Baada ya Miaka 40 Siri yafichuka

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
4,273
8,423
Alikuwa kijana baro baro mwenye harakati nyingi Sana,akijulikana kama Walter Miller, enzi za ujana wake alikuwa mkorofi Sana huku akijiingiza katika makundi ya uhalifu, alikuwa mporaji WA vitu mbali mbali na kufurahia Maisha ya kuwa na pesa,anasema kitendo cha kuwa na pesa kilimfurahisa Sana.

Siku Kati ya masiku alikamatwa huko mjini New York na kuwekwa katika kituo cha kurekebisha Tabia,lakini akiwa amelala usiku selo kwao nyakati za usiku alikuwa anasikia kelele za treni zakipita basi akawa anatamani siku moja aweze kurudi uraiani,hapo ndo fikra za kutoroka katika kituo hicho zilianza kumsumbua na kupanga kutoroka.

Kweli siku miongoni mwa masiku wakati mlinzi anashughulishwa na jambo Fulani basi alisahau kufunga mlango na chap kijana Walter Miller hakuwaza mara mbili alifanikiwa kutoroka na kuingia mtaani tena na kwenda Jimbo lingine kabisa huko Kwa ndugu zake.

Akiwa huko alipanga angekuwa mtu mwema Sana na hata alianza kuhudhuria masomo na Maisha yakaanza kwenda kama kawaida,lakini kama unavyojua mtu jasiri haachi asili yake,anakutana na vijana wa mtaani tena hawa walikuwa wanadili na ishu za hatar kama kupora mabank na taasisi za kifedha, hapa naikumbuka Ile movie maarufu Sana inaitwa Set if off ikiigizwa na Queen Latifa,Jada pinket na mrembo mmoja hivi nimemsahau,wale ambao wanaijua hii movie nadhani watakubaliana na Mimi jinsi madada walivyokuwa kazi kazi kama mandonga mtu kazi.

Walter Miller na jamaa zake walisumbua mitaa hiyo lakini wanasema hakuna marefu yasiyo kuwa na mwisho,mwisho wa siku wameingia kupora sehemu na Ile wanatoka Tu wajeda hawa hapa,na mwamba moja Kwa moja akapelekwa kwenye gereza lenye maximum security na kufungwa kifungo cha miaka 30.

Huko alionyesha nidhamu ya hali ya juu Sana na mwisho akaomba apelekwe kwenye gereza lenye ulinzi WA kawaida Tu,na kweli ndoto yake ikatimia na mwisho wa siku akahamia huko,huko wako free Sana na wanajiachia Sana,na akapewa kazi ya kutangaza kipindi chake kwenye Redio akiwa gerezani,wenzetu huko baadhi ya magereza Yana Redio station za kiaina so mwamba akawa analipwa pia.

Anasema akiwa huko wala hakupanga kutoroka kabisa na alikuwa mtu mwema Sana na alifurahia Maisha ya hapo mjengoni Segerea ya Mamtoni. Lakini siku Kati ya masiku kuna mfungwa mmoja alitoa kauli mbaya Kwa Captain WA Hilo gereza na ishu nzima ikamuangukia au Kwa Kiswahili kingine akasingiziwa kuwa yeye ndio alimtukana afande,daah kuanzia hapo Maisha yakawa shubiri Kwa Walter Miller.

Kila kukicha anaandikiwa ripoti mbaya na Captain,na hiyo ripoti kupelekwa Kwa wakubwa huko,na ikaafikia kipindi wakaona kuna haja ya kumrudisha mwamba kwenye jela yenye ulinzi mkali, na wakati huo huo akawa anapewa kazi ngumu za kwenda kusafisha mtaani alfajiri Sana kama mida ya saa Kumi usiku na ukijumlisha na baridi Kali wakati WA barafu ni balaa,Kama haitoshi wananchi nao wakipita wanamrushia makopo na takataka nyingine mbali mbali,Hali ilikuwa mbaya Sana Kwa upande wake.

Na zile habari ambazo zilianza kusikika kuhusu kumrudisha katika jela zenye ulinzi mkali,hapo ndo akaanza kuwaza mpango wa kutoroka jela. Kitu cha Kwanza alianza kufanya uchunguzi WA kutambua mazingira ambayo yanaweza kumwezesha kutoroka,alifanya huo uchunguzi Kwa mawiki kadhaa,akaja kugundua kuwa gurd au mlinzi ambaye huwa anaingia siku za jumanne ni lazy Sana au mvivu Sana na hayupo Makini kabisa,kwahiyo alijua kabisa Kwa uzembe WA mlinzi Yule ndio fursa pekee ya kujaribu zari lake la kutoroka jela.

Pili wakiwa wanatoka jela na kwenda maeneo mbali mbali kufanya shughuli na wafungwa wenzake,alijaribu kufuatilia basi Lao huwa linasimama kituo kipi na Kwa Mda gani,baada ya uchunguzi WA hapa na pale alipata ramani kamili ya Safar za basi Lao.

Mpaka hapo Walter Miller alikuwa tayar na ramani nzima ya kumwezesha kutoroka,basi jumanne moja wakiwa wanapanda basi kuelekea kwenye shughuli zao,kumbuka huyu gurd WA jumanne ni lazy Sana,Hana ukaguzi WA maana,so Walter alichukua nguo zake katika locker na kupanda nazo chap kwenye basi na kwenda kukaa karibu na emergency door,mwisho wa siku msafara ukaanza na basi likaingia kituo cha mafuta na kujaza mafuta,baada ya zoezi Hilo gari ikaenda Kwa mwendo Fulani ikasimama.

