kujitokeza baada ya kusababisha matatizo makubwa ya moyo kwa watoto na watu wazima chini ya miaka 40. Magonjwa ya moyo sasa yameanza kua ya kawaida kwa watoto wadogo ambao hawakua nayo kabla ya chanjo ya covid. Dr. Marty Makary, Profesa wa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Kama upo chini ya miaka 40 usitumie pesa kuyapata mapenzi ya wanawake

    KAMA UPO CHINI YA MIAKA 40 USITUMIE PESA KUYAPATA MAPENZI YA WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel Andiko hili ni Kwa utambuzi vijana, kuwafanya wajiamini na kujielewa. Wakati wanawake wakihamishana Kupenda wanaume wenye pesa na kuwabagua wanaume wachanga ambao wapo kwenye umri wa utafutaji...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

    Kwema Wakuu! Hatufuatiliani wala hatupangiani maisha. Ila tunakumbushana huku nami nikijikumbusha pia Kwa Nia nzuri tuu. Ili baadaye tusijekujikuta katika Huzuni kuu. Vijana tunapoambiwa tule na tunywe Kwa nidhamu sio Kwa sababu tunaonewa wivu au kuna mtu anataka kuwa juu yetu Kwa kutupa amri...
  18. M

    Kama una miaka 40+ na hauna maambukizi ya HIV/AIDS mshukuru Mungu marijali tumepitia kipindi kigumu sana

    Kwa nini miaka 40+? Kwa sababu kwa umri huo hata ukiupata ukipiga dawa unaweza kutoboa miaka 60 ambao ni life expectancy ya mtanzania. Tumepitia kipindi kigumu sana, nakumbuka nikiwa O level dispensary ya shule sindano zinachemshwa kama Mayai, hakukuwa na disposable syringe, nesi akipitiwa...
  19. Shikono Avant

    Asee Wazee wenzangu tunaofikisha umri wa miaka 40+ mwaka huu na hatuna any direction njooni hapa tu jadiliane

    Kama uzi unavyojieleza njooni tujadili changamoto na njia za kuweza kujikwamua na hii hali, Hali ni mbaya saana Uzi tayari.
  20. MSAGA SUMU

    Maisha ni safari ndefu, Lemutuz na GSM na urafiki wao wa zaidi ya miaka 40

    Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile. Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina...
Back
Top Bottom