mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Je, mgombea unayemuunga mkono ana sifa za uadilifu na uwezo unaohitajika kwa kazi hiyo?

    Uchaguzi wa viongozi ni mchakato muhimu katika demokrasia ambapo wananchi hupata fursa ya kuchagua viongozi wanaoamini wanaweza kuwakilisha vyema maslahi yao na kuleta maendeleo katika jamii. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni lazima tuzingatie sana sifa za mgombea tunayempigia kura, ikiwa ni...
  2. The Sheriff

    Je, historia ya mgombea unayemuunganga mkono inaonesha mafanikio au kushindwa katika kutekeleza ahadi zake?

    Uchaguzi ni wakati muhimu sana katika mchakato wa kidemokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi na chama ambacho wanaamini kitatekeleza sera na ahadi zilizowekwa. Katika kufanya uamuzi huu muhimu, ni muhimu kuchunguza historia ya mgombea anavyotekeleza ahadi zao za kampeni...
  3. Nyendo

    PreGE2025 Umewahi kumpigia kura mgombea wa chama kingine sababu uliona anafaa zaidi kuliko wa chama chako?

    Umewahi kumpigia kura mgombea tofauti na wa chama chako kwa kuwa unaona ana sifa bora za kuwa kiongozi kuliko wa chamani kwako? Au unampigia yule tu aliyesimamishwa na chama chako hata kama unaona hafai kuwa kiongozi. Kumekuwa na tabia ya watu kupiga kura kwa kufuata vyama, yaani kuwapigia kura...
  4. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...

    Wanabodi! Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za kitaifa na kimataifa ambaye kwa sasa naendesha kipindi kiitwacho KMT kinachorushwa na Kituo cha...
  5. chiembe

    PreGE2025 Ushauri: Kama Mzee Philip Mpango unaona afya inakusumbua sumbua, 2025 Samia amchague Majaliwa kuwa mgombea mwenza

    Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu kuliko chochote. Yeye abaki na kazi ya kushauri, na pia apate muda wa kutosha kuangalia afya yake...
  6. Mwanamayu

    Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
  7. Mr Dudumizi

    Utabiri: Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, Sugu atavunja record kwa kupata kura ambazo hakuna mgombea mwingine aliwahi kupata

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge. Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...
  8. R

    Kwanini CHADEMA haijawahi KURUDIA mgombea Urais?

    Salaam, Shalom!! Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, kilianzishwa May 1992 na Ndugu Mtei aliyewahi kuwa Governor wa Benki kuu ya Tanzania. 1. Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, CDM haikusimamisha kabisa mgombea Urais, Nia ilikuwa ni kusoma mchezo wa siasa za Nchi hii, na kuunga mkono...
  9. Erythrocyte

    Ukweli ni kwamba CCM haina Mgombea Urais 2025, ndio chanzo cha kulogana na kuchafuana

    Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili kuondoa Taharuki ikakanushwa , hata hivyo awali ni awali , na wala hakuna awali mbaya , sisi tumeshika...
  10. R

    Nani Mgombea Urais kupitia CHADEMA 2025 kati ya Mbowe na Lissu?

    Wanasiasa wanaoweza kupambana na mgombea wa CCM 2025 ni wawili tu kwa sasa. Freeman Mbowe na Tundu Lissu Yupi kati ya hawa ataleta ushindani chanya?
  11. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

    Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Pili Nawasalimu Kwa jina la CCM , Tatu karibu sana Brother, nakutaja mara tatu Makonda, Makonda, Makonda. Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,, Narudia karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakat inatakiwa uwe...
  12. KENZY

    Nawaza 2025 slogan ya mgombea CCM sijui itakuwaje!

    Tena akiwa mama Abdul sijui atakuja na ipi na vile katoka ukanda wa mipasho itakuwa kivumbi tupu!. Ugumu unakuja taswira alioitengeneza watu sahivi wanaona hafanyi Yale aliyokuwa akiyafanya mtangulizi wake,ambapo aliurithi ule usemi wa "hapa kazi tu" nakuuita "kazi iendelee". Hapo kwenye kazi...
  13. Chachu Ombara

    Mgombea Urais wa Congo DR afungwa miaka saba jela kwa kumtusi Rais

    KINSHASA, Sept 13 (Reuters) - A high court in Democratic Republic of Congo has sentenced presidential candidate Jean-Marc Kabund to seven years in prison on 12 charges including spreading false rumours and insulting the head of state, his lawyer said on Wednesday. Kabund was a former vice...
  14. Allen Kilewella

    Tetesi: CCM inataka Dotto Biteko awe Mgombea Mwenza kwa Samia 2025

    Inasemekana kuwa ndani ya CCM kwenye Uchaguzi wa mwaka 2025 chama hicho kinatarajia kumfanya Dotto Biteko kuwa Mgombea mwenza kwa Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi huo. CCM bwana!!!
  15. benzemah

    CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao chake maalum, kilichofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, leo Alhamis, Agosti 17, 2023. Pamoja...
  16. JanguKamaJangu

    Ecuador: Mgombea Urais auawa kwa kupigwa risasi

    Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito. Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
  17. benzemah

    Umoja wa Afrika (AU) Waridhia kumuunga mkono Dkt. Tulia kuwa mgombea pekee kutoka Afrika nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani

    Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa Jumuiya ya Mabunge Duniani (Inter-Parliamentary Union-IPU). Uamuzi huo ulifikiwa katika Mkutano wa 43...
  18. JanguKamaJangu

    Rais wa zamani wa Ghana John Mahama apitishwa na Chama kikuu cha upinzani kuwa mgombea wake 2024

    Picha: Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama Rais wa zamani wa Ghana, John Mahama alipitishwa na Chama kikuu cha upinzani nchini Ghana National Democratic Congress, kuwa mgombea wake mwaka 2024. Chama kikuu cha upinzani nchini Ghana, National Democratic Congress, kilipiga kura kwa idadi kubwa...
  19. D

    Tetesi: John Shibuda mgombea Urais Chadema 2025

    Wadau zipo taarifa kuwa Uongozi wa Chadema unafanya mazungumzo na mwanasiasa machachari John Shibuda apeperushe bendera ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 nafasi ya Urais. Hesabu zinazopigwa ni namna ya kupata kura nyingi kutoka Sukuma Land (Kanda ya Ziwa) kutokana na takwimu za Sensa...
  20. BARD AI

    Aliyekua Mgombea Urais Nigeria adai analazimishwa kuondoka Nchini humo

    Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi amesema Majaribio ya kuwadanganya Wananchi ni ya kusikitisha. Licha ya kutoweka wazi ushahidi wa madai yake, Obi amesema Serikali imekuwa ikifanya kila namna kupoteza ukweli juu ya Wizi wa Matokeo ya...
Back
Top Bottom