Hapo hapo mwamba kwakuwa alishasoma ramani zake mapema Akaona hapa ndio sehemu sahihi ya kukimbia,basi alifungua emergency door na kutokomea porini,na kama zari ving'ola vilikuwa off,kwahiyo alikimbia mpaka kufika sehemu ambayo aliona yupo salama,hapo alibadilisha nguo zake na kuingia mtaani na kuomba kuelekezwa njia za kuelekea mji mwingine kwakuwa alikuwa na hela kiasi basi ilimsaidia kupanda gari moja baada ya lingine na huku akiomba wasamalia wema wamuungishe vidola kidogo aendelee na safari.

Kubadilisha Jina kutoka Walter Millar kuwa Baby Love. Hilo Jina alibadilisha akiwa ndani ya basi baada ya mrembo mmoja kuanzisha mazungumzo na mwamba,na alipomuuliza mwamba anaitwa Nani hapo hapo baharia akamwambia anaitwa Baby Love. Baby love alifanikiwa kufika mjini mwingine huko,alifanya mishe chap ya kusajili Jina lake kimagumashi akapata leseni ya udereva,Kadi ya social security fund na document nyingine kadhaa,mpaka hapo Baby Love ndo likawa Jina official sasa.

Siku ya masiku mwamba akiwa ameenda kwenye huduma za afya anakutana na mwanamke WA Maisha yake,anasema baada ya kumwona huyo mrembo akajua Tu huyo ndio mwenyewe au ubavu wake wa pili,baada ya miaka mitano ya kudate au kuzini wakaamua kufunga ndoa na wakabarikiwa watoto watano. Mwamba alikuwa anajituma Sana kuhakikisha familia yake inaishi vizuri,na akapambana mpaka akafanikiwa kufanya kazi mbili ili mradi mkate upatikane nyumbani,na alikuwa Baba Bora Sana kuwahi kutokea.

Siku ambayo isiyo Jina majira ya asubuhi mlango unagongwa na wife wa Baby Love anaenda kufungua mara paap anakutana na FBI,nadhani wale wapenzi WA movie kama Mimi huwa tunajua FBI wakitimba sehemu basi ujue hapo shughuli yake huwa sio ya mchezo lazima kutakuwa na ishu kubwa,chap anashangaa mumewe anaulizwa Jina lako halisi ni Nani Ile haja jibu ametiwa nguvuni tayar kuelekea kituoni.

Berly mke wake na Baby Love yupo njia panda hajui nini kimemsibu mumewe mpaka wazee wa kazi waje asubuhi na mapema kumkamta jamaa,Ila wakati mumuwe anatolewa nje alimwambia mkewe,hii ishu ilitokea miaka 40 iliyopita kabla hatujakutana.

Ndio baadae mkewe alikuja kugundua ishu ya mumewe kutoroka jela na kuingia uraiani,hapa niwape kongole FBI just imagine ndani ya miaka arobaini hawajakata tamaa wanamtafuta mwamba mpaka wamempata,dah ingekuwa kibongo bongo zamani wangeshamsahau mwamba angaendela Kula BATA mtaani.

Huku nyuma mkewe katika mahojiano mbali mbali ndio akakumbuka matukio ambayo yalimfanya sometime asimuelewe mumewe,alikuwa hapendi mambo ya picha au kupigwa picha kumbe alikuwa anahofia asije Akaonekana na kutambulika,vile vile alikuwa akienda katika mikusanyiko ya watu alikuwa mtu ambaye hajiamini kabisa Kwa kuhofia kutambuliwa na mwisho wa siku kukamatwa,na anasema kuna kipindi ikitokea wamegombana na mumewe basi huwa ni kawaida Baby Love kuondoka hapo home na kwenda kujitenga mwenyewe Kwa masiku kadhaa,kitu ambacho anasema kuna wakati kilimkatisha Sana tamaa mpaka karibia ndoa imshinde lkn anasema alikuwa mtu WA maombi Sana na kuwa na Subira.

Berly mke WA Baby Love anasema kuna kipindi anasema aliona ndoa Yao nzima ni uongo mtupu kwasababu inakuwaje ndani ya miaka 40 mumewe hajawahi kumwambia kitu chochote kuhusiana na ishu hiyo. Lakini anakiri kuwa hakika pamoja na yote hayo lakini hakika hakuacha kumpenda mumewe hata kidogo kwasababu alikuwa mume Bora na Baba mzuri WA familia.

Berly aliandika Barua chungu nzima Kwa gavana kuhusu Tabia nzuri za mumewe na aliandika vile vile Barua nyingi Kwa Raisi ambaye Kwa kipindi kile alikuwa Baraka Obama, yote hayo anasema alikuwa anapambana kumuokoa Baba Bora na mume Bora WA Maisha yake.

Kulikuwa na option mbili katika ishu ya Baby Love ima amalizie miaka 10 ya kifungo ambayo hakumaliza au aachiwe huru,kwasababu hata ndani ya kipindi ambacho alikamatwa alionyesha mwenendo mzuri Sana WA tabia na kuwaridhisha wanabodi.

Mwisho wa siku Mungu ni mwema alichiwa huru kabisa na kurudi uraiani,na mkewe anasema hakika mapenzi Yao yaliongezeka zaidi na familia nzima iliungana pamoja na kuwa na mapenzi ya Hali ya juu Sana.

Kwa hisani ya Fox News.

Ni hayo Tu!
 
..,Hadithi hii inatufundisha Nini ??...
 
Sema nje wamba kama hawa social media zinafuatilia na kuja kueleza jamii tofauti na bongo ila niamini mimi wamba wapo wa namna kama hii katika circumstances tofauti.
 
Back
Top Bottom