mgomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madaktari na Wafanyakazi wa hospitali ya Dar group (T.O.H.S) kuanza Februari 14

    Madaktari na wafanyakazi wa Taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) maarufu kama Dar Group Hospital wanatarajia kuanza mgomo na kuishinikiza Serikali kupitia wizara zake husika kutoa muafaka na hitimisho kuhusu kadhia ya muda mrefu iliyop ktk hospital hiyo isiyo na mmiliki...
  2. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

    CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE Mkoani Arusha. Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini ni pamoja na kuendelea kuratibu zoezi kubwa la maandamano kwenda mahakamani kwa ajili ya kuishinikiza...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati aitangaze orodha ya Watanzania ambao Hadi Sasa wameshalipia Tsh 27,000 za kufungiwa umeme Mjini. Tanesco kuna mgomo baridi

    Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000. Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi. 1. Hakuna surveyor 2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia 3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
  4. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Mgomo Baridi kuhusu kutumia miamala ya simu. Huko mtaani kwenu hali ikoje?

    Wakuu Kwema! Hapa mtaani kwetu kumekuwa na kamgomo baridi kuhusu utumiaji wa mihamala ya simu. Watu wamegoma kutuma wala kutoa pesa kupitia mihamala kwenye simu. Madai makuu ni kusema makato ni makubwa Sana. Je, huko mtaani kwenu Hali ikoje?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Kigamboni

    Leo Tar 20 May 2021 kuanzia Majira ya Asbuhi Magari ya Abiria maarufu kama Daladala Yaendayo Kigamboni Kupitia Daraja kuu la Kigamboni (Mwl.Nyerere) Yamegoma kufanya Safari zake kutoka Kigamboni hadi Karume Ilala kupitia Kilwa Road. Sababu ni Kupinga kuhamishwa kwa Kituo kikuu cha Mabasi hayo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

    Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali. Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Kitila Mkumbo: Mgomo wa madereva wa kiwanda cha Dangote umeisha, uongozi umekubali kuwalipa stahiki zao

    Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, jana amekutana na kufanya mazungumzo na Madereva takribani 500 wa Kiwanda cha Dangote Mkoani Mtwara, waliokuwa wamegoma kwa siku 12, baada ya majadiliano Uongozi wa Kiwanda hicho umekubali kuwalipa stahiki zao ikiwemo mishahara na kuahidi...
  8. Katavi

    JamiiForums Tanzania TABOA yasitisha mgomo wa kupinga tiketi za kielektroniki

    Wamiliki wa mabasi wasitisha mgomo ulioitishwa baada ya makubaliano na LATRA pamoja na TRA kuwa mazuri. Abiria wa Mwanza na Mbeya walichelewa baada ya wamiliki wa mabasi kuitikia wito wa mgomo ulioitishwa kuanzia leo. Chanzo: ITV Pia soma: Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kunduchi Girls wafanya mgomo kwa zaidi ya siku 2. TAKUKURU yaanza kumchunguza Mmiliki

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA Anwaniya Simu:”UCHUNGUZI” Mtaa wa Jamhuri, Simu Nambari: 262323315 S. L. P 1291, Nukushi: 26232332 41101 DODOMA, BaruaPepe: dgeneral@pcc.go.tz TANZANIA. Tovuti: www.pccb.go.tz Unapojibu tafadhalitaja: TAARIFA KWA UMMA...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa huduma kuanzia Jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi kupitia mtandao

    Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi. ==== Dar es Salaam. Wamiliki wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

    Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Rais Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume. Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa hospitali ya KCMC akanusha taarifa za mgomo wa madaktari katika hospitali hiyo

    Msemaji wa Hospitali ya KCMC Kilimanjaro, Gabriel Chiseo amekanusha taarifa zinazozunguka mtandaoni zenye madai ya kwamba madakatari katika hospitali hiyo wamegoma kufanya kazi kwa madai ya kukosa vifaa kinga (PPE) kutokana na ongezeko wa wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa upumuaji. Msemaji...
Back
Top Bottom