Madereva Dalala jijini Mbeya wameanza mgomo wao ambao wamedai utadumu kwa muda wa wiki moja kutokana na kuzitaka Bajaji kuacha kutumia ruti ambazo zinatumika na dalala.hali hii imekuwa kero kwa wananchi wa jiji hilo
Hospitali ya Nakuru Level 5 imeripoti vifo 11 ndani ya saa 24, huku watoto watatu wachanga wakiwa miongoni mwa waliofariki, wakati mgomo wa wauguzi ukiendelea nchini.
Mgomo huo, ulioanza Julai 29, 2026, umeathiri huduma katika hospitali kadhaa za umma, huku maeneo ya uzazi na huduma za watoto...
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Nchini Tanzania (TATOA), Elius Lukumay, amesema wamiliki wa malori wako tayari kuyapaki magari yao endapo mamlaka zitaendelea kuwachukulia hatua wasafirishaji bila kuwashirikisha katika kutafuta suluhisho la changamoto zinazowakabili.
Akizungumza na...
Ni kufwatia kukamatwa na kupewa kesi ya ugaidi kwa wenzao wa UDOM
Vikao vya chama cha wahadhiri vyuo vikuu vinaendelea ili kuona namna ya kuchukua hatua stahiki za haraka
Eitha kutokana na hali ilivyo usiri umetawala na huenda wakatoka na azimio moja tu la mgomo.
Bila kupoteza muda, nadhani wengi tunakumbuka kuwa mwaka 2012 kulikua na vuta ni kuvute za hapa na pale baina ya Madaktari nchini na Serikali chini ya aliyekuwa Rais wa kipindi hicho Dr. Jakaya Marisho Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (mzee wa “utapigwa tu”), issue ambayo ilipelekea chama...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026 Jijini humo.
Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari, Mkude amesema Viongozi hao walikamatwa ili watoe msaada kwanini wamefikia hatua ya kuwaambia wenzao...
Watu 4 wafariki dunia kufutia maandamano ya kupinga bei ya mafuta yaliyofanyika jana May 18, 2026, huku mgomo wa magari(matatu) ukiendelea kwa siku ya pili licha ya Diseli kushushwa kwa Tsh. 202.51 (KSH 10.06) na kuwa Tsh. 4687.47 (KSH 323.86) huku Petrol ikiendelea kuwa Tsh. 4312.85 (KSH...
Completely barabara zote ziko deserted, hakuna gari kabisa.
Gen Z naona wako kazini kumshughulikia yeyote mwenye gari atakayesaliti UMMA.
Kwetu je? Midabwada
Angalia K24 tv
Kutokana na hali ya kupanda kwa bei ya mafuta duniani, inayochangiwa na mvutano unaoendelea huko Iran, wadau wa sekta ya usafirishaji nchini wanakumbwa na changamoto kubwa za uendeshaji.
Mnamo tarehe 08 April 2026, LATRA iliitisha kikao na wadau wa usafirishaji kwa lengo la kujadili hali hiyo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo.
Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua.
Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
Nimeona Tanzania Abroad huko X ameweka picha hii na kusema ni "Mgomo wa wanafunzi Mbeya wameamua kufanya haya!! Hiki kizazi bado kipo kumbe nilidhan ni mayai mayai sana Shule zirejeshe watu wenye ujasiri"
JamiiCheck vipi kuna ukweli hapa?
GT
Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko.
Au mnasemaje wakuu?
Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never.
Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
Hiki kinachoendelea kususiwa kwa Timu ya Taifa na mashabiki ni dhahiri kwamba wananchi wana kinyongo na Taifa lao, sio tu timu ya taifa itafika mpaka kwenye vilabu vya Yanga na Simba.
Wajitayalishe kwa hilo; huwezi kumlazimisha mtu afwate siasa ambazo yeye hazipendi na bado ukamnyima haki, na...
TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust and Safety" na "Live". Wafanyakazi hawa walikuwa wakihusika na usimamizi wa maudhui na usalama wa...
Wafanyakazi wa kubeba mizigo katika Bandari ya Bukoba mkoani Kagera wamegoma kufanya kazi wakilalamikia kutolipwa stahiki zao kwa muda mrefu, hali ambayo imeathiri maisha yao ya kila siku.
Chanzo: Azam TV
Pia soma ~ RC Kagera: Naagiza Wabeba Mizigo Bandari ya Bukoba walipwe, Mkurugenzi aje na...
Naona simba wameanza kunenepa kwa kumfunga Kengold leo ila wakumbuke June 25 lazima amalize ligi na Yanga,Na akijichetua haitwi Ikulu kupongezwa kucheza fainali Shirikisho.
GENTAMYCINE Mshana Jr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.