mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    KATIBU MKUU WA CCM: Huyu mgombea wa CCM aliteuliwa kugombea!! CCM oneni aibu badi!

    Katibu mkuu wa CCM, Kuna ujumbe wako tumekuwekea hapa!
  2. M

    LGE2024 Mgombea mtaa wa Mangua ushindi wake una utata

    Wananchi wa mtaa wa Mangua mitoghoo kwa askofu Kata ya Mitunduruni Manispaa ya Singida tumeshangazwa na matokeo ya mgombea wetu. Hakuna hata anayemtaka. Na yeye anajua. Kinachosikitisha kura za kuchagua mgombea zimekuwa nyingi kuliko idadi ya wapiga kura. Tunashangaa hizo kura zimetoka wapi...
  3. Torra Siabba

    LGE2024 Chadema wasema Mgombea wao ateuliwa kugombea CCM

    Wana Jamvi salama. Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa...
  4. R

    PreGE2025 Uchaguzi mkuu 2025 tutegemee wagombea wenye sifa kutoka CCM wakienguliwa na wasio na sifa wakipitishwa na kusimamiwa waende bunge bila kupigiwa kura;

    Chama cha siasa katika siasa za vyama vingi ujipima kukubalika kwake kwa kuruhusu wananchi kupiga kura Kwa hali ilivyo sana nchni ni wazi hakuna tena utaratibu wa kupata viongozi kupitia uchaguzi bali viongozi wa kisiasa wanateuliwa na tume ya uchaguzi au wasimamizi wa uchaguzi Ni vigumu...
  5. R

    LGE2024 Mgombea akiwa hana mpinzani mpigie kura ya hapana

    Watanganyika wenzangu Sasa hivi kuna malalamiko kuwa wagombea wengi wa CHADEMA na wa vile vyama vya CCM B wameenguliwa kugombea. Katika kurafuta ufumbuzi baadhi wanashauri CHADENA na hivyo vyana wasusie uchaguzi. Japo mimi sio mwanachama wa CHADEMA wala hivyo vyama vya CCM B, lakini si haki...
  6. M

    SI KWELI Rais Biden wa Marekani kuhamia Zanzibar

    Video hii hapa chini inadai Rais wa Marekani atahamia Zanzibar. Ina ukweli? Video ya Rais Biden
  7. J

    Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
  8. Waufukweni

    LGE2024 Dodoma: Wananchi wamkataa mgombea wa CCM wadai wamechoka kuonewa

    Wakazi wa Mtaa wa Chinyoya, Kata ya Kilimani, Wilaya ya Dodoma Mjini, jijini Dodoma, wamepinga uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania nafasi ya uenyekiti, wakidai kuwa mgombea huyo ameonesha tabia za kujifanyia maamuzi kwa matakwa yake binafsi na kutumia ubabe katika uongozi...
  9. W

    LGE2024 John Pambalu: Wasimamizi wa Uchaguzi jimbo la Newala Vijijini hawapo vituoni kutoa na kupokea fomu za wagombea

    Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA...
  10. JanguKamaJangu

    LGE2024 Pwani: CHADEMA wamsaka Mgombea aliyechukua Fomu Kibaha, wadai sio Mtu wao

    Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya masaa matatu baada ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) kufika kwenye ofisi hiyo...
  11. Nyendo

    LGE2024 Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM

    Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi? Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  12. Gemini AI

    Venezuela: Mgombea Urais wa Upinzani asema alilazimishwa kusaini matokeo ya Kushindwa dhidi ya Maduro

    VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
  13. milele amina

    Rais Samia, Mgombea binafsi itakuwa ndio mwarubaini kwa vijana kuwa viongozi na vijana kusimamia nchi yao

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye maono ya kuleta mabadiliko nchini Tanzania, hasa katika masuala yanayohusiana na vijana. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mwamko mkubwa miongoni mwa vijana wa Tanzania kujiingiza katika siasa na kutaka kushiriki katika uongozi wa nchi...
  14. cutelove

    LGE2024 Rais Samia, vijana tunataka tuwe viongozi, tunaomba sheria ya mgombea binafsi ili tupate nafasi kwenye vyama vya siasa, ni ngumu vijana kupenya

    Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani, ubunge na Urais. Kwa hali ilivyo kwenye vyama vya siasa ni ngumu sana kupenya kwa sababu ya wajumbe...
  15. GENTAMYCINE

    Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  16. W

    Mgombea Urais wa Upinzani Venezuela Akimbia nchini na kutafuta Hifadhi Hispania

    Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024. Aidha Vikosi vya usalama vya Venezuela vimezingira Ubalozi wa Argentina, wakidai kuwa viongozi sita wa upinzani...
  17. Mganguzi

    PreGE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  18. Huihui2

    PreGE2025 CHADEMA Mbeya Mjini, Tafuteni Mgombea Mwingine

    Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea mwingine nje ya Joseph Mbilinyi aka Sugu. Kuna sababu tatu :- 1. Mbunge aliyekaa kwenye jimbo zaidi...
  19. Q

    PreGE2025 Boniface Mwabukusi: CCM wanamnadi Samia kama mgombea wao, nini kinawazuia Upinzani kumnadi Lissu?

    Akizungumza kupitia mtandao wa ClubHouse, Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema; Kama kuna walimu wanachanga hela kumchangia @SuluhuSamia kugombea kupitia CCM, sisi wengine tusio na upande ndani ya vyama lakini tunajua Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mkiti...
  20. Mstahiki Mea

    Jinsi ya kuteua Mgombea wa Urais - Hayati Mwalim Nyerere

    Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere akisimama na kuhutubia mkutano mkuu wa kuteua Mgombea Wa CCM bara katika nafasi ya Urais . Alizisitiza "Watanzania wanataka mabadiliko , wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM". Aidha mwalimu Nyerere aliwataka wajumbe kuteua Mgombea atakayekidhi matakwa ya...
Back
Top Bottom