Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself"
kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40 kusafiri kutoka misri kwenda Palestine
Hili Ni tukio la kweli katika Maisha halisi.
Siku ya November 24 mwaka 1971, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji wa Portland jamaa aliyevaa suti nyeusi na koti refu jeusi kwa juu akiwa amebeba brief case nyeusi alifika katika counter ya kampuni ya ndege ya Northwest Orient Airlines na...
Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote.
Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
Usiku wa Februari 24 mwaka 1982 utabaki kwenye kumbukumbu ya kudumu kichwani kwa Mohamed Said (70) kutokana na tukio kubwa lililomkuta siku hiyo na kumfanya akae gerezani kwa miaka 40.
Kama angejua kinachokwenda kumtokea siku hiyo huenda angebadilisha mwelekeo, lakini kwa kuwa hakutambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.