Jinsi nilivyopagawishwa na mjane wa miaka 40 nikiwa na miaka 25

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,742
17,983
Nilikuwa Chuo mwaka wa Pili, mtaani nilikutana na mama muuza uji. Alikuwa ni Mnyarwanda anaitwa Linah, kwa ujumla alikuwa mrembo sana(black beautiful, hips kubwa, tako laini na kimo chake ni Kama futi tano na nusu, macho yake yalikuwa kama ya mdoli/katuni wa kwenye TV.

nilikunywa kikombe kimoja, uji ulikuwa mtamu sana, nikamuomba namba ili nikihitaji aniletee.

Baadae tulizoeana sana nikaja kugundua Ni mjane wa miaka 40 Mwenye watoto watatu, mkubwa ni msichana wa miaka 14, Wakati huo Mimi nilikuwa na miaka 25.

Tuliingia kwenye mapenzi akawa anavutiwa sana na mboo yangu ya kimaasai(mimi ni maasai na huwa tunatahiriwa kwa mtindo tofauti Na waswahili, Sasa yeye akawa anasema Ni tamu sana). Alikuwa na wivu sana, Mara kwa mara alikagua simu yangu na hata akikuta mawasiliano ya kawaida na wasichana alikuwa anasema "kaa mbali nao maana mazoea yanaanzaga hivi baadae mtatongozana".

Hadharani na wakati mwingine faraghani Alipendelea kuniita"mwanangu" hivyo watu wengi walidhani labda Ni mama mdogo wangu au shangazi. Alikuwa ananivua nguo ananikagua mwili mzima akiona hata kovu dogo anauliza " hapa ulifanyaje?". Alininyoa, Aliniogesha, Alinivalisha na kunipikia chakula Kitamu.

Alipofahamu kuwa napenda chapati, aliniandalia chapati kwa kutumia unga wa ngano, maziwa fresh, blue band na viungo vyenye harufu ya kuvutia sana, kwa ufupi chapati zilikuwa Kama za Serena hotel.

Kila baada ya kumchapa aliiosha rungu yangu(alikuwa haniruhusu nishike kabla hajaosha, anasema "usishike uchafu mwanangu mzuri"). Akishanisafisha alinikumbatia na kunishukuru na kunipa pole kwa kazi. Baada ya hapo aliniambia nipumzike aniandalie chakula. Wakati anaanda chakula alipendelea kuvaa shati langu kubwa na huku chini alikuwa mtupu.

Kwahiyo wakati mwingine akiwa anapika nilikuwa naamka naenda kusimama nyuma yake na kumshika shika hips na tako lake laini huku nikimuambia yupo vizuri, yeye alinijibu "ni yakwako yote mwanangu mzuri, enjoy, yashike utakavyo". Basi Mimi wakati mwingine nadata kabisaa naanza vurugu Hadi anaahirisha kupika tunarudi raund nyingine ya pambano.

Wakati mwingine aliniambia niweke mziki ninaoupenda anichezee, alafu anaukalia ukuni alafu anaukatikia kulingana na biti na mdundo wa mziki huku mikono yangu ikishika_shika kiuno, tako lake laini na hips kubwa. Huyo mama alifanikiwa kuiteka akili yangu kiasi kwamba hata wasichana wa rika langu sikuwazingatia tena

Kutokana na kwamba nilikuwa mwanafunzi, Kwenye Mahusiano yetu Sikuwa na la maana la kumpa Ila yeye alinigawiwa vyombo vya ghetto na baada ya kuhitimu alinipa mbuzi wawili wa kisasa akasema" najua maasai wangu unapenda maziwa ya mbuzi, wachikue Hawa majike wawili, wakipandwa na beberu wa kienyeji watazaliwa machotara ambao watahimili Hali ya hewa yeyote na watatoa maziwa mengi kwaajili yako mwanangu" . Kwa ufupi alinilea Kama Mtoto wake.

Baada ya masomo nilirudi nyumbani, mawasiliano ya alipungua Hadi yakaisha.

Kwa kuhitimisha, Ni kweli wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi kwa sababu ya higher level of care and respect tunayopewa ukilinganisha na Hawa wasichana washenzi, ambao wanataka Queen- level treatment wakati wao hata ubunifu kwenye Mahusiano hawana. Kazi ni kupiga mizinga tu shwaini.
 
Nilikuwa Chuo mwaka wa Pili, mtaani nilikutana na mama muuza uji. Alikuwa ni Mnyarwanda anaitwa Linah, kwa ujumla alikuwa mrembo sana(black beautiful, hips kubwa, tako laini na kimo chake ni Kama futi tano na nusu, macho yake o hata ubunifu kwenye Mahusiano hawana. Kazi ni kupiga mizinga tu shwaini.
Ko ulilelewa mjuba
 
Kumbe ulitarihiwa kimasai aisee nimecheka kifala huo mziki wake😁😁no ganzi! Mi hua naskilizaga tu watu wanasema ganzi ilivoisha sijui maumivu yake kimoyomoyo nasema angejua mziki wa bila ganzi

Kudate na wamama waliopevuka Raha sana ila uwe unajiweza kiuchumi la sivyo atakudrive vbaya sana....ukichelewesha cha kwanza anazima jicho Moja unaulizwa siku za karibuni ulilala na nan?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom